Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mbunge wa viti maalumu wa Chadema ameihoji serikali kuhusu mpango wa kuijenga kwa upya barabara ya Iringa - Dodoma ambayo imekuwa na mashimo hali inayoondoa hadhi ya barabara hiyo kuunganisha...
1 Reactions
0 Replies
356 Views
Wasotho wana tamaduni zao tofauti, ikijumuisha aina za kipekee za muziki na lugha yao, Sesotho. Shughuli za kitamaduni ni pamoja na kucheza, kupiga makofi, kuimba, na kuimba. Shughuli fulani za...
1 Reactions
10 Replies
597 Views
Takwimu zinaonyesha tofauti kubwa katika ukuaji wa idadi ya watu kati ya nchi za Afrika Mashariki na zile za Scandinavia kati ya mwaka 1960 na 2024. Hapa chini ni muhtasari wa mabadiliko hayo...
0 Reactions
9 Replies
487 Views
Wana JF Kumekuwa na ucheleweshwa wa mizigo iliyokuja na ndege hasa zile za mashirika kama DHL. Toka tarehe 20/01 mizigo haina manifestation wala documents.
0 Reactions
11 Replies
623 Views
Huwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji[emoji2307][emoji2307] Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu...
153 Reactions
317 Replies
33K Views
Za asubuhi.... Moja kwa moja kwenye mada. 1.TRA 2.MAHAKAMA 3.TAASISI ZA UJENZI BARABARA KAMA TARURA N.K 4.TBS 5.MALIASILI 6.HOSPITAL 7.Ongezea zingine
13 Reactions
145 Replies
7K Views
Wakuu, Kawe leo kumezidi kupamba moto Kama hauna TV usijali, cha msingi nenda kapate maombi ya Mwamposa ili upate vifaa vyako hivyo. Samsung, LG na Hisense soon zinaenda kuwa out of business...
2 Reactions
16 Replies
928 Views
Baadhi ya Watumishi wa NHIF Kibaha Mkoani Pwani huduma zao sio nzuri, pia lugha zao pia sio rafiki kwa wateja, nimeshuhudia hali hiyo mara kadhaa na Wateja wengi wamekuwa wakilalamika. Mfano kuna...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Ifike hatua sifa ya kuwa mbunge iwe ni elimu na uelewa wa mambo Kwa kina Msiangalie utajiri na kudhamini wake katika Chama ndo awe mbunge Mbunge Msukuma ni layman tu, yaani aliongea hana tofauti...
6 Reactions
53 Replies
2K Views
Pengine hadi sasa hujui, wala hujawahi kufikiria kuwa; wewe ndo hayo mabadiliko unayotamani sana kuyaona duniani. Kwa namna moja ama nyingine, umekuwa ukijichukulia kuwa mfinyu na usiye na nafasi...
3 Reactions
9 Replies
606 Views
Watu wachache wanataka wachukue mali yote ya nchi. Wanataka wachukue kila kitu: dhahabu,almasi. In fact,almasi hatuisikii kabisa. Inanikumbusha zamani nilipokuwa shule ya msingi boarding school...
1 Reactions
2 Replies
374 Views
Mmoja wa maafande ambao ni marafiki wa madereva wa vyombo vya moto ikiwemo gari na Bodaboda ni Afande Adrian Rutaihwa Kamara. Kwa sasa yeye ni District Traffic Officer (DTO) wa wilaya ya Kipolisi...
1 Reactions
6 Replies
780 Views
Mchungaji William Folorunsho Kumuyi ni Mchungaji Mwafrika, aliyepata heshima ya kualikwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, tarehe 20/1/2025. Mchungaji huyo...
24 Reactions
132 Replies
6K Views
Mamlaka ya mapato Tanzania inawakumbusha walipa kodi kuwasilisha ritani na kufanya malipo ya kodi ya zuio, PAYE na SDL kwa mwezi Januari 2025 kabla au mnamo Februari 7, 2025.
1 Reactions
4 Replies
549 Views
Najiulizaga hili swali sipati jibu labda niwaulize nyie mnaodaiwa na hamtaki kulipa….? Nini kinasababisha usilipe deni?? Kwa mtu binafsi achana na mahela ya benki!
3 Reactions
21 Replies
909 Views
Nawasihi sana ndugu zangu tusiwe wepesi wakunyooshea watu vidole! Mwabukusi kafanya kazi kubwa sana inayostahili kupongezwa! Huwezi kumpima mwabukusi kwa jambo moja! Angekuwa mtu wa dili...
0 Reactions
14 Replies
833 Views
Wakuu sasahivi kumekuwa na miradi mingi inayoanzishwa na serikali, ni kama mkakati wa kuwavuta wananchi kuelekea uchaguzi mkuu, zipo kero na miradi mingi huko nyuma hakuna aliyekuwa akiitazama ila...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Ifike hatua hawa manabii wa uongo Tanzania waache kucheza na imani za watu maana wanajitafutia umaarufu kidg tu kisha waanza kupiga deals kupitia unabii mpauko. Hivi haiwezekani kuwatandika...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Watusi ni moja kabila moja kubwa hapa nchini kwetu ambalo linapatikana haswa baadhi ya maeneo hapa nchini kama vile Tabora, Mpanda, Kigoma, Geita, Kagera, Karagwe, Bukoba na Kahama. Ukifika...
0 Reactions
77 Replies
25K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…