Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mtaalamu wa mifumo ya kompyuta wa kampuni ya Vodacom Tanzania PLC, Naamini Yonazi akiongea na wasichana wanaofanya mafunzo ya Code like a Girl yanayofadhiliwa na kampuni hiyo kupitia asasi ya dLab...
1 Reactions
1 Replies
216 Views
Hellow Tanganyika!! Vita ya kiuchumi imepamba moto, hivi sasa unakula embe ,chungwa, papai linalochukua miezi chini ya SITA tu, linakuwa tayari Kwa chakula, Cha kushangaza hakuna mbegu ndani ya...
15 Reactions
110 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas,amemsifu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Dk Damas Ndumbaro kwa utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo katika...
0 Reactions
1 Replies
374 Views
Habari Wakuu naombeni njia nyepesi ya Kupunguza Umalaya , kuacha nitakuwa muongo .. Maana ni kitu ambacho nimegundua kinanirudisha nyuma sana kwenye maswala ya maendeleo yangu binasfi...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi huadhimishwa Februari 11 kila Mwaka kuadhimisha mafanikio na michango ya Wanawake na Wasichana katika Sekta ya Sayansi, Teknolojia...
0 Reactions
2 Replies
519 Views
Sababu kuu zinazowafanya wasanii, wafanyabiashara, wanafunzi, wasomi, na watu wenye ushawishi hapa Tanzania kuwa watetezi wa Serikali, hata pale inaposhindwa kutetea maslahi ya wananchi, ni hizi...
3 Reactions
4 Replies
383 Views
Siku ya Mtandao Salama ni mpango wa kimataifa unaofanyika kila mwaka kila Jumanne ya pili ya mwezi wa Februari, ili kuongeza uhamasishaji kuhusu matumizi salama ya mtandao. Ilianzishwa mwaka 2004...
1 Reactions
2 Replies
524 Views
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF) umewataka wataalamu wanaosimamia miradi ya kupunguza umaskini kupitia mpango wa kunusuru kaya maskini awamu ya tatu (TASAF III) Mkoa wa Simiyu...
0 Reactions
1 Replies
335 Views
Wananchi wa tarafa ya Nyamiaga Kata ya Murukulazo Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera wameaswa kutokukichukulia sheria Mkononi na badala yake kuzifikisha changamoto zao katika mamlaka husika huku...
1 Reactions
1 Replies
423 Views
Naibu Waziri wa Mambo ya ndani Mhe. Daniel Sillo amesema katika kipindi cha kuanzia mwaka 2022 hadi 2024 jumla ya wananchi 1,113 wamepoteza maisha kutokana na ajali zilizosababisha na pikipiki kwa...
2 Reactions
9 Replies
872 Views
Mods mnaweza unganisha uzi huu na wa mwanzilishi wa hii mada hii Robert Heriel Mtibeli Uzi ni : Moja ya dalili ya kijana kukosa maadili ya wazazi ni kuwafanya Wasanii wa muziki, drama na Filamu...
1 Reactions
1 Replies
231 Views
Ndugu wanabodi. Mimi binafsi ni mtumiaji mzuri wa mtandao wa Airtel. Lakini pia ni freelancer na agent wa mitandao yote ikiwemo na Airtel. Kitu kilichonistua mpaka kuandika hii thread. Ni baada...
5 Reactions
18 Replies
973 Views
Serikali ya Tanzania kupitia TCRA tunaomba mtusaidie Wananchi wenu, kuna mitandao ya simu (..) kila ukiweka salio la fedha unatafutwa na namba ngeni Kuna mitandao fulani ya simu kila ukiweka...
9 Reactions
22 Replies
1K Views
Anonymous
Kumekuwa na changamoto wakati wa kuhuisha leseni za LATRA Kwa waliopata mwaka 2023 ikidaiwa kuwa tumepewa kimakosa, huku tukifanya kazi kwa takribani miaka 2, Mwaka wa tatu huu unaambiwa umepewa...
0 Reactions
2 Replies
635 Views
ASSETS ZA ASILI ZA MWANAMKE NA MWANAUME. HIZI UKIZIJUA ZITAKUSAIDIA PAKUBWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Assets ni rasilimali aliyonayo mtu au kampuni, taasisi au shirika, au taifa...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Ikiwa ni siku chache tu tangu Kundi la Tembo kutoka Hifadhi ya Burigi - Chato kuvamia Mashamba na Makazi ya Wakulima wa Kata ya Kasulo, Wilayani Ngara Mkoani Kagera, Wananchi wengi walioathirika...
0 Reactions
0 Replies
601 Views
My Take Hakuna Nchi imewahi fanikiwa kupambana na rushwa Kwa 100%. Ni ufisadi kwenda mbele ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ https://x.com/elonmusk/status/1888176132484211041?t=B6ACjCkp3ZcJ-bjPBv7gXw&s=19 Eti hao ndio...
5 Reactions
74 Replies
2K Views
Katika mijadala mingi kuhusu dini na imani, kuna mkanganyiko mkubwa kati ya neno mpagani na mtu asiyeamini kabisa uwepo wa Mungu (atheist). Nimetumia neno wapagani kwenye kichwa cha habari ili...
3 Reactions
19 Replies
990 Views
Ndio, hakuna kinachosaidika kwenda gaza directly, vitu vingi vinapita kwanza kwa hamas alafu wanapewa wananchi wachache kwa ajili ya ushuhuda wa bongomuvi. Wanashirikiana katika kuua ideology ya...
0 Reactions
5 Replies
234 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ