Ni muda sasa tangu watu wafanye maombi ya passport lakini hadi sasa hawajapata hizo passport.
Raia kila wakienda wanaambiwa changamoto ni mtandao. Ni miezi 6 sasa na wengine wanaambiwa wafanye...
in this life everyone has something to offer.
Katika haya maisha kila MTU anacho cha kutoa ambacho kinaweza kubadilisha maisha ya MTU mwingine.
Mfano mateja , - hawa sasa hivi wanaokota chupa na...
Katika pita pita zangu mikoa mbali mbali hapa Tanzania, ARUSHA wamejitofautisha sana na mikoa mingine mingi hapa nchini kwa sbb hotel au lodge ya kawaida tu wana service ya Wifi kitu ambacho...
Habari wakuu,
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo X, nikisomea shahada ya Habari na Mawasiliano maarufu kama IT ( Information Technology ) hapa Dar Es Salaam.
Bado sijamaliza degree yangu nipo mwaka wa...
Siamini ila kama ni Kweli Wakurugenzi Wana Uwezo huo wa kuwachonga Wawakilishi wa Wananchi huko mtaani, kitongojini na Kijijini basi Waziri atakuwepo pale Juu kama " body" tu
Naamini Washindi...
Vipaza sauti vinavyotumiwa kwaajili ya kutangaza biashara katika eneo la Karume jijini Dar es Salaam vimekuwa kero na kelele za hali ya juu sana. Yaani hakuna kinachosisikika bali ni makelele kwa...
Wakuu salaam,
Nahitaji kununua friji kwa bei ya hizi zetu watu wa hali ya kawaida,sasa ktk pita zangu nimeona angalau HISENSE na BRUHM ni bora kidg kulingana na pesa niliyonayo
naomba...
Naibu Waziri Mkuu Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko akitoa pongezi kwa Meneja Uhusiano wa Barrick, Georgia Mutagahywa kwa ushindi wa North Mara baada ya kumkabidhi.
Waziri wa Nchi...
Eti ndugu zanguni YAS?
Mnatufidia vipi sisi wafanyabiashara wenye Lipa namba zenu ambao tumeshindwa kupokea malipo kwa wateja wetu wa mikoani na online?
Fanyeni utaratibu aisee, this is crazy.
Habarini Wapendwa,
Hope mko njema licha hili janga linalo tukumba Mungu ni mwema sana.
Leo naomba kushare story ya Maisha yangu Mimi holy holm. Wiki chache zimepita nilileta humu thread ya jinsi...
Habari zenu wanajukwaa ,Poleni na Kazi za kulijenga taifa.
Mm niko na Changamoto moja ambayo siielewi kuna hali ya kuongea peke yako yani nakuwa napiga Story peke yangu au kuongea peke yangu na...
Movie au Series gani unaweza kuiangalia mara nyingi na haikuchoshi?
Kuna baadhi ya filamu na tamthilia ambazo, hata baada ya kuzitazama mara kadhaa, bado zina nguvu ya kutuvuta tena na tena. Zina...
Taasisi za JamiiForums (JF) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) zimeingia Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) katika masuala anuai ikiwemo kuhakikisha uwepo wa Sera bora nchini; kuimarisha...
Kwenye kundi la kuzaa watoto wengi naomba tuwatoe wazee wetu waliozaliwa 1950's maana wao kulikuwa na mashamba ya kukidhi mahitaji
Tujadili kuhusu kizazi cha 1960's-2024's
👉Aslimia kubwa ya...
Ningelifurahi endapo uzi huu ukawa na mambo na historia za kikristo za ki imani zaidi.
==========
WESTERN WALL FACT:
When the Holy Temple was destroyed by the Romans in 70 CE, the Western Wall...
Hii tasnia ya habari kwa sasa ni kama haina maadili kabisa.
Inakuwaje mtu yupo kwenye majonzi unamuhangaisha ili wewe upate views na likes za kukupa fedha?
Mazishi ni ibada ndugu zangu!
Mathayo 24 inatoa dalili za kubomolewa Yerusalem na Kuja kwa Yesu mara ya pili.
Walengwa wa Dalili hizo kwa ukubwa ni waovu, na wacha Mungu kwao ni kama tahadhari wasijisahau.
Dalili hizo...
Katika jangwa la kaskazini mwa Australia Kusini, kuna mji mdogo maarufu ulimwenguni kwa uzalishaji wa vito vya opal unaojulikana kama Coober Pedy.
Zaidi ya asilimia 70 ya opal zinazoteumiwa...
Bodi ya Mkopo Heslb inatupa wakati mgumu sana hasa wanafunzi tunaotokea familia ya vipato vya chini, maana wanafanya kazi kama wanavyojisikia wao Bali si kama wajibu wao wanafunzi tunalala njaa...