Ally Kiba Awasili Kariakoo @ Wasanii tujifunze kitu kwa huyu mkongwe kwenda kutoa msaada Na siyo Kutupigia Kelele kwenye mitandaoπ Ukiwa kwako Ukiomboleza Chumbani kwakoπ Tufanye Vitendo πππ
Hii ilinitokea kipindi napanga , nilikuwa nawasha taa moja usiku wa Saa nne Ila nilikuwa nalazimishwa kulipa bill sawa na wanaotumia TV, feni, radio pasi ya umeme na fridge na wengine walikuwa...
Watu wa magari au wenye uelewa na hizi namba za magari mtueleweshe kwanini hiyo herufi huwa haipo kwenye mtiririko wa usajili au plate number?
Nimezoea kuona magari yenye namba za usajili kama T...
π¦ππ₯π π¬π π πππ¦ππ
Maisha yanaweza kubadilika kwa sekunde tu, kutoka kupambania rizki mpaka kupambania uhai yaani hakuna ajuaye nyakati hizi maana kila kitu ni ndani ya dakika tu kinachukua sura...
Maji haya yalifika kwa wingi mkoani kwetu Geita mwaka 2019. Sasa naomba kufahamu kwa matumizi ya kupikia yako salama kweli?
πNa hayo mapovu meupe ni chemical gani ambayo imetumika? Maana...
Kumekuwepo utaratibu wa kusitisha uvuvi ziwa Victoria Kwa kipindi sasa.
Kwamba wanasitisha uvuvi kwa muda kama kulipa likizo ziwa na samaki ili wazaliane Kwa kipindi hicho.
Lakini tija ni ndogo...
Wakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana.
Unaweza kusoma UDSM hall 2 na 5 zenye...
BALOZI wa Ujerumani Nchini Tanzania, Thomas Terstegen anatarajia kushuhudia michezo jumuishi itakayoshirikisha vijana zaidi ya 45, michezo itakayofanyika Novemba 25, 2024 kwenye Viwanja vya...
Mosi; kabisa nasikitika kushindwa kugika eneo la tukio sababu sihusiki na sina kibali cha kuniruhusu kufika eneo la tukio.
Pili; nimeshindwa kupiga picha yoyote maana nilifukuzwa kama haramia...
Mambo vp wakuu..
Nimekuwa nikifatilia nyuzi nyingi humu pia hata mitandao mingine.
Watu wengi wamekuwa wakimlaumu sana Raisi wa nchi..
Lawama nyingi zikiwa ni kwanini Raisi asafiri wakati Kuna...
Waziri wa Ujenzi Mh. Innocent Bashungwa ameagiza kuongezwa kwa vivuko kuanzia kesho sambamba na kuongezwa kwa muda wa kutoa huduma ili kuweza kusafirisha abiria wengi zaidi wanaotumia vivuko vya...
Je, wananchi wanapaswa kutambua mounekano halisi wa vitambulisho vya jeshi la Polisi ili kuepuka hatari ya kutekwa na watu wasio julikana.
Swali vitambulisho hivyo vinaonekanaje kwa mfano wa picha?
Katika siku ya pili ya mkutano #EARACGs, mjini Nairobi, Kamishna Mkuu TRA Bw. Yusuph Mwenda alishiriki pamoja na Makamishna Wakuu wenzake katika uzinduzi wa ripoti ya Utendaji wa Mamlaka za Mapato...
Maisha baada ya kuhitimu masomo ni kipindi ambacho wengi hukutana na uhalisia wa maisha. Kwa miaka mingi, wanafunzi hutumia muda wao darasani wakijitahidi kufaulu na kufikiria kuhusu maisha bora...
Mwandishi wa habari kutoka PPR Media, Pascal Mayalla ameiomba Serikali kuwapa posho waandishi wa habari pale wanapotekeleza majukumu yao kama ambavyo wabunge hulipwa posho kila wanapohudhuria...
"Afrika ukifanikiwa basi ndugu na jamaa wanadhani kupewa pesa ni haki yao" Osimhen
πVictor Osimhen: "Nilikuwa nikituma pesa rafiki yangu mmoja wa utotoni lakini siku moja aliniambia kuhusu...
Kuna jamaa yule mwenye jezi ya Yanga alivyotolewa nilitegemea watu wangelia machozi ya furaha lakini wapi,...watu walikuwa kama wanshangalia movie,hakuna hisia kwenye nyuso zao,walishangilia...
Ina maana sikulisoma hili shuleni ama lilinipita nimesikia kwamba baada ya tendo la ibada hii kuisha na hatimaye mwenge kuzimwa huwa unapelekwa mlima kilimanjaro unawekwa kule juu mpaka siku ya...