Habarini wanajukwaa!!
Nimepata kero hapa mpaka nashindwa kutatua, naombeni kufahamishwa.
Ni hivi nimenunua umeme hapa Ila nimekatwa Makato ambayo sio stahiki Mana mara ya mwisho nilinunua...
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Sunzula B, Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, Bahati Suguti amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya Sh5 milioni kwa kosa la kufanya udanganyifu...
hizi ni statistics kwa mujibu wa
The chanzo
Rate ya divorce kwa mikoa inayosifiwa kwamba ina wife materials na wapo vizuri kitandani mbona graph ipo juu sana .
Mikoa inayongoza kwa talaka
1 -...
Wakuu hope mko poa kabisa.
Straight to the topic.
Kama siku kadhaa nyuma LATRA waliwafungia hawa Katarama kutokana na uvunjifu wa taratibu za usafirishaji.
Sasa leo nakuja na malalamiko...
Jamaa alianza na Basi 2 za Scania kimsihara watu wakamchukulia poa, ila jamaa nachoona ni mjanja sana, alisalijili madereva wazoefu kutoka allys akawaongezea pesa nzuri, na kilichompa jina ni...
Naheshimu wewe unaesema hutaki kuoa.
Pia,
Na heshimu na wewe ulioa au mwenye mpango huo.
Lakini unapokuja na sababu kuwa wasichana wa siku hizi!! mara wanaume wa siku hizi!!, huo ni ubatili...
Wakuu naombeni mnijuze, wataniruhusu kusafiri? Mimi sikuwa najua kama unatakiwa uwe na kitambulisho, sasa safari ni kesho kutoka Dodoma hadi Dar. Baada ya kukamilisha taratibu zote ndio meseji ya...
Leo Mei 6, 2024, JamiiForums (JF) imetembelewa na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Michael A. Battle, kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi, ambapo amepitishwa kwa...
Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Mette Nørgaard Dissing-Spandet ameitembelea JamiiForums (JF) na kufanya mazungumzo na Uongozi na Watendaji wake ikiwa ni pamoja na kujionea maendeleo ya Taasisi...
Kulikuwa na malalamiko sana kwenye mamlaka hii maana kila kijana ukimkuta kijiweni lawama kwa NIDA ila hali mnavyoenda nayo kiukweli niwape maua yenu💐💐💐💐💐💐
Jamaa wangu alipeleka maombi tarehe 01...
Katika hali isiyo ya kawaida website ya kusajilia Kampuni ya ORS iliyo chini ya BRELA iko down kwa zaidi ya masaa 3 sasa ! Ikitoa ujumbe wa "capacity problem" message kama hizi hutokea pia ambapo...
Malaka ya Mapato Tanzania (TRA) ndugu zangu mmetoa matangazo ya kazi na kuwataka Watanzania waombe lakini sijui ni kwa makusudi au bahati mbaya mtandao wenu ni shida kiasi kwamba inakuwa ni vigumu...
Katika maisha kuna aina nyingi za watu , leo nitakupa aina tatu za watu ambazo zinaweza kuwa msaada kwenye maisha yako kwa namna moja au nyingine.
1.Leaf People (Watu Majani).
Hii ni aina ya watu...
Walimu na Wanafunzi wa shule ya msingi Nachingwea wameomba serikali na wadau waliowahi kusoma hapo kusaidia kuboresha majengo ya shule hiyo yaliyo na hali mbaya.
Shule hiyo ina Wanafunzi 549...
Saa chache tangu taarifa ya kufukuzwa shule kwa wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga kwa madai ya wazazi wao kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkurugenzi Mtendaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.