Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Alianza na nyoya moja la kuku alilo-okota njiani wakati akitembea matembezi ya jioni, lakini leo hii ni mfalme wa ufugaji wa kuku, akisambaza bidhaa zake katika masoko ya kimataifa. 😂😂👆🏾 sijui...
3 Reactions
8 Replies
687 Views
Umeenda semina Njombe, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda daladala za Ramadhani shukia kwa Sanga. Unashuka stendi unamkuta ndugu yako...
56 Reactions
90 Replies
3K Views
Hili wazo niliwahi kusikia speech moja ya hayati Nyerere. Kabla ya Ukoloni lilikuwa ni kabila moja ambalo liliambaa Rwanda hadi Congo. Kama Arizona iliwahi kuwekewa mipaka katikati na nusu ya...
5 Reactions
88 Replies
4K Views
Mfanyabiashara umejipapatua unataka kujisajili ulipe kodi aisee ukienda kwa hao majipu wanajiita BRELA yani ni aibu. Mfumo dhaifu, user experience mbaya na tunalipa pesa zetu yaani kama ningekuwa...
6 Reactions
67 Replies
3K Views
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan amewavisha nishani mbalimbali majenerali, maafisa na askari wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi...
2 Reactions
3 Replies
567 Views
Nini maana ya ubunifu? Ubunifu ni uwezo wa kuunda au kubuni kitu kipya au kupata njia mpya ya kutatua tatizo (Kulingana na mimi). Mfano wa ubunifu ni kubuni programu ya simu inayorahisisha malipo...
5 Reactions
2 Replies
2K Views
WAKUU habari zenu. Katika uchunguzi wangu mdogo nilioufanya nimegundua kwamba waafrika wengi bado wanaendelea na nila zao za zamani japo chinichini ili watu fulani wasijue. Kwa mfano watu...
1 Reactions
11 Replies
458 Views
Wakuu Habari ya Jumapili... Niende moja kwa moja kwenye mada,miaka ya karibuni kumezuka mtindo mpya wa maisha ya kusifia watu Mbele ya camera na kupewa pesa,wenyewe machawa wanaita "kuokota"...
6 Reactions
13 Replies
602 Views
- JF, Insta, facebook na magazeti vyote, vingejaa picha na jumbe za Tanzia. - Akaunti nyingi za kijamii hasa za watu maarufu kama wanamuziki wasanii wanasiasa mainfluencers zingesimama kufanya...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Huyu jamaa uongozi wake umejengwa kwa misingi ya Genocide. Bila Genocide hana cha kusimamia. Kwa rwanda amejibrand kama ni mtu aliyezuia Genocide. Kwa nchi ambazo zina makabila mengi huwezi...
2 Reactions
5 Replies
472 Views
Kama mmefuatilia huu mjadala wa Hawa jamaa was huko congo kukinukisha asilimia kubwa naona wanaowachukia ni wanaccm naomba nijue hii ipoje aisee maana ukiwasifia Hawa wapigania haki za wananchi...
2 Reactions
24 Replies
973 Views
Baada ya Trump kusitisha misaada Afrika, kumetokea sintofahamu nyingi zikisema, "Haya sasa, huyo Mchina ajitokeze!" Ukweli ni kwamba Mchina ni mlaghai na mpigaji kuliko hao mabeberu. Angalau...
5 Reactions
62 Replies
2K Views
Leo nimeona mtu akifa kama utani na mbele yangu. Wakati nikivuka barabara ghafla mtu mwanaume aliyekuwa mbele yangu akaanguka kama kapigwa shoti ya umeme. Akajibamiza vibaya sana chini na pote...
32 Reactions
293 Replies
31K Views
Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia. Ayubu 22:21
5 Reactions
4 Replies
377 Views
SERIKALI KUTOA MUONGOZO WA KUAJIRI WANAOJITOLEA Serikali imeeleza kuwa iko hatua za mwisho kukamilisha mwongozo utakaoangazia jinsi ya kuwaingiza katika mfumo watumishi wanaojitolea nchini. Hayo...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za jioni. Aisee ndivyo wanavyoitwa wanaume wanaopambania ndoa zao kwa wake zao.Yaani mshono gani utoke mke asiutake.Dume hilo mbio mbio kwenda kusaka mafaranga au maokoto hata kwa kubeti...
0 Reactions
1 Replies
246 Views
1: Kwa kila watu 200 unaokutana nao mtaani kwenu basi wa 2 ni mizuka (ghost). 2: Usiipende kujiangalia kwenye kioo Mida ya usiku wa manane kuanzia saa 9 hadi saa 11, sababu mida hiyo taswira...
10 Reactions
81 Replies
3K Views
Kwa muda mrefu, Askari wa JWTZ wamekuwa wakilaumiwa kwa kujichukulia Sheria mikononi mwao. Kwa kuwa wao ni wanajeshi, wanaamini kwamba wanaweza kupiga watu makofi mtaani hovyo bila kuulizwa na...
76 Reactions
265 Replies
21K Views
Mzozo unaondelea upande congo kule goma kumekuwa na shutuma nyingi kuhusu rwanda na uganda kuwa wahusika wakubwa wa mgogoro japo wenyewe kukanusha. Ukiangalia ni kama mikakati ya ambayo imesukwa...
4 Reactions
7 Replies
818 Views
Kwa kweli, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kitendo cha marais wa Afrika kuiamini Tanzania na kuja kufanya mkutano ni dhamana kubwa sana ambayo alikuwa nayo Amiri Jeshi Mkuu. Tuache...
2 Reactions
11 Replies
509 Views
Back
Top Bottom