Fahamu namna unavyoweza kutumia umeme wako wa mwilini kumtetemesha mtu mwingine,
Kuna wanamazingaombwe wengi,wanaojua vizuri nini cha kufanya kujikusanyia chaji nyingi kwa muda mfupi.
Kikubwa...
Wasomi na wafanyabiashara wakubwa toka kabila la Wahaya wameanza utamaduni wa kurejea nyumbani Bukoba kama wanavyofanya Wachaga. Wengi wanatokea nje ya nchi (New York, Washington DC, Geneva...
Habari NHIF,
Mimi naomba kutoa malalaniko yangu kwa hizi shule za msingi ambazo mlipeleka uratibu wa Bima Shuleni (Afya Toto Card)... tuchukulie mashuleni. Ila kinachonisikitisha ni jinsi hizi...
Japo kuwa wanasema ndoa ni kuvumiliana je unaweza kuvumilia na ili
Kuna Tabia ambayo mke wangu anayo ya kutaka kunimiki kisa sex nakunipelekesha kwa kutumia njia ya sex
Nikiomba sex kwake kwa...
Wakuu,
Binafsi naona hizo Brand nilizotaja hapo zimefail kubadilisha majina na itachukua miaka mingi watu kuendelea kutumia old names yaani Twitter na Tigo instead of X or Yas.
Ni brand gani...
Habari,
Hivi kwani ni lazima mtu kulia hadi uso uchakae unapofiwa na mtu wako wa karibu (wazazi ,mwenza,mtoto, ndugu)? Au ni lazima kulia mbele za watu wajue umelia?
Kwanini watu wakienda...
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) inapaswa kuwa sauti ya mwananchi, chombo huru na tegemeo la jamii katika kutoa taarifa sahihi, za kina na zenye kuwajibisha.
Katika enzi ya habari...
Ninalaani sana ukatili aliofanyiwa mtoto wa Dodoma, Jambo la kujifunza wazazi wekeni umakini kwa wasaidizi wenu majumbani.
Soma Pia: Utata wa kifo cha mtoto wa kufikia wa Chief Godlove, inakuwaje...
Me kiukweli mara nyingi huwa nazuga muda huo ndio nachapa kazi kwelikweli au nasingizia tumbo haliko vizuri.
Je wewe huwa unatumia mbinu gani usishtukiwe kuwa umefulia?
Hivi ni nani alitoa wazo la kupafanya Stendi ya Daladala ya Kabwe kila ikifika jioni kupageuza Soko?
Moja hili eneo ni chafu kupita maelezo na Wafanyabiashara wamejianzishia Dampo hapohapo...
Dunia uwanja wa fujo, Dunia tambara bovu, Waswahili walisema.
Kuna muda nafsi inachoka kabisa na harakati au mtindo wa maisha ulionao, unatamani kupiga chini kila kitu na kuanza upya kabisa ukiwa...
Hii imetokea Desemba 24 kijijini Butiama ambapo Richard (Nyerere) Masanza mtoto wa dada yake Mwalimu Nyerere amefariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Richard amesoma shule ya msingi hapa...
Kanuni nzuri ya maisha, ukimuona mtu hafai/ kuna dalili za kugombana Kati yako wewe na yeye usigombanenaye tafuta kila njia za kumkwepa na kumuwekea mipaka.
Siku zote kabla ya ugomvi au kukosana...
Baada ya Rostam,Awadh wa Amsons ni zamu ya kigogo mwingine kuteka Kenya.
https://x.com/BD_Africa/status/1872570598280610155?t=ehBBjq-Gz4woc21awkOxYA&s=19
My Take
Sera za Mama Samia za kufungua...
Wakubwa kwema.? Mimi na wapangaji wenzangu tumepigwa kiasi hicho Cha faini kwasababu ya kuto kuweka mazingira kwenye hali ya usafi.
Sisi wanaume wa hapa tunapo ishi ni watu wa kutoka asubuhi na...
https://feminahip.or.tz/
FEMINA HIP mmepotelea wapi ndugu zetu? Zamani mlitoa elimu kwa vijana juu ya maambukizi ya magonjwa ya ngono, mimba za utotoni nakadhalika. Vijana wengi tulivutiwa sana...
Shule za serikali zimefungwa tangu mwishoni wa wiki iliyopita tarehe 31/5/2024.
Waalimu tulijaza Ankara za fedha za nauli ya likizo hii mapema sana na kuziwasilisha kwa wahusika ofisi Halmashauri...
Wakuu nimeondoa thread ili kuficha baadhi ya taarifa, nilipanick nikaandika vitu vingi ambavyo baadhi ya members humu nafahamiana nao in person wasiconnect some ..
I hope itakua sawa, nilipanick tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.