Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naombeni mtu yoyote au yeye mwenyewe kama atapita humu, naomba kuonana na watu hawa ili wanipe connection ya maisha, wanapata hela wapi? Hawa vijana wadogo lakini pesa ndefu sana. Msaada tafadhali.
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwa ma globalists wenzangu tunaopenda mambo ya kimataifa hasa viongizi wa Dunia, Leo Dunia imechanganyikiwa baada ya Trump kuongea na Putin jumatano ya jana. Matukio makubwa kama mkutano wa...
0 Reactions
2 Replies
408 Views
MAKALA HII imeandaliwa na CREEZLE FAREY WhatsApp ME +255789407381 KAHABA : Kahaba ni neno linalotumika kumaanisha mtu anayejiuza kwa ajili ya ngono. Katika muktadha wa jamii, kahaba mara nyingi...
0 Reactions
2 Replies
425 Views
Wakuu mtakumbuka mara baada ya marekani kutangaza kurudishwa nyumbani kwa raia wa nchi kadhaa, kumekuwa na mfululizo wa misafara ya wenzetu hawa kuelekea nchi zao. Juzi kati niliona India...
5 Reactions
7 Replies
483 Views
Hapa kuna orodha ya baadhi ya ujanja ujanja wa kimantiki kwa kiingereza zinaitwa logical fallacy ambazo wajanja huwa wanazitumia kwenye debate ama mabishano ya hoja ili kushinda mabishano hayo...
2 Reactions
12 Replies
862 Views
Na siku hizi wamekuja tofauti, zamani unatumiwa ujumbe moja kwa moja, sikuhizi utatumiwa meseji habari yako, hellow, vipi, n.k. Unaweza kudhani ni mtu mnafahamiana labda huna namba yake...
0 Reactions
5 Replies
366 Views
Kwema wakuu? Nina hitaji Muongozo wa katiba ya NGO ambayo ni English version. Online site ya board ya NGOs iko suspended. Mwenye kuwa nayo ninaomba anisaidie. Asanteni.
0 Reactions
1 Replies
289 Views
Katika bara la Afrika, nchi zimekuwa tegemezi kwa mazao machache ya chakula. Sasa hivi, spishi 20 za mimea zinatoa asilimia 90 ya chakula chetu, na tatu kati ya hizo – ngano, mahindi, na mpunga –...
1 Reactions
1 Replies
754 Views
Mchimbaji mdogo mdogo wa Madini ya Ruby yaliyopo katika kata ya Mundarara wilayani Longido Mkoani Arusha Sendeu Laizer ameibuka kuwa tajiri katika sekta hiyo baada kupata tani tano za madini hayo...
2 Reactions
114 Replies
17K Views
Tena 85% ya Ndugu zake (hasa Kaka zake) wako nchini Oman na wanashangaa kuona tukisema ni Mwenzetu.
0 Reactions
3 Replies
437 Views
Maisha ni magumu sana kwa "Majobless Pro Max." Ukiwa mtaani, inabidi upambane kweli kweli ili uweze kupata chochote kitu cha kula. Wakati mwingine, unaweza kula mara moja kwa siku au kama bahati...
7 Reactions
23 Replies
629 Views
Ni usiku wa kawaida jijini Mbeya. Clara, binti mrembo mwenye tabasamu la upole lakini macho yenye siri nzito, yupo na marafiki zake wawili pamoja na mpenzi wake, Anthony. Wanaketi kwa utulivu...
0 Reactions
4 Replies
453 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nathubutu kuandika uzi huu kulingana na experience yangu na hizi shule, lakini pia kile ambacho mimi naona kingefaa. Hapo zamani ilikuwa...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Anonymous (8163)
Baada ya TRA kubadili mfumo wa forodha umesababisha mizigo kuchelewa kutoka bandari na kupeleka gharama za kutoa mzigo kuongezeka. Mfano mzigo kutoka Zanzibar unachukua siku 5 kutoka bandarini...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
Ni kawaida sana kusikia mama akisifiwa kwa kuzaa photocopy ya mume wake, bila kujua kwamba ile process ya ‘photocopying’ haikufanyika tumboni kwa mama, bali ilianza kwenye ‘Gonads /(Korodani)’ za...
5 Reactions
37 Replies
5K Views
Habari wakuu: Nami naungana na watanzania wenzangu kulia pamoja kutokana na msiba mzito uliyotukuta, Tuje kwenye mada inawezekana ulikuwa unaona mishumaa ikiwashwa bila kujua maana yake hebu leo...
2 Reactions
1 Replies
20K Views
Anonymous
Barabara nyingi za Dar alama za wavuka kwa miguu, alama za matuta na mistari ya kutenganisha barabara upande wa kushoto na kulia zimefutika ambapo ni hatari kwa madereva na raia hasa wakati wa...
0 Reactions
0 Replies
314 Views
Mliofunga ndoa ya serikali nipeni mwanga. Mfano wa barua ya maombi ya kuomba kufunga ndoa ya kiserikali. Niwekeeni nicheki anuani zinapangwaje!
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Pole sana Fanton Mahal, i feel for you buddy. Pole kwa kuwa muhanga wa matokeo ya kizazi cha feminism, malezi ya ovyo ya watoto wa kike, sera mbovu zinazojali hisia za mwanamke peke yake...
0 Reactions
2 Replies
308 Views
Back
Top Bottom