Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Pole sana Fanton Mahal, i feel for you buddy. Pole kwa kuwa muhanga wa matokeo ya kizazi cha feminism, malezi ya ovyo ya watoto wa kike, sera mbovu zinazojali hisia za mwanamke peke yake...
0 Reactions
2 Replies
308 Views
Huyu alikuwa ni mwanajeshi mstaafu tena wa rank za juu. Ni wapi ni mtu aliyekuwa amekamilika kwenye medani za kivita hasa mbinu za kujilinda self defence tactics na ndio maana hata utekwaji wake...
17 Reactions
98 Replies
8K Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imetoa taarifa kuhusu uendeshaji wa mradi wa mabasi yaendayo Haraka (BRT) jijini Dar es Salaam na kubaini tija ndogo katika...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari Wana JF,mambo yanazidi kuwa magumu!Wanancnhi wa wilaya ya Uyui,wamelalamikia madada poa ambao hupitapita kutafuta wateja huku wakiwa wamevaa nguo zisizo na Heshima. Pia wameonyesha wasiwasi...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Salamu kwa mkeo ,kwangu sio kipaumbele . Nawasalimu wote wanaonijua na wanaonipenda ,endeleeni kufurahia na kufanya yapendezayo moyo wenu . Kwaheri watanzania ,kwaheri marafiki ,kwaheri ma_ex...
4 Reactions
17 Replies
679 Views
Ilifahamika na kuonekana bayana tangu mwanzo, kwamba kiongozi mpya wa chadema hana maono wala mipango madhubuti ya kuendesha chama kwa mipango mikakati maalumu ya kiuchumi na kujitegemea kama...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Mambo yanabadilika Kwa Kasi sana ila Ujamaa ulikuwa na Faida zake Mtu kama Lucas Mwashambwa angekuwa Dereva wa Trekta la Kijiji na kama angesogea hapa Mjini basi City Council wangemuajiri pale...
5 Reactions
6 Replies
259 Views
Mifumo hii ya cash less kwa maana ya kulipa bila kutoa hela ndio mradi wa dunia ya kisasa ila kwa hapa naona kama watu wanaikwepa chukulia tu lipa kwa namba Wengi ukienda anakwambia sina namba...
0 Reactions
27 Replies
958 Views
Eti wakuu, alipokuja makamu wa Rais wa Marekani si mnakumbuka jinsi barabara zilivyofungwa na watanzania kupata bughudha ya usafiri pamoja na adha nyingine. Nilitegemea Jeshi la Polisi wangetoa...
11 Reactions
62 Replies
2K Views
Serikali kupitia ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na serikali za mitaa - TAMISEMI (Afya) imeahidi kuchangia zaidi ya Milioni 600 hadi kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya cha Ukumbi...
0 Reactions
0 Replies
417 Views
LADIES: 1: Dada's Urembo na style 2: Toto's group ujauzito hadi malezi 3: Msusi online matunzo na style za nywele 4: Aunty Mwajuma kungwi na ushauri 5: alex udaku 24hrs WANAUME SASA😂😂 1: Buza wa...
13 Reactions
43 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi nchini linaendelea kuchukua tahadhari katika kuzuia uhalifu unaovuka mipaka ukiwemo uhalifu wa mitandao na ugaidi ambapo kupitia ushirikiano wa Tanzania na India wamekubaliana...
2 Reactions
0 Replies
312 Views
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Godfrey Chongolo amewataka vijana wa bodaboda kujiepusha kutumiwa katika uhalifu wa mpakani hususan uvushaji wa bidhaa za magendo. Akizungumza na kikundi cha...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kama wewe hauna imani na mwanakondoo wa Mungu basi tambua kuwa pepo haikuhusu Tafakuri ya kina kwa wenye hekima za kipekee Muwe na siku njema Ufunuo wa Yohana 21:27 7...
0 Reactions
15 Replies
588 Views
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba, amewataka wakuu wa Idara na Vitengo vya Sheria katika Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha wanazingatia weledi...
0 Reactions
0 Replies
349 Views
Kesi inayomkabili Dkt. Abdi Warsame, anayeshutumiwa kwa kujipatia mamilioni ya shilingi kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa kampuni ya bima ya afya AAR (sasa Assemble), imesikilizwa kwa siri katika...
1 Reactions
1 Replies
416 Views
Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama mkoani Singida imekabidhi mikopo ya Sh. milioni 395 kwa vikundi vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo,Asia...
0 Reactions
0 Replies
434 Views
Anaandika Ali Kibao, mtoto wa kwanza wa mzee Ali Mohamed Kibao. ________ Baba yetu hakutaka makuu wala umaarufu. Ali-dedicate sehemu kubwa ya maisha yake kwa wanawe na wajukuu zake. Hayo kwake...
18 Reactions
29 Replies
3K Views
Watoto wake Wapo wawili mmoja la 5 mwingine la 3. Wote wa kiume. Kaambiwa siku hizi watoto wa kiume Wana haribiwa shule za boarding hazifai bado wadogo hao hasikii. Watu wengine matatizo huwa wana...
5 Reactions
41 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…