Miaka ya nyumba sehemu zikufanyia shuguli zilikuwa ni chache ila mda ulipofikia miaka 2000 kusogea biashara nyingi zimeongezeka na kupelekea fremu kuwa chache na wenye nyumba kupandisha kodi kila...
When I met my future husband, I knew right away there was a something special about him.
Turns out he felt the same.
I lied eyes on him and my inner voice told me that by the grace of God, I was...
Sauti nyingi sana zinasikika huko kwamba Wachina ni kero, wachina wabaya.
Lakini sijamsikia hata mtu mmoja aliyelalamikia ongezeko la watanzania matapeli na mawinga kariakoo (madalali)
Zinaweza...
Kwa kutumia Rada Yenye Nguvu ya Kupenya Ardhini, Wanasayansi Wamechora Muundo Zaidi ya Mara Mbili ya Urefu wa Jengo refu Zaidi Duniani Chini ya Piramidi.
Sasa unajiuliza miundo hii ilijengwa kwa...
Ni jambo la kusikitisha kwamba katika jamii yetu, mjadala wa wazi kuhusu imani bado ni mwiko. Tanzania, taifa lenye mchanganyiko wa dini, tamaduni, na mitazamo, bado linakabiliwa na hali ambapo...
Wana jamnvi, ebu tukae tutafakari, Kwanini mtu awe maskini. Kinachoweza kumsaidia mtu kuwa na maisha yake ya kawaida ni uwezo wake wa kufanya kazi, Elimu hata ikiwa ndogo bado anakuwa na uwezo wa...
Ajali inapotokea huwa inasikitisha sana na kuumiza sana!
Lakini upande wa pili huwa inafungua ukurasa mpya wa kujadili!
Mungu aliumba mitume na manabii ili kuzisaidia mamlaka za utawala katika...
Huu Mfungo ukiutumia vizuri,
Ni muda Muafaka wa kushinda jumla matamaa-tamaa yako ya kifala!!
Usione mwanamke mzuri tayari unamtaka , Kama umerogwa.!!
Ushokijua ni kadiri unanyoendekeza tamaa...
Wakuu Habarini,!
Nielekee moja kwa moja kwenye Mada Hakika Mficha Maradhi Kifo humuumbua,
Maisha yanaweza kupinduka in a flash of second,
Jamani nisikieni Nina Huzuni na Moyo unalia Sana,
Naomba...
Kadiri tunavyokabidhi nafsi zetu kwa Mungu, ndivyo tunavyojifungua kutoka kwa vifungo vya ubinafsi na kuanza kuona ulimwengu kwa macho ya huruma na upendo. Wakati roho zetu zinapojisalimisha kwa...
Bunda high school zamani ikijulikana kama Bunda day ilianzishwa kama shule ya tarafa mwaka 1990. Tunaweza kusema ni kati ya shule kongwe wilayani Bunda.
Kwa sasa ina vidato vyote kuanzia kidato...
Hili suala lipo serious sana.Kwa ujumla eneo la Nyasura lina idadi kubwa sana ya wahalifu.Awali walijikita katika kuiba na kupora mali za raia ila kwa sasa hali imekuwa tofauti kabisa.
Kundi...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, amemwomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kusaidia kujenga bandari kavu Makambako, kutokana na ukweli kwamba eneo hilo na mkoa wa Njombe unapitiwa na reli ya...
Maisha na mazingira ya sasa yanatulazimisha Vijana kuchagua KILIMO au VETA,
Uwe na kazi, usiwe na kazi ili kujiongezea kipato zaidi ya mshahara ,siku zote tunajua mshahara hautoshi,Vijana kilimo...
Kwanza niwapongeze Kwa huduma zenu nzuri !!! Kwahilo mko viruzi namaanisha Hamna makato ya ajabu ajabu kama baadhi ya bank nyingine hapa inchi !!your good guys kwahilo!!! Tatizo lipo kwenye mobile...
Ooooooh Tanzania u hali gani tena rafiki !
Naomba kutoa wazo juu ya uanzishaji wa Chuo cha Michezo Tanzania. Hiki chuo kiwe maalumu kwa utoaji wa kozi ya Astashahada, Stashahada na Shahada kwa...
Ndugu zangu habari za muda huu, naomba kujuzwa kwa mabaye nafahamu MKOA wa MWANZA Halmashauri ya wilaya KWIMBA sehemu inaitwa ICHEJA.
Hali ya hewa ya maeneo hayo ipoje?
Ni umbali gani kufika...
21 Machi 2025
Miji nchini Ufaransa na Ubelgiji imekuwa ikitoa kuku bure kwa miaka mingi ili kukabiliana na upotevu wa chakula. Karibu na Pasaka mwaka 2015, mji wa Ufaransa wa Colmar ulianza kutoa...
Mh Rais ni wiki ya maji lakini kinyerezi hatuna maji.
Tumewalilia watendaji wa ukanda huu bila mafanikio.
Inavyoonekana upande huu unachangamoto na inakinzana nanmamlaka.
Mh Rais hii...