- KAHAWA au ENERGY DRINKS (za viwandani) ipi bora?.
* KAHAWA: kinywaji cha asili chenye sifa ya kuongeza nguvu ya ziada kinachotokana na mimea.
* ENERGY DRINKS: Vinywaji hivi vya kuongeza nguvu...
Asalaam Aleikum,
Ukweli ni kwamba wengi wetu siku hizi tulitokea kuvipenda sana vinywaji hivi vya energy drinks. Viko vingi na kila mtu ana brand yake anayeipenda, mimi binafsi Azam Energy...
Kama mada inavyonieleza
Kuna hiki kitendo cha dailysis pale Bugando hospital mambo ni ovyo sana
Kwanza wahudumu hasa wa kike kwenye kile kitengo hawana kauli nzuri kwa wagonjwa wanaokuja kusafisha...
Tunaishi katika taifa linalozungumziwa sana kwa michezo, hasa mpira wa miguu, ambapo timu zinazochambuliwa kila wakati ni Simba na Yanga. Hii imekuwa ni hali ya kawaida, na jua linapotoka hadi...
Waamuzi 15:4 Samsoni akaenda akakamata mbweha mia tatu; kisha akatwaa vienge vya moto akawafunga mbweha mkia kwa mkia, akatia kienge kati ya kila mikia miwili.
5 Alipokwisha kuviwasha moto vile...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano. Kuna malalamiko yameripotiwa kwa siku za karibuni kuhusu hospitali ya LUPA iliyopo ndani ya halmashauri ya mji wa Bunda.
Malalamiko ni mengi ila...
Je, unajua kuwa watoto hawazaliwi na hofu ya nyoka au buibui?
Wanafalsafa wa saikolojia wanasema kwamba binadamu huzaliwa na hofu mbili pekee: urefu (kuanguka) na kelele kubwa.
Hofu nyingine...
Tanzania hii kila uchwao ma pastor wanaibuka na kuwa wengi zaidi, wengi wakihubiri habari za Mwenyezi Mungu. Wametokea kuwashawishi watu wengi kuwafuata ama kuwa nao katika makanisa yao. Asilimia...
Kuhusu kuoneshwa mbona nakumbuka sio lazima mtu apelekwe mapangoni kujifunza hayo yote,,mtu akiwa kapewa mkoba wa uganga anaanza kwa kuumwa sana tu. Kama malaria huku akiwa kwenye ndoto wale wote...
Nimeshangaa sana, wengi walioachia uongozi chadema, wameondoka na kuendela na shughuli zao za kimaisha. Mwaipaya yeye ni kiguu na njia ofisi za chadema, na kwenye mikutano ya chadema.
Njaa haina...
Ukiwa kwenye chombo cha usafiri hasa haic za mijini na bajaji kwenye matuta wanakuwa wavivu kupunguza mwendo na kupanguwa gia.wanapita kama wamebeba roba za mahindi huo si udereva muone aibu tena...
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) nawapongeza mmeanzisha mfumo mzuri wa wananchi kufuatilia taratibu za kupata cheti cha kizazi na vifo katika mtandao badala ya kuja kupanga foleni...
Wote tunaona jinsi mataifa madogo madogo yenye rasilimali chache yanavyofanikiwa kutokana na mipango bora ya usimamizi.
Hali hii inajidhihirisha pia kwa Kigamboni, ambalo linabarikiwa na ufukwe...
Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) tarehe 16 Februari, 2025 iliandaa Mahafali ya Tatu (3) ya kuwapongeza Wanafunzi waliofaulu...
Ndugu zangu
Ni dhahiri kwamba ongezeko la wanawake wanaolea watoto peke yao limekuwa changamoto kubwa katika jamii nyingi za Kiafrika. Hali hii inatokana na sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na...
Tv imepiga shoti, Radio imeungua, Simu imeasti, n.k.
Kata washa - unaweza kuhisi kuna mtoto kaachwa anachezea swichi, umeme unarudi na kuwaka mara kwa mara
Umeme kufifia - umeme unakuwa mdogo na...
1: Kwa maana hana uganga wowote ni utapeli tu.
2: Kwa maana maagano yake hayamruhusu kujiganga
3: Anaogopa matokeo ya uganga huo kama akijisaidia binafsi
Nimekuja kwenu kama kuna mtu anajua vitabu vizuri vya hisa, hati fungani na zile indices za agriculture ili nianze kujifunza vizuri. Nawasilisha kwenu na naomba unipe hivyo vtabu