Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro katika kuendelea kuimarisha usalama barabarani na kuzuia ajali zisitokee limefanya operesheni, misako na ukaguzi wa magari iliyofanikisha kuwakamata jumla ya...
0 Reactions
0 Replies
422 Views
Ni wiki sasa imepita tangu nipitie njiapanda ya Segera askari wengi wakishirikiana na baadhi ya maofisa wa T.R.A hapo wanapokea rushwa wazi wazi bila woga . Wakati wa usiku unapofika hapo askari...
1 Reactions
5 Replies
537 Views
Salaam Case study: Tanzania, Hizi ni coache tu, kagera 15, Mikese 18, hapo bado majeruhi watakao kuwa vilema wa maisha, Sina data kamili ila kuanzia mwezi wa 10 mpaka huu wa 12 inawezekana death...
6 Reactions
15 Replies
998 Views
Kila kabila au mkoa una utambulisho wao hapa mjini Dar 1. Watu kutoka Tanga Hawa hujulikana kama waganga wa kienyeji, Yaani ukimwambia mtu unatokea Tanga mtu atakuwazia mganga tu Kwa wanawake wa...
2 Reactions
4 Replies
611 Views
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Albert Msando, amethibitisha kutokea kwa ajali leo asubuhi, saa 12, katika eneo la Michungwani, Kata ya Segera, Wilaya ya Handeni. Ajali hiyo, iliyohusisha lori na...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
DIRA YA TAIFA 2050, HAKUNA AMANI BILA HAKI Kwenye Mkutano wa Kongamano la Vijana la kuangazia Rasimu ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050. Nilipatata fursa ya kutoa maoni juu ya kuboresha Shabaha...
0 Reactions
0 Replies
439 Views
Ushauri wa bure, ujana wako utumie kwa adabu zote usiwe na muda wa kupoteza kwa mambo yasiyokuwa na faida , Tengeneza familia yako weka kipaumbele maendeleo yako ya kiuchumi , starehe na...
15 Reactions
20 Replies
1K Views
Hii trend ya kuunguza masoko bado haijaisha tu? Naambiwa soko la Karume limeungua lote na hakuna kilichobaki. Hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuunguza masoko ya machinga maeneo mbali mbali...
32 Reactions
433 Replies
36K Views
Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam linaungua moto usiku huu huku jitihada za kuuzima zikiendelea. Akizungumza na Mwananchi kwa simu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla...
14 Reactions
388 Replies
50K Views
Ifike mahali tuseme inatosha na kusema sasa ni muda watu kujua kuna Mungu. Hawa niwavuja jasho masikini wanahangaika kupata mehemeo ya watoto wao masikini hawana pakwenda leo kila siku wanachomewa...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Toka miaka ya 90 moja ya utani kwa mtu anayependa vitu vya bure aende Mombasa. Kuwa kwa Mombasa unaweza enda kula sehemu ukataka kulipa wakakuambia ushalipiwa wewe..... Ukaoneshwa mtu ambaye...
0 Reactions
3 Replies
601 Views
Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imetoa zawadi za Sikukuu ya Krismas kwa watumishi wake 1052, ikiwa lengo kuwaongezea motisha ya kufanya kazi kwa bidii na kutoa...
2 Reactions
7 Replies
552 Views
Habari wakuu, Ni jambo la kushangaza mtu anahack website yetu anaanza kufuta vitu vyetu. Sio uungwana kabisa lakini tuna mshukuru sana ametuongezea uwezo wa ziada na leo tunatangaza kwamba...
2 Reactions
8 Replies
512 Views
Mawasiliano ya Barabara ya Kizangaze yanayounganisha kata za Maore, Ndungu, Kihuruo na Bendera wilayani Same Mkoa wa Kilimanjaro, yamekatika kwa muda baada ya kingo za Daraja la Kizangaze kuvunjwa...
0 Reactions
1 Replies
308 Views
Kwema. Mimi binafsi napenda sana kusikiliza nyimbo za KIKONGO bolingo sebene nk sasa zamani cloud walikuwa na Ben kinyaiya jamaa alikuwa anaendesha kipindi safi safi sikumbuki...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Hii imetokea jana asubuhi. Mzee huyu amefariki baada ya pressure ya mawazo iliyotokana na kuhuzunika mke wake alipougua. Interest yangu na Ephraim Kibonde ni kwamba yeye ndiye aliyesabsbisha...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Anayetuhusu sisi tuliompokea ni Kristo aliye Bwana na Mwokozi wetu Tafakuri ya hekima kwa wenye hekima Siku njema
2 Reactions
50 Replies
1K Views
Kuna mahala nilikuwa katika Kikao kidogo ndani ya Ukumbi na kuna Dada kwa kutokujua kuwa alikuwa anatuonyesha Video ya bure ya kilichopo katikati ya Miguu yake (ila Kimefunikwa) na alipojulishwa...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuu nahisi Nina shida psychologically... Nashindwa kufanya Mambo mengi kwa sababu ya kuwaza hasi kila Mara, nahisi kama kitabu kitanisaidia zaidi kupambana na hali hii.... Kama Kuna mtu anaweza...
3 Reactions
9 Replies
517 Views
ni kweli ajali huwa zinatokea kila mwezi kutokana na maagano ya kishetani,mila na kutambikia mizimu kila mwezi. Hali inazidi kuwa mbaya mwezi wa mwisho wa kila mwaka, kwa sababu watu dizaini...
1 Reactions
5 Replies
510 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…