Wakati unamlaumu mzazi kuwa maskini jiulize wewe hadi Sasa unapambanaje na umaskini hasa wa familia Yako au nawewe unasubiri uje usemwe na wanao??
Tanzania tumejaliwa kuwa na maeneo mengi ya...
Serikali itaendelea kuboresha bajeti ya Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori(TAWA), Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kutegemeana na hali ya ukusanyaji wa...
Nimesikia matangazo kwamba wanatoza watu pesa kwa ajili ya US Visa lottery wakati hii kitu ni bureee kabisa na mtu unatumia dk 3 mpaka 5 kujaza online form buree kabisa na ofisi ya US immigration...
Tukiwa wadogo kulikuwa na watu fulani mjini kazi yao wanatembea na picha za watu maarafu kama Michael Jackson, Bill Clinton, n.k wakiwa wamepunga mkono wenye vidole viwili vilivyonyooshwa ambayo...
"Nakupa vinchenchi nakupa visenti mbona hautaki kutulia" wivu mama wivu!
1. Miaka hiyo wakati naingia kwenye tasnia ya mahusiano nilidhani nikimpa🤣visenti ndo atatulia aah nilijidanganya kumbe...
Salaam,
Sisi ni kikundi cha Wakulima chenye Wanachama Wakulima 62 tunapatikana Manispaa ya Songea. Tunalima kwa mikopo ya Benki NMB tulianza kukopa Tsh. 7,000,000 na sasa tunakopa hadi Tsh...
Baada ya Mwachama wa JamiiForums.coma kulalamikia changamoto ya Huduma ya Mtandao katika Mfumo wa NeST, ufafanuzi umetolewa na mamlaka inayohusika
Kusoma hoja ya Mdau kwa zaidi bofya hapa ~ PPRA...
#Copied
Jijini Tanga, katika kata ya Usagara karibu na uwanja wa hockey, kuna makaburi ya zamani yenye sehemu ya Kikristo na sehemu nyingine ya kijeshi ya Vita ya Kwanza ya Dunia, ambapo wengi wa...
https://www.youtube.com/watch?v=IKQDv45V3VY
Bunge linapokea na kushauri kuhusu mapendekezo ya mpango wa maendeleo unaokusudiwa kutekelezwa na serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/26. Majadiliano...
Nimekuwa nikijiuliza hili swali kwa muda mrefu na leo nimeamua niulize humu ili nipate pia mawazo yenu. Viumbe wengi waliopo duniani wamekuwa na maumbo ya kufanana japo wapo kwenye species...
Tar 03/11/2024 niliweka Tsh.20,000/= kwenye account yangu ya tigo pesa, tar 04/11/2024 asubuhi nikakutana na hii,
👇👇
Dear Customer, you have Successfully done Payment...
Ndugu wanajamvi,nimejikusanyakusanya hatimaye kupata visenti vya kufikiria kuezeka Nyumba yangu.Fundi kanipa makadirio yafuatayo kwa materials.
Nyumba Ina ukubwa wa
Upana Ni Futi 28 Urefu Ni Futi...
By
Vincent Achuka
Reporter
Nation Media Group
As an unwritten rule in all global Internet frauds, no matter the amount of money stolen or the friendships that exist between gang members, all...
Mkuu wa Idara ya Usalama wa Mtandaoni kutoka Vodacom Tanzania Plc Bw. Joel Kazoba akizungumza katika uzinduzi wa klabu ya usalama wa mitandao uliofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam cha...
Mbunge wa Mkalama Francis Isack Mtinga ameuliza Swali bungeni Leo Novembar 4, kwa Naibu Waziri wa Tamisemi Zainabu katimba Kuwa ni lini Serikali itajenga Shule ya Sekondari na Kituo cha Afya...
Rais wa Shirikisho la soka la Afrika (CAF), Patrice Motsepe yamemkuta makubwa nje ya uwanja ambayo yatamlazimu kuwepo Dar es Salaam.
Bosi huyo ambaye ni mmiliki wa klabu tajiri ya Mamelodi...
Tatizo la Kutokulipwa wakandarasi na wazabuni nchini limekuwa sugu nchini ambapo leo bungeni wabunge wameihoji serikali ni lini watawalipa watoa huduma hao wanaoidai serikali kwa kuwa kitendo cha...
...huu ni ugonjwa wa akili,,,,,,
....dalili ni ni kusikia sauti moja au mbalimbali,kuamini vitu ambavyo havipo etc
.....wanasema huu ugonjwa una advantages to it,
.....ingekuwa hauna...
Siku hizi imekuwa kawaida kusikia watu wakijisifia wana ‘side hustle’ – kazi ya ziada mbali na ajira yao ya kudumu. Swali linakuja, hivi kuwa na ‘side hustle’ ni kutafuta hela ya ziada kwa maisha...