Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhidhwa na ujenzi wa mradi wa maktaba ya Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) ambao umefikia asilimia 99 na unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi...
Sisi Wakazi wa Kahama kiukweli tunayo kero ya barabara kutokuwa na ubora mzuri hali ambayo imekuwa ikitupa shida kwenye kutekeleza majukumu yetu.
Barabara za mjini takribani kote ni changamoto...
Jamani barabara ya kutoka Tengeru kuelekea Chuo cha mifugo(LITA), Chuo cha maendeleo ya jamii (TICD) ni mbaya Sana.
Hii ni barabara muhimu Sana kwani inaenda kwenye taasisi muhimu za serikali...
Leo baada ya kifurushi changu DStv kukata (mpira), nikashawishika kucheki hizi chanel za ndani, ile naweka star tv nakutana na kanisa linajiita "Chanzo halisi"
Cha kushangaza wanatumia bibilia...
Mojawapo ya maazimio na makubaliano ya mwanzo kabisa waliyowafanya viongozi wa nchi za Africa zilizojipatia uhuru miaka ya 1960's ni kuendelea kuheshimu mipaka ya nchi iliyoachwa na wakoloni...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mtume Boneface Mwamposa (Bulldozer) amefafanua kwa ufasaha maana ya "sadaka ya kujimaliza" inayotolewa na waumini wa kanisa lake baada ya kupokea...
Na wakiwa Ibadani Makanisani ndiyo hupenda kukusanya Sadaka na kufanya kila aina ya Shughuli za Ibadani hata kama zingine haziwahusu.
Hupenda pia kuwa wa Kwanza kupokea Sakramenti ya Bwana na...
Kuna mabrother na wadogo zetu ambao wana roho mbaya sana kwenye ishu zinazohusisha maslahi kitu pekee wanachofikiria ni nafsi zao pekee mbaya zaidi wao ndio upewa kibali na mamlaka kuwa njia ya...
Kifo cha askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) Konstebo Kulwa Gilbert, aliyepigwa risasi kwa bahati mbaya na mwenzake, kimezua mshtuko kwa ndugu, jamaa, askari wenzake na majirani aliokuwa...
Hali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.
Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu...
Jeshi la kongo na Ethiopia yote yapo top 10 ya majeshi yenye nguvu.
Lakini kama unavo jua Technologia huwa haimsamehe mtu.
Anaeendana nae mara zote huwa na faida kubwa kwene vita. Jeshi la Waasi...
Habari Wadau
Naomba anayejua taratibu za kusafirisha vitu kama vitanda, makochi, Jokofu anipe maelekezo nataka kuhama Zanzibar niende Dar na vitu vyangu
Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato unaendelea kwa kasi, huku sehemu ya njia ya kuruka na kutua ndege (runway) ikiwa imefikia asilimia 90 ya utekelezaji.
Hii ni hatua muhimu...
Nimeona hii reply kwenye uzi, ikanifikirisha sana.
Mtu mpaka anaandika hivi lazima kuna kitu kizito nyuma yake.
Nini kimewafikisha hapa? na kuna chochote tunaweza kufanya kuwapunguzia hizi...
Biafra ilikuwa uwanja wa Mpira (openSpace) What is going on now mabati yamezungushwa. Sina hakika kama kuna kitu inajengwa ila inaonekana kuna kitu kinajengwa. Hii sio Sawa
Dar es Salaam open...
Ukitoa DRC au Congo ambayo hadi sasa zaidi ya watu million 12 wameuliwa. Sehemu nyingine ni Ethiopia
Ethiopia watu wanauana kama Kuku kisa ukabila. Serikali ya watigray iliyoongoza kwa miaka 30...
Ningependa kujua tu Jeshini JWTZ kati ya Luteni mwenye (nyota moja) labda mwenye miaka miwili tangia aanze kazi na yule askari mwenye saa mkononi na kirungu sijui cheo chake kinaitwaje mara nyingi...
Ukifika nchi zilizoendelea huwezi kuona watu wanazungumzia mabarabara , ma fly over au ujenzi wa zahanati kama ishara ya maendeleo.
Hivyo vitu ni lazima kuwepo.
Yaani ni sharti serikali itumie...
Iweje tarehe ya ujazaji wa bwawa iwe siri?
Kweli Crane ya Tani 26 haijafika hadi leo zaidi ya mwezi umepita?
================================
========================...