Msaada: Meter ina units 40 lakini umeme hauwaki

Kremme

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
471
495
Urgently luku msaada ina unit 40 lakini umeme hauwaki check picha chini inavyodisplay
20170529_171214.jpg
 
Nenda kwenye branch yeyote ya Tanesco waambie tatzo lako kuna code watakupa uta unlock hyo meter,mara nyingi huwa zinajifunga kwa kuchelewesha kuingiza umeme ukiwa umeisha so fanya hvyo Mkuu pia waweza wapigia tanesco huduma kwa wateja kwa msaada Zaidi.
 
Msaada mzuri huuu
 
Upo kwenye matumizi gani kama ni matumizi madogo basi inabidi usubili hadi tarehe uliyo wekea umeme ndipo utumie
 
Nenda kwenye branch yeyote ya Tanesco waambie tatzo lako kuna code watakupa uta unlock hyo meter,mara nyingi huwa zinajifunga kwa kuchelewesha kuingiza umeme ukiwa umeisha so fanya hvyo Mkuu pia waweza wapigia tanesco huduma kwa wateja kwa msaada Zaidi.
True true kabisa
 
Kremme ulipata solutions mimi inanitokea na kuwaka yenyewe mda sasa leo ndio siku nzima hauwaki emergency wakasema wanakuja hawajaja
 
Attachments

  • IMG_20200419_150239.jpg
    IMG_20200419_150239.jpg
    128.5 KB · Views: 160
Mkuu bonyeza alama ya enter bila kuachia mpaka itatokea maneno haya "1-close" hapo bonyeza namba moja,then itaanza countdown from 10 to 0 ikifika 1 umeme utawaka

Nb: hakikisha mita ipo karibu na device yako ya kuingizia umeme
Huu uzi wa zamani ila man leo umeokoa jahazi. Asante sana JF Asante alieuliza Asante uliejibu.

Wakuu hii ni solution imenisaidia.
 
Back
Top Bottom