chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,720
Jamani wana JF kuna malalamiko mengi ya wazazi na wadhamini wanaofadhili watoto kwenda vyuo nchi mbali mbali.
Sio wote wanaokwenda hizo nchi wakafanya vizuri ila wimbi kubwa linapotea sana kwa sababu kilicho wapeleka kusoma kukifata hakipo.
Hizi nchi kama mtoto hashikiki na mda wote anaweza kubadilika kabisa.
Nchi hizi ni USA,CANADA,CHINA NA MALYSIA.
asilimia kubwa watoto wanao kwenda nchi za china na usa ushindwa kusoma na kufanya mengine ambayo ni majuto.
Hili na zungumzia kwa sababu nimeshuhudia watoto wengi waliopelekwa china mwisho wa siku wameacha chuo,matokeo mabovu kwa sababu ya biashara zilizopo huko.
na USA asilimia kubwa watoto ubadilika na kuanza kufanya mambo ya ajabu hata kuacha chuo kuanza kufanya kazi.
Tunajadili na kutoa ushuuda