Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dereva wa gari kubwa ya kuchanganyia zege yenye namba za usajili T. 414 BPD ambaye jina lake halijafahamika kwa haraka, amefariki dunia, huku watu wengine watatu wakijeruhiwa katika ajali...
0 Reactions
2 Replies
760 Views
#Repost @wasafifm —— Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Happyness Khalfan amekatwa mkono na mume wake Charles Peter kwa kosa la kukataa asisome ujumbe mfupi (SMS) kwenye simu yake mara baada ya...
1 Reactions
9 Replies
938 Views
Hii media ilivyoanzishwa tuliona kama ni mkombozi kwenye Tasnia hii kwa kutoa habari za ukweli na uhakika lakini ghafla imekuwa ndivyo sivyo... Toka imeingia ubia na AZAM MEDIA imebadilika sana...
0 Reactions
3 Replies
534 Views
Kuna mdau mmoja hapa ameniuliza swali, nami nikaona niwashilikishe wana JF. "Je mapenzi/upendo yanaifadhiwa moyoni au ubongoni/akilini" Upi mtazamo wako?
1 Reactions
0 Replies
235 Views
Hili jiko bwana linataka shule, ukinunua mfano lile la 3500W, ukapika kwa hizo watt zote 3500 basi umeme wa 10,000/= utalast masaa 8 tu. Lakini kuna siri moja. Na hii nimepractice mimi mwenyewe...
13 Reactions
43 Replies
5K Views
BASHUNGWA ATOA ONYO KALI KWA MADEREVA WAZEMBE, ASISITIZA VYOMBO VYA MOTO KUFANYIWA MATENGENEZO. 📌 Serikali haiko tayari kuona maisha ya Watanzania yanawekwa rehani na madereva Wazembe. Waziri wa...
0 Reactions
0 Replies
275 Views
Hapo vipi? Awali ya yote nadeclare yakwamba ni kisasi cha milele na shetani na lazima nitalipa kisasi juu yake. Nije kwenye mada husika ya kwamba ninaposema hii vita kati ya mwanadamu na shetani...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Picha ilianza na Mimi. Nilibahatika ya kufaulu na kwenda shule nzuri tu ya sekondari ambako pia nilifauli kwenda masomo ya juu. Nikiwa nimekomaa na masomo ya biashara, ndoto kuu ilikuwa kuja kuwa...
14 Reactions
47 Replies
3K Views
Hii ni kali ya mwaka. ======== Joyce Ojala (32), Mkazi wa Matalawe Mjini Njombe, anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa na Watu wasiojulikana ili kumlazimisha...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Katika pita pita zangu, nimekutana na hoja ya pasta mmoja wa Kenya akisema kuwa kuna Mungu na pia kuna miungu, na miungu ni sisi wanadamu. Watu walicheka sana na kumuita mnafiki. Kuna watu wengi...
1 Reactions
1 Replies
631 Views
Napenda niwe wa kwanza kuwatakià heri ya xmass na mwaka mpya . Mambo mengi muda mchache . So xmass na sìku hzi kuingia hùmu nì kidogo sana . Nawatakia furaha na amani kwenye huu msimu wa xmass...
2 Reactions
6 Replies
505 Views
Welcome On board... Nawatakia wadau wote wa JamiiForum, wakiwemo members na non members na Uongozi mzima Wa JF, ukiongozwa na Director Maxence Melo, heri ya sikukuu ya Christmas 2024 na mwaka...
3 Reactions
0 Replies
718 Views
Habari za hivi punde ni kuwa mtangazaji maarufu wa Clouds FM, Ndugu Ephraim Kibonde amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 7 Machi 2019. Kibonde alianza kusumbuliwa na presha akiwa katika msiba...
62 Reactions
759 Replies
206K Views
Country Estimated availability date Algeria No planned launch date Angola Delayed to 2025 Benin Available Botswana Available — added in 2024 Burkina Faso Delayed to 2025 Burundi...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa kweli hii namba ni kero sana., unapiga dakika za kutosha(kumi na zaid), unakata kisha unapiga tena simu haipokelewi. Badala yake, unaambiwa uendelee kusubir mpaka unaamua kuacha /kukata...
3 Reactions
11 Replies
889 Views
Nilichoona na kuamua kuzinduka ni kwamba ukiwa na hoja yoyote kwenda popote basi taarifa inafika vizuri, haraka na kwa uzito kupitia Jamiiforums kuliko njia zingine za kiprotokali zinazowekwa na...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
It is a pity kuwa wazee hawa walikuwa na mahali pa kupata advance ya pensheni yao sasa mmeiondoa na kubakia salary advance. Kwanini salary advance imebaki na kuondoa pensheni advance? kwanini...
1 Reactions
3 Replies
565 Views
Nimekuwa nafuatilia habari za mchungaji Magembe, na kuna mahali alitoa historia ya familia yao kwamba walikuwa wachawi balaa. Je hakurithi? Nani ana uhakika? Na Je ndio chanzo cha ugomvi wake na...
0 Reactions
2 Replies
445 Views
Pengine unaweza kujiona upo salama kwa kudhani ngumi za mtaani ni kwa wapiga debe, bodaboda, au watu wa tabaka fulani tu. Ukweli ni kwamba, mtu yeyote anaweza kujikuta kwenye hali hii...
21 Reactions
80 Replies
4K Views
Ukipita sehemu za wanamaombi utasikia wakiutuma moto (wanapiga faya) kwenda kwa shetani, mapepo, wachawi na waganga. Ukiingia kwenye makanisa yao utakuta watu wamepagawa na mapepo, mapepo...
18 Reactions
112 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…