Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Amani iwe nanyi waungwana Huyu John Pambalu ni kateksita, mchungaji au mwanasiasa? Sioni mchungaji au kateksita au mwanasiasa wa kumfananisha naye Kijana ana nondo ni balaa Kamchana chana...
4 Reactions
9 Replies
851 Views
Wananchi wa Kata ya Kia (Wilaya ya Hai, Kilimanjaro), Majengo (wilayani Arumeru, Arusha), na Naisinyai (wilayani Simanjiro, Manyara) wameandamana na kufunga barabara ya Mirerani hadi Uwanja wa...
3 Reactions
3 Replies
630 Views
https://www.youtube.com/live/JA35HedbKJA JamiiForums na ADRH (Africa Digital Rights Hub) wanaendesha Kongamano la Afrika kuhusiana na Ulinzi wa Taarifa Binafsi jijini Kampala, Uganda ambapo Mwaka...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Siku ya Faragha ya Taarifa huadhimishwa Januari 28 kila mwaka ikiangazia kuongeza uelewa kuhusu masuala ya ulinzi wa taarifa binafsi na kuhimiza sera na kanuni bora za kulinda taarifa za watu...
1 Reactions
1 Replies
549 Views
Wasafiri wengi hutumia mitandao ya kijamii zaidi wanapokuwa safarini mbali na nyumbani. Hata hivyo, ni muhimu kukumbuka kuwa kudumisha faragha na usalama wa akaunti zako za mitandao ya kijamii...
0 Reactions
1 Replies
578 Views
JINSI YA KUJILINDA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII 1. Sio kila taarifa ni ya kushiriki katika Mitandao ya Kijamii, angalia umuhimu wa taarifa unayoishiriki. Internet haisahau 2. Kuwa makini na kuweka...
1 Reactions
1 Replies
943 Views
Australia inapanga kuzuia watoto wenye umri chini ya miaka 16 kuingia kwenye mitandao ya kijamii ili kulinda afya ya akili ya vijana, huku waziri mkuu Anthony Albanese akisema kuwa mitandao hii...
0 Reactions
1 Replies
411 Views
Siku ya jana katika uapisho wa Mawaziri na mabalozi wapya tumeona Rais wetu akiongelea kuhusu kumteua daktari Janabi hii Ina maana kuwa wanafuatilia kwa ukaribu mambo yanayoendelea kwenye mitandao...
0 Reactions
1 Replies
405 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa onyo kwa wahalifu baada ya jeshi la polisi kufanikiwa kuwapata watoto wawili waliotekwa Februari pili 2025 jijini Mwanza na kupatikana...
1 Reactions
3 Replies
609 Views
MIF & CARE INTERNATIONAL TANZANIA WAZINDUA YOUNG WOMEN LEADERSHIP PROGRAM Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) kwa kushirikiana...
0 Reactions
1 Replies
267 Views
Wakuu, Juzi umeme ulikuwa umekatika kwangu, ikabidi niende kwa jirani yangu kupoteza muda kidogo nikisubiri umeme urudi. Jirani yangu (anaelekea utu uzima) ana watoto 3. Mmoja yuko nursery na...
5 Reactions
5 Replies
440 Views
Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa Sekta ya Afya imefanya maendeleo makubwa katika kujenga uwezo wa kukabiliana na dharura za afya ikiwa ni pamoja na kuwekeza katika mifumo ya afya...
0 Reactions
1 Replies
274 Views
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora Mhe. Bi Amina Ali amesema Tume inatarajia kutoa elimu kuhusu misingi ya haki na Utawala bora kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa...
0 Reactions
0 Replies
318 Views
Habarini wanajukwaa!! Nimepata kero hapa mpaka nashindwa kutatua, naombeni kufahamishwa. Ni hivi nimenunua umeme hapa Ila nimekatwa Makato ambayo sio stahiki Mana mara ya mwisho nilinunua...
3 Reactions
8 Replies
443 Views
Funguka huenda ukapewa miongozo na wakuu hapa JamiiForums.
10 Reactions
174 Replies
14K Views
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Sunzula B, Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, Bahati Suguti amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya Sh5 milioni kwa kosa la kufanya udanganyifu...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
hizi ni statistics kwa mujibu wa The chanzo Rate ya divorce kwa mikoa inayosifiwa kwamba ina wife materials na wapo vizuri kitandani mbona graph ipo juu sana . Mikoa inayongoza kwa talaka 1 -...
3 Reactions
1 Replies
514 Views
Naomba msaada Luxury Buses kutoka Dar kwenda Kigoma
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…