Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salamu.Watanzania wengi wanaishi vijijini. Nahuko matunda ni mengi lakini husafirishwa kwenda mijini. Matunda kama embe zinaonekana ni kwa watoto. Ndizi mbivu wengi huzidharau kwamba chakula cha...
13 Reactions
41 Replies
1K Views
Wakuu nimepoteza NIDA,na nina police loss report,nauliza namna ya kutuma maombi kwa njia ya mtandao ili kuomba kadi. nyingine inakuwaje,maana kwenye website ya NIDA,sijaona fomu ya maombi kwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wa kuu, mm hapa naingia kwenye akaunti yangu ya muhas haionyeshi ka nimechaguliwa third round au laa ,na watafta hawapatikani,naombeni msaada
2 Reactions
0 Replies
211 Views
Wananchi wa Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma wanakwenda kutatuliwa Kero yao ya Muda mrefu ya kukosekana kwa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ambalo hutumika kutatua Migogoro mbalimbali ya Ardhi...
2 Reactions
9 Replies
699 Views
Dar inashangaza Tunatoka mbali kuchukua mizigo Kariakoo ambapo tunaamini ndo kitovu cha biashara na bei zitakuwa nafuu. Ukifika inatakiwa bei kubwa sawa na hapa Ngara. Kumbe wenye maduka...
90 Reactions
149 Replies
13K Views
Maeneo ni mengi ambayo binafsi naona uwepo wa Mh Makonda umefanya uboreshwe. Mojawapo ni kituo cha polisi central pamoja na makao makuu ya mkoa (ofisi ya RPC) Hakika yanaendana na hadhi ya...
1 Reactions
11 Replies
922 Views
Kabla ya "MUNGU" kutuhukumu sisi wanadamu inabidi iundwe kamati ya kumuhukumu yeye kwanza,kwasababu ametenda dhambi nyingi sana kuliko sisi wanadamu. Enzi za sodoma na gomora mungu aliua maelfu...
4 Reactions
10 Replies
511 Views
Kwema Wakuu! Nimesoma Uzi wa member mmoja humu kuhusu adhabu za matofali wapewazo wanafunzi nikakumbuka miaka nikiwa nasoma. Shule bila adhabu inakuwa ya kiduwanzi kichizi. Yaani inakuwa ya...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Wazazi wengi wa kibongo kwa sababu ya umasikini na kuwaona watoto kuwa chanzo Chao cha mapato wamekuwa wakijiingiza kwenye ndoa. Wametaka kuwa na ushawishi ili wasijewakapoteza manufaa...
9 Reactions
55 Replies
2K Views
Takwimu za Kitaifa zinaonesha kuwa ifikapo mwaka 2032 kutakuwa na upungufu wa tani 234,000 za nyama nyeupe ikiwemo nyama ya kuku endapo hakutakuwa na uwekezaji wa kimkakati kwa kuwa kuna ongezeko...
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Usiku huu tokea saa 9 mchana hakuna umeme kabisa, na ni maeneo mengi tu hakuna umeme mpaka muda huu Na mpaka sasa sijui ninini kinaendelea
0 Reactions
53 Replies
1K Views
Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, leo tarehe 18 Oktoba, 2024 amempokea rasmi, Mkandarasi Kampuni ya DERM Group (T) Ltd; Kampuni ya ndani, iliyoshinda kandarasi ya Mradi wa Kusambaza...
0 Reactions
1 Replies
361 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imekataa ombi la kusaini malalamiko yaliyotolewa na Paul Kisabo dhidi ya Fatma Kigondo maarufu kama Afande, baada ya kubaini kuwa malalamiko hayo yana dosari...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Habarini, Napendekeza wale wote tunaoidai serikali ya Tanzania tusijiandikishe na kupiga kura ili kufikisha hisia zetu kwa serikali kuwa hatukubaliani nayo kuwa hsina fedha za kulipa madeni yetu...
1 Reactions
18 Replies
621 Views
  • Closed
Kama nilivyoandika kwenye mada hapo juu, nimekuwa nikipitia magumu kila kukicha baada ya kupoteza mali mke kaniacha sina chochote Nimetengwa na ndg karibia wote hata nliokuwa nawasaidia...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Simu za mkononi, ingawa zina manufaa mengi, zinaweza kuwa na madhara kwa binadamu ikiwa hazitumiki kwa usahihi au kwa muda mrefu kupita kiasi. Baadhi ya madhara hayo ni: 1. Madhara kwa Afya ya...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeeleza kuwa limefikia makubaliano na Serikali ya Tanzania yatakayowezesha utolewaji wa mkopo nafuu wa dola za Kimarekani milioni 265.78 sawa na takribani...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwanini Dar es Salaam, Arusha, Mbeya na Mwanza hakuna open spaces katikati ya miji kama Nairobi wakati Tanzania tuna ardhi kubwa kuliko Kenya?
9 Reactions
157 Replies
5K Views
#Dar es Salaam Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda na Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT) Bw. Emmanuel Tutuba leo tarehe 17/10/2024 wamekutana na Watendaji Wakuu wa...
2 Reactions
9 Replies
824 Views
Waha wangeamua kuishi kifahari wangeweza ila wengi wanapenda kuficha utajiri wao. Ni mara chache sana kuwakuta Waha wakiishi maeneo ya uzunguni. Hata awe na pesa kiasi gani atakwenda kununua...
3 Reactions
7 Replies
960 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…