Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Na kwanini pamoja na kuwa mwana CCM Kindakindaki Bara ila alikuwa hakubaliki na haaminiki nao hadi kuamua kukimbilia Zanzibar kuanza kuwa mbeba Handbags za Bi. Mariam mke wa Raia Hussein Mwinyi wa...
3 Reactions
7 Replies
159 Views
INASIKITISHA SANA WENGI WANAJUA NI KUSAFISHA MIJI ILA UKWELI NI KWAMBA WANAOGOPA MAANDAMANO. SUBIRI IVUKE HII 29 OCTOBER VIZURI WATU WQTAANZA KIREJEA KWENYE MAENEO QALIYO JIPANGIAGA MPAKA WANAJAA...
1 Reactions
0 Replies
62 Views
Kwa muda mrefu sijapost mada hapa JF, lakini baada ya kuona upotoshaji wa peno hasegawa kuhusu kijiji cha Itumbi imenibidi kuleta mada hii. Nimekaa kijiji cha Itumbi kwa nyakati tofauti kuanzia...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akizungumza na wananchi wa Kata ya Muhonda na Sungaji wakati akiwa kwenye ziara Wilaya Mvomero mkoani...
1 Reactions
1 Replies
62 Views
Ukisoma biblia, kwa makini bila mawenge na uzwazwa wa imani, hutakuta mstari hata mmoja ulioandikwa na Yesu. Ni mara moja tu Yesu aliandika. Ni pale alipoletewa mwanamke 'kahaba'. Alipoulizwa...
4 Reactions
27 Replies
881 Views
Level yetu ya umasikini ni mbaya sana kupelekea mtu akinunua MILO na maziwa ya unga akisha yachanganya kwenye chai anapiga picha then anapost status "anza asubuhi na chai nzito☕️" ili kunogesha watu
16 Reactions
28 Replies
321 Views
NHIF YAKUBALIANA NA AGHA KHAN MATIBABU KWA WANACHAMA MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam wamesaini makubaliano ya ushirikiano wa utoaji wa huduma za...
0 Reactions
3 Replies
216 Views
Sheria na taratibu za barabarani ziheshimiwe ili kulinda Afya na uhai wa watumiaji wote, suala la kukatwa Points ni kwa watumiaji/Madereva wa vyombo vya moto wote haijalishi ni Bus la Abiria ama...
0 Reactions
0 Replies
52 Views
Toka mwezi uliopita kumekuwa na zoezi la kuwapatia watoto chanjo, hususan wale wenye umri wa miaka 10 na chini, ambapo wahudumu wamekuwa wakifika kwenye nyumba mbalimbali. Kesho zoezi hilo...
1 Reactions
2 Replies
108 Views
  • Redirect
Jeshi la Polisi Tanzania limetoa onyo kali kwa mtu yeyote au kikundi kinachojihusisha na vitendo vya kuzuia mabasi na malori kuendelea na safari zao barabarani, kufuatia kile kinachoelezwa kuwa ni...
3 Reactions
– Replies
– Views
Tunatarajia kupata nafasi nyingine 4,500 kwa ajili ya Watanzania ambazo ziko katika hatua za mwisho za kukamilisha taratibu. Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano ndiyo inaratibu zoezi...
1 Reactions
0 Replies
212 Views
Salaam wakuu. Kama heading inavyojieleza, kwa siku ya leo barabara haina msongamano kabisa hivyo kama una road trip yako na gari yako binafsi leo ilikua siku safi sana ya kutembea na kuipima...
1 Reactions
5 Replies
101 Views
Kuna update yoyote kuhusu huu mgomo wa madereva maana abiria wajarudishiwa nauli zao na wamebakii kuchoma mahindi Karibuni
1 Reactions
5 Replies
141 Views
Siri ya mayai ya kienyeji na mkojo wa mama kwa mtoto mtundu,mkorofi,kiburi.... Mayai 3. Kama mwanako amebadilika gafla Ameanza kuvuta bangi. Kunywa pombe Kulewa. Wizi. Yaani tabia zote mbaya...
5 Reactions
19 Replies
267 Views
Akizungumza leo, Septemba 29, 2026, Mkoani Morogoro wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa 31 wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Wadogo Tanzania (MVIWATA), Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dkt...
2 Reactions
2 Replies
150 Views
Guys kwanini miaka 40? Watu wengi wanakuwa serious wanapofika umri wa miaka 40. Yaani akishafikisha 40 ndio anaanza kuwa na mikakati, saving, biashara, kujenga etc, ulikuwa wapi huko nyuma? Je...
18 Reactions
105 Replies
1K Views
Kwamba Mwanaume ambaye akikojoa na hajambi hana uwezo wa kumfanya Mwanamke wake / Mke wake akibeba Mimba amzalie tu Watoto wa Kiume. Kuna Mtu namjua (tena Kiongozi) Yeye ana Watano na Wote ni wa...
6 Reactions
13 Replies
325 Views
Wadau mwenye ngoma za Michael Jackson kama ifuatavyo anisaidie. Smooth criminal They don't care about us When I come of age Stranger in Moscow Blood on the dance floor N.k. Nitashukuru sana .🤝
4 Reactions
23 Replies
197 Views
Hali ilivyo Mbezi, Dar Es Salaam kwenye Stendi Kuu ya Mabus ambapo inaripotiwa kwa taarifa za awali kuwa kuna mgomo wa Madereva wa Mabus wakigomea kukatwa alama kwenye Leseni zao hivyo wamegoma...
4 Reactions
5 Replies
469 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…