Kama kichwa cha habari kilivyo!
Makondakta na Madereva wa dala dala Mbeya wanatoa lugha mbaya sana kwa abiria. Sumatra waelimisheni abiria haki zao ndani ya dala dala acheni kushinda ofisini watu...
Hivi inawezekanaje TBC1 kama Chombo cha Taifa kinatoa Kipaumbele kwa Saa zaidi ya Mbili (Masaa Mawili) Watangazaji wake kuonyesha Viongozi wa Mikoa (RC's) na Wenyeviti wa CCM Mikoa wakimsifia Rais...
Sijajua kwanini Watangazaji wetu tena nguli kabisa hawajaonekana wakifanya Kitu chochote Kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Nishati
Au hatuna Watangazaji nguli wa Kimataifa hapa kwetu?
Nimeshangaa...
Serikali ya Donald Trump imetambulisha sera ya bendera moja, ambapo bendera ya Marekani pekee ndiyo itakayoruhusiwa kupepea katika vituo vyote vya Serikali ndani na nje ya nchi zikiwemo ofisi za...
Yes, kwa maana hii competition ya AI itafanya intelligence kuwa na uwezo mkubwa wa kuweza ku dis-organize na re -organize kwa maana naamini AI it evolve kuwa kitu kipya then kwa kutumia ubunifu...
Nilikuwa naitwa jina fulani, kutokana na Imani yangu ya Dini,jina nililopewa na wazazi wangu,
Baada ya kubadili Dini,mimechagua jina lingine linaloendani na imani yangu, Sasa nilitaka kubadirisha...
Nilikuwa katika pitapita zangu za kawaida pale Ubungo Kibangu, lengo likiwa kumtembelea rafiki yangu wa zamani ambaye tulisoma naye sekondari. Ni kijana wa miaka 28, mcheshi na mwenye kipaji...
Hellow wakuu,
Kuna dada mmoja ana umri wa miaka 39 ni mkulima mama wa watoto wanne,
Anachangamoto ya "kajembe" (kati kati ya kifua kwa chini pametengeneza shape ya mbonyeo "u flat"
Mapigo yake...
Mfanyabiashara na Mkurugenzi wa kampuni ya Mabasi ya J4 Express, alidaiwa kuwaua kwa kuwapiga kwa risasi Ally Abeid Mohamed, mkazi wa Igoma na Claud Sikarwanda, mkazi wa Nyasaka Ilemela, Julai 13...
Jamani wana JF kuna malalamiko mengi ya wazazi na wadhamini wanaofadhili watoto kwenda vyuo nchi mbali mbali.
Sio wote wanaokwenda hizo nchi wakafanya vizuri ila wimbi kubwa linapotea sana kwa...
Salaamj Wana JF.
Naitwa DJ. DON NALIMISON Ni Mtanzania mwenye asili ya Kimarekani. Yaani baba Mzazi ni raia wa Marekani na mama Mzazi ni raia wa Tanzania. Nimezaliwa 28.06.1980 wilayani Kahama ...
Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU), Mchungaji Dk Msafiri Mbilu amelazwa katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Tanga ya Bombo akiwa mahututi baada ya kula keki...
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kisa kinene ,yapo mengi hatuyajui yapo mengi tunahaso tuyajue
Elimu haina mwisho,Tuendelee kijifunza tupo kwenye nchi ya Dunia ya tatu ipo nyuma Kwa mambo...
Madereva wa malori kutoka Tanzania waliokwama nchini Kongo (DRC) wameomba msaada wa haraka baada ya waasi wa kikundi cha M23, kinachodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, kuteka mji wa Goma.
Soma...
Rejea maneno haya ya nabii Mkuu wakati anampa Mwimbaji gari "Mimi napenda kuuona uzuri wa watu na kuuyoa nje". Kwa haraka sana gari hapo limekuja la kiwakilisho tu katika ulimwengu wa vitu...
Kwa Kizazi hiki Cha Sasa cha Tanganyika siyo ajabu miaka 20 ijayo Nchi hii ikawa zaidi ya Congo Kwa UPIMBI
Vijana siyo Wachapakazi, siyo Wabunifu bali wanaoamini katika Uchawa, Muziki na Maagizo...