Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

BIASHARA ya vyuma chakavu imeenea karibu kila kona ya nchi, watu wanajitafutia riziki kwa kutafuta vyuma hivyo, kuvikusanya na kwenda kuviuza ili wajipatie fedha kwa ajili ya matumizi yao ya kila...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Waandaji wa Rock City Marathon Mwaka jana 2023 walitangaza kuandaa mbio za Rocky City Marathon na kuanza kukusanya ada za ushiriki ambao zilitakiwa kufanyika tarehe 2 November 2023. Baadaye...
0 Reactions
6 Replies
527 Views
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imesema ujasiriamali ni kazi halali inayotambulika kiserikali, si sawa kutumika kuwaengua wagombea kwenye uchaguzi wa Serikali za...
1 Reactions
4 Replies
519 Views
Ripoti ya Mei, 2023 ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), imeonesha jumla ya watoto milioni 640 wa mataifa mbalimbali chini ya miaka 18 wamebainika kuolewa, Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
477 Views
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi amemuagiza katibu Tawala Mkoa wa Simiyu kumhamisha mara moja kituo cha Kazi Afisa Kilimo wa Wilaya ya Meatu, Thomas Shilabu kwa kushindwa kutekeleza...
0 Reactions
0 Replies
432 Views
Hivi karibuni fundi ujenzi ameanguka ndani ya EACLC, Wachina wagoma kumpatia huduma ya kwanza akataliwa na mabosi zake wa kampuni za Kichina, afariki akiwa njiani kuelekea hospitalini mwili wake...
4 Reactions
8 Replies
835 Views
Shalom, It's high time that people in Tanzania, The Government of Tanzania, The East African Region and it's member states, SADC, Africa and the whole World act with sound mind that Rwanda is...
9 Reactions
58 Replies
3K Views
Kuna madai ya hujuma katika mradi wa treni ya umeme SGR. Ni treni ambayo ipo kwa nchi za Afrika mashariki na kati pekee. Nilibahatika kuitumia. Kwa kweli ni nzuri Mno. Kama hizi zinazoitwa...
10 Reactions
34 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu Mimi ni kijana wa miaka 23 na nimekua na matamanio ya kufika ng'ambo (ughaibuni) kwa muda mrefu Sana kwa sababu ya kupambana na hali ya kiuchumi (umasikini) Sasa katika...
2 Reactions
13 Replies
923 Views
Kwenu wana JamiiForums, naomba kujua ni route hipi ya haraka na rahisi kupata daladala za kwenda Bagamoyo, kati ya Chalinze to Bagamoyo au Mlandizi to Bagamoyo. Na nauli ikoje kutoka hayo maeneo...
3 Reactions
51 Replies
7K Views
Kijiji cha Busolwa eneo la Nyalugusu Mkoani Geita kuna Wachimbaji Wadogo na Wanachama cha Chama cha Ushirika cha Wachimbaji Wadogo cha Ifugandi wametishia kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za...
1 Reactions
0 Replies
514 Views
Mimi nakumbuka tukiwa Mtihani wa Geography tulitolewa chumba cha Mtihani kwa madau Pepa imevuja hadi Bungeni Wabunge wanayo. Tukasimamiswa wote Mtihani ubabadilishwa siku, wazimamizi na rangi...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari wadau, Sielewi kwamba ni mimi mwenye ninayepitia hii hali au kuna wengine pia wanakumbana na hili. Ni karibia wiki mbili sasa ninashindwa kuingia kwenye App yao. Hii inanikwamisha kwa...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Hivi hili ni mimi au nanyie mnaexprience hii hali? Mnaweza kudhani labda ni simu La hasha simu ram ni 12 na uwezo wake ni mkubwa haijajaa hata Mitandao sijui imekuaje Mfano Halotel 3g yao...
1 Reactions
3 Replies
500 Views
Ni siku nyingine tena tupitie mambo ambayo hutufanya tujifunze namna ya kuishi na kuwa bora zaidi Fahamu kwamba kama watu hawa kupendi basi jua unafanya mambo yako kwa usahihi,si unajua kuna ile...
14 Reactions
29 Replies
1K Views
Uswahilini huku na uzaramoni watu wana nongwa balaa! Hii aina ya watu nimekuja kujionea mwenyew mana nilikuwa nasikia sikia tu kwa watu. Wengine wanasema ni bipolar. Ila sifa kama hizi niliwah...
22 Reactions
57 Replies
3K Views
Kuna jamaa anaitwa Kuringe, kaingia mjini Dar es Salaam na shoka. Na ana kata kulia na kushoto akiwanunua watu na viwanja vyao kama hana akili nzuri. Ukienda wilaya ya Kinondon i utamkuta yupo...
19 Reactions
181 Replies
12K Views
Wakuu Habari ya uzima, Twende moja kwa moja kwenye mada, Kati ya hayo majiji mawili ni jiji lipi linaweza kunifaa kijana Mimi ninae taka kuanza maisha? Nataka kujikita kwenye shughuli za ufundi...
10 Reactions
77 Replies
4K Views
Kampuni ya Roblox inayohusika na na Michezo ya Mtandaoni (Gaming) imetangaza kubadili Sera zake zinazuhusu Usalama wa Watumiaji wake ambapo kuanzia Novemba 18, 2024 Watoto wenye chini ya miaka 13...
0 Reactions
1 Replies
532 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeupongeza Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii – NSSF kwa uwekezaji wenye tija katika mradi wa Daraja la Mwalimu Nyerere lililopo...
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…