Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanajamvi ikiwa leo ni jumapili tukufu huku tukisherekea sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar binafsi nina jambo linalonishangaza. Ambalo ni michango inayoitwa ya Bima ya afya inayochukuliwa na vyuo...
0 Reactions
1 Replies
354 Views
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagamana na ujumbe wake akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam wengine Desemba...
1 Reactions
1 Replies
419 Views
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akiambatana na ujumbe wake kutoka Tanzania akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na...
0 Reactions
1 Replies
388 Views
Hapa nazungumzia kuimarisha mapenzi katika mahusiano ya kawaida au kwa namna nyingine mahusiano ambayo sio ya kimapenzi Kwanza ni kuonyesha unavutiwa na mambo ya rafiki zako au watu ambao huwa...
3 Reactions
1 Replies
362 Views
Wamerekani jaribu kutuonea huruma msije mkazuia kutupa Dawa za Ukimwi. Maana hata miaka ya 1990s Dawa zilikuepo but it was too expensive. I lost 8 siblings and two parents . Aisee itakuwa noma
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Nakumbuka hata neno ukimwi likitajwa ,moyo wako unaenda mbio sana maana ilionekana ni mtoa roho. Hata kuna jamaa walikuwa wakikonda ghafla kidogo walikuwa wakihusishwa kuwa na ngoma. Yani ilikuwa...
2 Reactions
47 Replies
1K Views
Mimi Hadi Sasa sikuelewa umuhumu wa kuleta ARV, ARV zisingekuwepo HIV Sasa isingekuwepo walio na maambukizi wangekuwa wameshakufa wote wakabaki wasio na maambukizi badala yake idadi ya walionao...
15 Reactions
52 Replies
2K Views
Hiki kipindi cha sasa hivi vifo vya namna hii vimekuwa vingi sana.Sio kwamba nipo hapa kuwalaumu la hasha bali nipo hapa kutaka kujua kulikoni siku hizi wakuu? Ipo hivi kuna hospital moja huku...
11 Reactions
65 Replies
3K Views
Painuliwe juu vizuri, pawekwe level, pachimbwe mitaro mipana iliyoenda chini vya kutosha na ijengewe vizuri (water drainage canals). Padizainiwe garden moja kali sana, yawekwe mabenchi ya zege...
6 Reactions
40 Replies
6K Views
Hi, Guys hivi unatumia siku ngapi kumaliza mshahara wako wote mimi kwangu huwa siku tano naanza kukopa tenaa yaani upya ila nikipata tu kabla sijalipa madeni natenga 30000 ya kula kitu...
16 Reactions
93 Replies
6K Views
Wakubwa shikamooni rika langu habarini za mchana. Labda nianze kwa kisa hiki ili nipate kueleweka kisa chenyewe ni hiki hapa. Nlipata kusimuliwa na mtu wangu wa karibu sana juu ya raia wa nchi...
2 Reactions
0 Replies
335 Views
Baada ya Trump kusitisha misaada yote ya Marekani kwa kila kitu na kote duniani bila shaka kundi mojawapo la watu ambao watakuwa wamefurahia ni wale wajinga ambao hupinga matumizi ya...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Good Morning wadau wa JF. Visa vya rafiki kuwa adui ni vingi mno na vimeandikwa sana humu na sehemu zingine mbalimbali. Je, adui yako anaweza kuwa rafiki? Au aliyewahi kuwa rafiki kisha akageuka...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Juzi tarehe 2/2/2023 Mjumbe wa Shina namba 9 Mbezi Beach B Bw. Daudi anasema alipigiwa simu akiambiwa kuna mtu ambaye amefia kokoni, ambapo alipofika eneo la tukio akakuta kichwa cha mwanaume huyo...
5 Reactions
35 Replies
5K Views
Matukio ya kinyama yametokea dhidi ya wanawake wawili katika Mtaa wa Chinyika jijini Dodoma ambao miili yao imeokotwa huku mmoja ukionekana kujeruhiwa na kitu chanye ncha kali. Kwa mujibu wa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mbuni ni ndege, tena MKUBWA aliyejaa minofu inayovutia. Nimemuangalia na kumtafakari, hakika amenona. Nimeona huko kwa wenzetu, nyama yake inauzwa bei mbaya na inatajwa kwamba ni nyama yenye...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
KAMA HIVI NDIVYO UNAVYOISHI MJINI NI BORA URUDI TU KIJIJINI UKAISHI KULINGANA NA KIPATO CHAKO. Yawezekana hii isiwe makala nzuri kwa waishiyo mijini huku wakijisifu kila siku na kuwabeza waishiyo...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Wakuu kwanza Nawatakia sabato njema upendo na Mwanga ukatawale katika maisha yenu. Nina ndugu yangu Ana umri wa miaka 33 kazaliwa 1992 Elimu yake darasa la saba. Ndugu hana Kazi ya kudumu ...
1 Reactions
5 Replies
495 Views
Naomba JamiiForums itazame yafuatayo. Je, ni sahihi kwa mkandarasi kutaka kupunguza kilomita za barabara kwa kuchepusha barabara karibu na vyanzo maji eneo la Kitulila huku akijua kufanya hivyo...
0 Reactions
4 Replies
311 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…