Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Poll Poll
Elimu na Afya ni huduma muhimu sana katika jamii,ila nina uhakika kwamba moja wapo ni muhimu zaidi hivyo inapaswa kutolewa bure. Nakusanya data kwa kazi maalumu ya kiutafiti,naomba nisaidie...
4 Reactions
53 Replies
2K Views
Jambo la kuzingatia: Nitatumia DAKTARI kumaanisha wahusika wote wa sehemu za huduma za afya. Pia Nitatumia HOSPITALI kumaanisha sehemu zote zinazotoa huduma za afya Ujue tumezoea kwenye majeshi...
0 Reactions
4 Replies
307 Views
DAR: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, (Zanzibar) Riziki Pembe Juma ametembelea Ofisi za JamiiForums jijini Dar, leo Oktoba 28, 2024. Ziara yake ililenga kujenga mashirikiano...
1 Reactions
2 Replies
689 Views
Nimeanza na kitabu cha waebrania sura ya Kwanza mstari wa kwanza hadi wa 14. Kusema kweli sijaelewa Jinsi Mungu na Mwanae walivyojipambanua. Aliyeelewa naomba Ufafanuzi wa kina.
10 Reactions
58 Replies
2K Views
Habari wadau! Naenda kwenye hoja moja kwa moja. Kama mnavyojua maisha yanaenda kasi sana. Utandawaz naweza sema umeenea kila pande ya Dunia na hamna binadamu ambaye anakubali kuwa nyuma au jamii...
2 Reactions
3 Replies
787 Views
Kaka angu sheikh Kishki upo sahihi sana kuhusu sakata la huyu Bwana mdogo " Abdul Dunya" almaarufu " Shareef Firdaus". Dogo ana karama sana ana nyota sana na anakubalika sana. Bora umpotezee tu...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
https://m.youtube.com/watch?v=7C4qDNifPQ0 DAR ES SALAAM. Oct 28 (Interfax) - Russia and Tanzania are capable of doubling their trade, and Russian businesses display an interest in joint projects...
0 Reactions
7 Replies
837 Views
Huu mjadala si wa kisiasa. Mkuu (Mh. Rais) alisema wenye vyeti feki waachie ofisi ifikapo May 15, 2017. Huu ulikuwa msamaha na wote watakao kaidi wafungwe miaka 7. Sasa Gwajima askofu kafafanua...
9 Reactions
129 Replies
17K Views
Naam kutokana nahizi vita vina vyo endelea duniani. Russia na Ukraine na mashariki ya kati kama Israeli na Palestine mixer Iran china Taiwan nk Hawa ngozi nyeupe wakishachapana wakakaa sawa...
2 Reactions
8 Replies
617 Views
Nataka kujenga nyumba ya vyumba viwili vya kulala, sebule, public toilet/bafu, jiko dogo, katika hivyo vyumba viwili kimoja kiwe na choo/bafu ndani. Kiwanja tayari ninacho 20 *20. Ninaplan...
1 Reactions
304 Replies
122K Views
Kwa wale wapenzi wa Bongo Fleva, mtakumbuka kuwa zaidi ya miaka 10 iliyopita, staa wa muziki huo wakati huo, Hussein Machozi, alitoa wimbo uliogusa hisia za wengi ambao ndio umebeba Title ya...
1 Reactions
4 Replies
970 Views
Mwaka fulani nilipomaliza chuo kikuu nikiwa bado kupata ajira rasmi niliamua kutafuta kazi nje ya kile nilichosomea chuoni. Kwani nilipokuwa o-level shule ya ufundi nilisomea ufundi wa kupaka...
14 Reactions
80 Replies
7K Views
Oktoba 26, 2024 baadhi wa Watendaji wa JamiiForums walifanya Mjadala na Wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Msingi Feza na kujadili mbinu za kulea watoto katika nyakati Dunia ya...
4 Reactions
7 Replies
735 Views
Wana Jamvi kuna mengine sio ya kuacha kabisa maana Wakati uchaguzi serikali za mitaaa ukitarajiwa kufanyika Novemba 27 Mwaka huu, leo wakati nimekaa kwenye kijiwe cha kahawa Ipuli hapa, nimepata...
1 Reactions
3 Replies
434 Views
Kijiji cha Kibodiani kilichopo Wilayani Mpwapwa, Dodoma ni mfano wa Jamii nyingi zinazokabiliwa na changamoto kubwa za kijamii. Wakazi wa kijiji hiki wanapitia matatizo mengi yanayohusiana na...
0 Reactions
11 Replies
867 Views
Ukifuatilia kwa karibu haya mambo kuna mahali inafika unabaki na mshangao Mtu anaanza kuugua from no where..!anajikunja kama ana kibyongo au kabeba kitu kizito hasa au anatembea utadhani ana busha...
17 Reactions
104 Replies
13K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifahamu hospitali na mawakili huwa hawaruhusiwi na taaluma zao kufanya matangazo ya kibiashara mpaka leo hii nilipokutana ni hii ya Yanga kuitangaza JKCI! Sijajua lengo...
2 Reactions
6 Replies
356 Views
Alichoniadithia Babu Yangu mwaka 1996 Mwezi wa 6. Siku ya Juma Pili. " Kulikua na Mvuvi ametoka baharini kuvua, amebeba Samaki watatu wazuri sana. Akiwa anatembea alikutana na mfalme. Mfalme...
13 Reactions
19 Replies
2K Views
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua umuhimu wa kukuza usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa Wanawake. Uwepo wa sera ya Maendeleo ya Wanawake na Jinsia ya mwaka 2000 na Mkakati wa...
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Hao ndio Watanzania, ukiwa mtumishi wa umma wanatarajia wakuone umepark ndinga kali kali uani mwako, uwe na mjengo wa haja , vimichango vya misiba na sherehe unatoa parefu hapo ewaaah watasema una...
6 Reactions
6 Replies
434 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…