Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari zenu wanakijiji cha Jamii Forums leo bhana nimewasogezea Ibada 3 za kingono zinazofanywa kimila na baadhi ya jamii barani Afrika.. lengo la hii thread si kwa nia ya kuchafua jamii hizo au...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu hope mko poa Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa...
16 Reactions
437 Replies
81K Views
Kupanga ni kuchagua na kuamua ni uhuru, ukiachana na siasa raha sana, maisha burudani haina mbaya haina noma sana. Kaa mbali na noma za utekaji kuna maisha baada ya siasa, Pang Fung Mi
4 Reactions
9 Replies
438 Views
Toka nchi hii uanze kutekeleza miradi ya Maendeleo ni muda mrefu na miradi mingi ya kimkakati imetekelezwa ,ikiwemo pamoja iliyotekelezwa na wakoloni mfano mradi wa Reli ya Kati. Ukiachana na...
16 Reactions
67 Replies
3K Views
Hivi kipindi hiki cha upungufu wa maji. Kinachosababisha upungufu wa uzalishaji wa umeme. Kukabiliana na hili kwann kusiwe na njia za dharura kama. Ukame husababishwa na jua kali kwa kipindi...
2 Reactions
8 Replies
735 Views
Amazing GOD Bwana Yesu asifiwe... Lengo la Uzi huu ni ushuhuda ,Kwa yeyote mwenye ushuhuda wa namna ambayo amekutana na mkono wa MUNGU katika maisha yake, anakaribishwa sana kushuhudia...
4 Reactions
7 Replies
644 Views
Gesi hii ambayo wanaiita Auto-Gas ndio mixture ya (Butane na Propane au Propane) na ndio huku tunapikia majumbani...; nimetoa hii habari hapa kuonyesha kwamba ni busara kutumia ulichonacho na...
1 Reactions
3 Replies
673 Views
TANGAZO LA KUIBIWA Ningependa kuwataarifu umma kuwa nimeibiwa vitu vifuatavyo: 1. Laptop (2) Aina: "HP Pavilion, & HP Hewlett Rangi: ( moja ina rangi ya kijani na nyingine ina rangi ya...
0 Reactions
3 Replies
314 Views
1. Pamoja na kubarikiwa ardhi nzuri na yenye rutuba, Zanzibar kuna mfumuko wa bei sana kwenye bidhaa za vyakula vya bustani kama matunda na mboga mboga... siyo kama kwetu Moshi. Kwa sasa ndizi...
136 Reactions
206 Replies
34K Views
Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na...
21 Reactions
83 Replies
3K Views
Joshua aliomba Mungu asimamishe jua, ingawa hakuwa na uelewa wa kisayansi kwamba ni dunia inayozunguka, siyo jua. Lakini pamoja na ufinyu wa uelewa wake, Mungu alijibu ombi lake, na usiku...
2 Reactions
1 Replies
275 Views
Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino...
1 Reactions
17 Replies
791 Views
Haya mambo yanachanganya sana. Mtu anakufanyia ubaya halafu bado anakutaka radhi. Muda mwingine kosa lenyewe sio kosa linalotokea Kwa hatua Moja, unakuta Hadi kosa linalotokea limepita hatua kama...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Iko hivi kuna demu bhana mm nilimtongoza akakubali vizuri nikadate nae baada ya kudent akanambia na. Birthday ya mtoto wake hivyoo anataka nimpe kama 1500 ambayoo kibongo bongo ni 30000 kumbuka...
0 Reactions
1 Replies
249 Views
Iko hivi kuna demu bhana mm nilimtongoza akakubali vizuri nikadate nae baada ya kudent akanambia na. Birthday ya mtoto wake hivyoo anataka nimpe kama 1500 ambayoo kibongo bongo ni 30000 kumbuka...
0 Reactions
3 Replies
328 Views
Habari wakuu, Hivi hakuna mbadala wa hizo chale, tumieni hata sindano kama lengo ni kuchanja ili dawa iingie, au kuna lingine tofauti na dawa hadi iwe kwa kuchanja na nyembe na vitu vingine...
32 Reactions
164 Replies
5K Views
Kwa wale waliofuatilia uchaguzi wa Tanzania mwaka 2020 uliomwingiza JPM madarakani wataungana nami kuwa utolewaji wa taarifa za kampeni nchini kupitia ITV ulinogeshwa zaidi na waandishi tajwa hapo...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Nimesikia matangazo kwamba wanatoza watu pesa kwa ajili ya US Visa lottery wakati hii kitu ni bure kabisa na mtu unatumia dk 3 mpaka 5 kujaza online form bure kabisa. Ofisi ya US immigration...
4 Reactions
5 Replies
560 Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Buswelu, manispaa ya Ilemela mkoa wa Mwanza. Imenibidi nihame nyumba yangu nikapange sababu ya ukosefu wa maji. Ndani ya wiki maji yanaweza kutoka mara moja tu, ikitokea yametoka...
0 Reactions
0 Replies
359 Views
DKT. FLORENCE SAMIZI AGAWA MITUNGI YA GESI 200 KWA MAAFISA UPISHI 200 MUHAMBWE. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mhe. Dkt. Florence George Samizi amehamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali...
0 Reactions
4 Replies
489 Views
Back
Top Bottom