Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watu mashuhuri huwa wanakutana kwa ajili ya mkutano wa World Economic Forum huko Davos hii hupelekea kushahimiri kwa biashara nyingine zinazozunguka mji huo ikiwemo ya ukahaba. Huwa wanakutana...
0 Reactions
0 Replies
290 Views
Anonymous
Andiko hili ni mwendelezo wa kilichoandikwa katika Makala iliyopita ambayo ilielezea yanayofanyika nyuma ya pazia kwenye nyumba za ibada hasa katika makanisa maarufu kwa jina la 'Makanisa ya...
11 Reactions
46 Replies
4K Views
Kweli hakuna aijuwaye kesho yake. Dar umenihifadhi tumehifadhiana kwa wivu mkubwa . Ila hakuna marefu yasiyo na ncha. Nimeondoka hivyo ubakie salama. Nitamiss, raha na karaha zako. Till we...
10 Reactions
46 Replies
2K Views
Dogo (mtoto wa Bro ) anamiezi mitatu ya Ajira Mpya bila kupokea Mshahara. Katika jitihada za kujua nini sababu, akagundua akaunti Namba iliyowekwa kupokea Mshahara, sio yakwake . Na anadai...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Watanzania wengi hawapendi kujua ukweli. Nadhani hulka hii inatokana na wananchi kufungiwa nchini mwao na hivyo kukosa nafasi ya kuona jinsi nchi zingine zilivyoendelea. Kuna siku Lema alisema...
1 Reactions
10 Replies
884 Views
Wavuvi 540 waliokuwaa wanafanya shughuli za Uvuvi katika Ziwa Rukwa wameokolewa na Wavuvi 10 wanaendelea kutafutwa kufuatia upepo mkali uliotokea mnamo tarehe 23 Januari 2025 katika ziwa Rukwa...
1 Reactions
8 Replies
873 Views
Jee ninawezaje kutumia Jamiicheck kuhakiki habari iliyonifukia?
0 Reactions
1 Replies
139 Views
Nimewaza tu kwamba mtu akinunua bidhaa (mfano: smartphone ya 300,000/=) Muuza duka amuulize na Nambari yake ya NIDA ili jina la mnunuzi litokee kwenye receipt ya EFD, "automatically" Nimewaza tu...
6 Reactions
46 Replies
1K Views
Anonymous
Nilikuwa na mgonjwa wangu ambaye alikuwa anasumbuliwa na Saratarani, alikuwa anapatiwa huduma Ocean Road, tukiwa hapo tukapata referral ya kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Upanga), Dar es...
34 Reactions
168 Replies
8K Views
Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule. Mie nahisi kuna jambo nyuma ya...
24 Reactions
89 Replies
4K Views
Katia safari ya maendeleo kama binadamu tumefanya mengi ya kustaajabu, kuanzia kuvumbua vifaa vya mawasiliano vya masafa ya mbali mpaka roketi lakini hamna cha msingi tulichofanya zaidi ya...
2 Reactions
0 Replies
299 Views
Nawapa test kama ile test nabii Eliya aliyowapa manabii wa mungu wa uongo Baali. Waiteni kwenye makusanyiko yenu amputees( watu waliopoteza mikono au miguu) muwaombee warudishiwe viungo vyao. Si...
2 Reactions
10 Replies
598 Views
Licha ya Biblia kuonesha wazi umuhimu wa huduma ya unabii bado huduma hii inapitia changamoto kubwa za ndani kuliko nje. Kutokana na uchunguzi nilioufanya katika makanisa matano ya kiroho katika...
1 Reactions
7 Replies
688 Views
Kila siku kualika watu waje kwenye makutaniko yenu ili wapate miujiza ya uponyaji. Slogan zenu za WAGONJWA WATAOMBEWA nataka muonyeshe kama kweli huyo Yesu Kristo anatenda kazi pamoja na ninyi...
0 Reactions
3 Replies
393 Views
Wakuu kuna mtoto wangu kaanza shule mwaka huu, chekechea ada yake ni milioni 1.5 ukijumlisha na vikorokoro vingine inaweza fika jumla milioni 1.7 Sio muumini sana wa hizi shule, ila mama yake...
23 Reactions
231 Replies
7K Views
Wasalaam. Mahubiri mengi kwa hawa mitume na manabii wa kisasa yamejaa uchonganishi, manipulation, saikolojia na neno kidogo. Mengine yote sinashida nayo shida ni hii ambayo pia hata waganga huwa...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Huwa naandika kila cent nitakayoitumia. Mpaka sasa tangu tar 1, nimetumia Tsh 1,191,200. Kwenye personal issue. Sadaka inahusisha ndugu jamaa na marafiki.
5 Reactions
14 Replies
596 Views
Kuna sheria za Marekani za ajabu imagine uki mdivorce mke wako mgao wa mali pasu pasu . Trump amependekeza kuifuta hiyo sheria ametuwakilisha vyema wanaume. Mwanamke anatakiwa aondoke na begi...
18 Reactions
90 Replies
3K Views
N:B: shule za kata nyingi bado zina changamoto kibao, ukiwa na uwezo peleka mtoto shule nzuri umpunguzie changamoto zinazoingilia elimu yake. Mtu aliyesoma kwenye mazingira duni na bado akawa...
22 Reactions
90 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…