Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Ulianzishwa kwa lengo la kunusuru kaya masikini na kusaidia wananchi wasiojiweza wakiwemo wazee.
Baada ya kufikiwa na mpango huo kwa baadhi ya wananchi waliopo...
Wakati bajeti ya mwaka 2024/2025 ikisomwa, ilielezwa ujenzi wa barabara ya njia nne kati ya Mwanza hadi usagara, ungefanyika.
Bajeti mpya ya 2025/2026 itawasilishwa hivi karibuni. Mwezi uliopita...
1. Kadi ya Usajili wa Chombo cha Moto.
2. Mkataba wa Kisheria wa Mauziano na Risiti ya EFD kutoka kwa
Mwanasheria aliyesaini mkataba huo au risiti ya manunuzi uliyopewa wakati wa manunuzi wa...
Makampuni yanayojihusisha na mikopo umiza yameonywa kuacha tabia ya kutoa mikopo bila kufata utaratibu na kuishia kuumiza wananchi kwa kutoza riba kubwa.
Naibu waziri wa nchi ofisi ya raisi...
Yani unaweza kuta mama A na mama B wana watoto wamezalia nyumbani mara mbili mfululizo ila maongezi yao kwa asilmia ni kudiscuss na kukosoa mambo ya huyo ndugu yao na familia yake.
Na ole wake...
Tabia ya madereva wengi wa mabasi Tanzania kuvunja sheria au kuwa na haraka kuliko watumiaji wengine wa barabara ni chanzo cha ajali nyingi. Ifikie wakati wamiliki wasifumbie macho tabia hii...
Wakubwa shikamooni wadogo amjambo.
KIUKWELI NINA KILA SABABU YA KUKISHUKURU HIKI CHAMA CHA KUSAIDIA WAPAGAZI (wapanda milima)
KIUKWELI CHAMA HIKI KIMEWASAIDI POTA WENGI SANA AMBAO WALIKUWA...
Wakuu Kwema!
Kwa watembezi wa mikoa ya Tanzania na wachunguzi huru mtakubaliana na mimi katika utafiti huu usio rasmi.
Utafiti huu nimeufanya kwa miaka minne tangu 2016 mpaka 2020 nikiwa...
Asalam,
Leo nimeona sio mbaya kujadili mada hii,
NBS inaonesha karibia 65% ya Watanzania wanajihusisha na kilimo. Kilimo cha kujikimu na kiasi kidogo kubadilishia mboga. Tukichanganya ufugaji na...
Hapa kuna mpangilio mzuri zaidi wa maandishi yako kwa mtiririko mzuri na uwazi:
Nguvu ya Hofu na Sanaa ya Kubadilisha Nishati
The Keeper
Don Pablo – The Master of The Mind Brotherhood...
Manipulation:
Ni jinsi gani unaweza kumshawishi mwanadamu mwenzako?, its simple, mfanye akuamini zaidi ya nafsi yake, mfanye aamini ya kufikirika yana special connection na wewe.
Confusion...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza magari ya umeme ya KAYPEE MOTORS, ambae pia ni Mtangazaji kutoka kituo cha Clouds Media Group, Ally Masoud Nyomwa maarufu kama Masoud Kipanya...
Kumekua na maneno/minong'ono ya watu kuwa kwa mfano una kiwanja au shamba lako unakoishi alafu haya makampuni ya mitandao ya cm ikataka kuweka mnara kwenye eneo lako karibu na nyumba ni hatari...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Elihuruma Mabelya, amesisitiza kuwa jiji hilo halitawavumilia wakandarasi wanaochelewesha miradi.
Tamko hilo amelitoa katika Viwanja vya...
Direct to point
Kutokana na changamoto ya mashirika ya umma kusua sua kutoa huduma kwa wananchi na kuwepo kwa ufanisi mdogo wa mashirika haya. Lakini mbali ya hapo haya mashirika yameendelea kula...
AWESO AITAKA DAWASA KUSHIRIKIANA KWA KARIBU NA WENYEVITI WA MITAA
Waziri wa Maji, Jumaa Awesso ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) kushirikiana kwa karibu na...
Tu share madini kidogo wadau:
Nidhamu kali ni jambo muhimu katika maisha ya kila siku, hasa kwa watu wanaotaka kufikia malengo yao kwa mafanikio. Ikiwa unataka kuwa na nidhamu kali kama wanajeshi...
GSM ni kundi la wajanja wajanja wasio na chembe ya uzalendo
Tumesikia wanavyotuhumiwa kucheza na mifumo ya kigi kuu niwaambiehaushii ligi kuu tuhatabandarini na TRA anacheza na mifumo tu.
Siku...