Habari wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Ulaya ya karne ya 19 kurudi nyuma sio kama Ulaya ya karne hii ya 21 yaani ni kama vile wameridhika na maendeleo yao.
Hata katika upande wa...
"Hiari haiuzwi. Akina mama wanajua hili vizuri, mapenzi yanayotolewa kwa hiari hayanunuliwi. Ndio maana hata ukiwa tajiri unaweza kunyang’anywa mkeo na bodaboda kwa sababu ya hiari," alisema...
Vijana wa sasa wamebaki kujadili Simba, Yanga na Magari ya Diamond huku wakuwaponda watumishi akina Mwamposana na walokole.
Vijana hawajadili kilimo wala mifugo, wana amini kubeti na kuwa chawa...
JE, WEWE NI CHUMVI AU MATUSI?
Chumvi haihitaji kufanana na viungo vingine, wala haitoi harufu kama viungo vingine, lakini bila hiyo, supu haina ladha.
Watu wenye athari halisi hawawezi kupigania...
Don't Put All your hopes in One Basket, Heri nusu shari kuliko shari kamili
Unakutana na kijana fresh outta chuo / college ana degree yake akiwa na mategemeo makubwa sanaaa !!
huko vyuoni...
Kuna uwezekano mkubwa wa kuishi maisha mazuri na yenye raha hapa duniani. Lakini ajabu kuna watu wanaridhika kuishi maisha duni. Wasiokubali kuishi maisha ya kimaskini wanapambana hadi mwisho...
Wajumbe wa Jukwaa amani iwe nanyi!
Hili swali nimejiuliza kwa muda mrefu sasa, kwamba marais wengine wa Tanzania wakifariki wataenziwa kama anavyoenziwa Mwalimu Nyerere kwa uwepo ya maadhimisho...
Hawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
Wachina wanafungua car wash
Wachina wanafungua supermarket
Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
Wachina wanafungua maduka ya...
Wakuu habari za wakati huu,natumaini mpo salama.
Mtanisamehe,mimi sio mwandishi nzuri.
Wakuu nina changamoto ambao nimeshindwa kulitatua hivyo nahitaji msaada wenu.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo...
wazee na Vijana wa JF
Nauza kiwanja kiko Kibamba shule 👉 Ibwegere
size mita 20 kwa 20
Kutoka kibamba shule hadi Site ni 1,500 Tsh kwa Boda
Bei elekezi 4,000,000 Tsh
Simu ziite 0744-033-555
Masikini, vijana hawa ni wafu watarajia kwa sababu ya kuwa wahanga na watumwa wa itikadi za watu binafsi amabao asili yao ushujaa wa kipuuzi.
Mtu anasema anaipigania dini, mara anaipigania...
Kati ya miaka 1700 Hadi 1800 watu wengi walikuwa wanatumia picha za kuchora kama sehemu ya kuweka kumbukumbu zao...labda kwa sababu hakukuwa na camera na hata kama zilikuwepo basi ilikuwa adimu...
📣📣📣📣📣📣📣
Maisha na Mafunzo Muhimu kwa Kila Mtu, Jitathmini.
1. Hakuna atakaye kuja kukuokoa. Simama imara, Kuwa shujaa.
2. Usilazimishe mtu yeyote akuchague. Utajifunza kutumia muda peke yako...
Ivi ni kwanini kazi sikuhizi wanapewa madalali?.Watu kabsa wameanzisha hadi makampini watu m-subscribe ili kupata kazi, kwanini yani ili upate kazi mpaka utoe hela. Eti kazi hii ili kupata Ada...
Mnamo mwaka 2019, Marehemu Rais Magufuli na na Rais wa Namibia, Geingob walikubaliana kuanzisha lugha ya Kiswahili katika shule za Namibia.
Mwezi huu, Wizara ya Elimu nchini Namibia ilitangaza...
Sisi Wakazi wa CHANIKA ZINGIZIWA tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua huu mwaka wa pili sasa, tangu Mwaka 2023 tuliambiwa tutaletewa mradi wa umeme lakini hii sasa ni 2025 mpaka leo hatuna umeme...
Malipo ya vibarua Shinyanga mjini TANESCO hawazingatii kiasi inawaumiza sana vibarua kwa kufanya kazi wakiwa na njaa kwa ukosefu wa pesa ni miezi miwili huu wa tatu hawajalipwa wanapitia maisha...
Nimemsomesha kwa shida, shule za gharama, najuta, najuta najuta, Bora angeishia darasa la saba B tu aingie mtaani ajifunze hata ufundi makenika chini ya mwembe.
Jumatatu nimeamia nimpeleke Veta...
Katika misimamo ya ki-conservative, majemedali hawa wanataka marekani iwe marekani ya viwango vikubwa bila ya kupoteza asili, utamaduni na chapa yake ya kuwa nchi yenye nguvu zaidi duniani...