Zaidi ya 80% ya mimea, mamalia, reptilia na vyura ni wa kipekee kwa Australia na hawapatikani popote pengine ulimwenguni zaidi ya bara hilo pekee. Hawa ni baadhi tu
Ifahamu nchi ya Australia...
By Mosiqi Acharya
Department of Immigration and Border Protection (DIBP) have released the new Skilled Occupations List (SOL) for 2016-17.
This list will come into effect from 1st July, 2016...
habari za leo wanajamvi., samahani naombeni msaada jinsi YA kupata visa ya Australia yaani vitu gani napaswa kuambatanisha? .nimeomba mara ya kwanza nimenyimwa nimeambiwa niseme evidence kwamba...
Kuna kampuni zingine unaweza kudhani zina laana.
Unakuta hakuna waajiriwa waliopiga hatua, wapo wenye hali zinazozidi kuwa mbaya, wenye nafuu wapo pale pale walipoanzia.
Yani unakuta kila...
Kuna opinion unaweza kuisema, then ikawa controversial kwa watu na wakakupinga vibaya mno ila wewe ndani yako unaiamini iko sahihi na luckily baadae wanakuja kujua ulikuwa sahihi ingawa walikuweka...
Yaani Kuna makosa ya kibinadamu ambayo binadamu huwa ni kawaida kukosea lakini kwa hapa nimeona huyu mwandishi hajaona kama amekosea kuandika ila ndivyo alivyoona ni sahihi hii sentensi ipangiliwe...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati...
Wadau hii changamoto ina maana gani kwetu raia?
Kuna kiasi cha maafisa wa polisi 38,850 katika jeshi la polisi la Tanzania, ambao ni kiasi cha afisa mmoja wa polisi kwa kila watu 1,150. Maafisa...
Kila ninapoomba kazi naambiwa subiri.
Sina kazi,
Sina pesa,
Sina anipendaye.
Sasa Duniani nafanya nini?
Leo tarehe 10/02/2025
Nahesabu siku za pumzi zangu zilizobaki.
Napambana naona nimefika...
Wizara ya maliasili na utalii imepongezwa kwa kutafsiri kwa vitendo maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuonyesha juhudi kubwa katika kuendeleza...
Barabara ya Dar -Arusha kuptia Tanga kuna ajali nyingi ambayo madera wanachangia kiasi kidogo ila kwa sehemu kubwa ni mamlaka inayosimamia barabara.
Maeneo ya Tengwe, Kwankale, Changombe,Kabuku...
Siku chache baada ya Wananchi wa Kata ya Mwangeza, Wilaya ya Mkalama mkoani Singida kulalamikia kuchota dumu sita hadi 12 ili wapatiwe huduma ya afya katika Zahanati ya Dominiki ikiwemo kwa...
Tatizo kubwa linalowafanya Watanzania wengi waogope mawazo makubwa ya kibiashara, kielimu, na kijamii linatokana na sababu kadhaa za kihistoria, kijamii, na kiutamaduni. Baadhi ya sababu hizo ni...
RIP HM Aga Khan, Nimeshangazwa sana na magazeti ya Kenya walivyosema kuhusu historia, They didn't mention that the HM aga Khan IV alitawazwa akiwa Dar es Salaam wakati baba yake alivyofariki...
Nchi zote zinazo wapatia matibabu viongozi mafisadi wa ki Africa ni muda Sasa wa kumuiga Trump Ili wawe wanatibiwa hapahapa(nchini mwao) kama JPM alivyokuwa anatibiwa Hadi kujifia hapa nyumbani...
Mbunge wa Nkasi Kaskazini Aida Khenan ameishauri serikali pamoja na uwekezaji ilioufanya kutakiwa kufanya maboresho katika utoaji wa huduma ndani ya Treni ya Mwendokasi (SGR) kwa kutumia treni...
Ushawahi kuumwa homa za mara kwa mara, na kila unapokwenda hospitali kupima malaria, typhoid, UTI, n.k unaambiwa huna, unapewa dawa za kuondoa homa. Baada ya kipindi fulani unajikuta mwili...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKEMEA VIKALI VITENDO VYA UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU KATIKA KATA YA NGENGE, WILAYA YA MULEBA MKOA WA KAGERA
Dar es Salaam 10, Februari 2025
Kituo cha Sheria na...
Zamani kabla ya Masaki kule Oysterbay kulikuwa Ndio Uzunguni na kulikuwa na Utulivu uliotukuka
Leo hii Dar es salaam yote inafanana na Sinza ile ya Shekilango road yaani kutoka Legho hadi Bamaga...
Habari za kwenu Wana jamii.....!!!
Katika pita pita kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na habari hii yakusikitisha ila kilichonisikitisha zaidi ni taarifa ya habari hii kutolewa maamuzi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.