Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nchi ambayo inajiita Super Power inakuaje na Raia ambao wana maisha magumu Maana sio rahisi umkute raia wa marekani akija Africa na kufungua Madube na kisha kujiita mwekezaji.
2 Reactions
8 Replies
464 Views
Baada ya kamati ya Uchunguzi iliyoundwa na Waziri Selemani Jafo Februari 2 mwaka huu uchunguzi umekamilika na imegundulika kuwa kuna Baadhi ya Wafanyabiashara wametumia vibali vya Watanzania...
1 Reactions
3 Replies
624 Views
Ni ngumu sana gari aina ya V8 zile ambazo utumiwa na serikali kusimamishwa ovyo kama utakuwa probox au passo. Na wakikusimamisha uwanza kujitafakari maana walishajengewa kuwa wenye magari haya ni...
3 Reactions
3 Replies
452 Views
Wakuu, Jamaa huyu aliyetambulika kwa jina la Yusufu amedakwa huko Arusha baada ya kutambulika kuwa ni tapeli katika kanisa katoliki Kijenge, Arusha. Wananchi wanasema alikuja na akapewa nafasi...
2 Reactions
8 Replies
733 Views
Huwa nashangazwa na kukerwa sana na tabia ya kina dada baadhi kupost picha za mitego mitandaoni kisha baadae kujitokeza na kulalamika picha zao kutumika kufanya utapeli. Kina dada wa aina hii...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Ikiwa nchi Ina uchumi mzuri kidunia je inakuaje watu wake wanakuwa wanahangaika na maisha ? Mfano angalia raia wa kichina wanavyoangika na Maisha kufika hatua ya kufanya Kazi ambazo wanafaa...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Itazame hii video halafu jiulize maswali 5 kisha uyatafutie majibu wewe mwenyewe. Serikali inawajibu wa kutoa ajira kwa vijana wote. Ajira kwenye taasisi za kiserikali. Ajira kwenye sekta binafsi...
3 Reactions
5 Replies
538 Views
01.Nimekuja Dar es Salaam kupambana sina hata ndugu wa kuniwekea dhamana, kama itatokea shida. Nina Imani kupitia mke wangu yeye ndio atakuwa dhamana yangu namba moja. 02.Kazi yangu ni bodaboda...
16 Reactions
89 Replies
3K Views
Kabla ya wengi wa vijana wa kiarabu na kiajemi kurubuniwa ufahamu wao na mindset zao kuwa engineered katika fujo, force na chaos while kutupilia mbali utu na teknolojia, mahala pale palikuwa penye...
0 Reactions
4 Replies
314 Views
Google imerusha satellite ya kwanza la kundi la Nyota firesat imefanikiwa kufika kwenye obiti ya Dunia ikilenga kuleta mapinduzi katika kutambua Majanga ya Moto ya msituni. mtandao huo umeundwa...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Baadhi ya ofisi za uhamiaji Zina baadhi ya Watumishi wa ajabu mno ni kama hawapo kwaajili ya kuhudumia umma. Ofisi ya Uhamiaji mkoa wa Arusha nimewavulia kofia ,Wanabaadhi ya Watumishi naweza...
3 Reactions
11 Replies
622 Views
Team ya Crown Media ni kama wapo serious na kazi kama watakuwa na consistency kwa muda mrefu basi ni wazi kuwa atachange tasnia ya media bongo Tz(game changer). King Kiba anastahili kupewa...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Pesa na divinity wapi na wapi. Fremu nje ya ukuta nyumba za ibada, shule, vyuo, uwekezaji wa hisa, etc Rudisheni kwa masikini na wanyonge, hii ndio njia ya kristo, hii ndio njia ya SAW. Jengeni...
4 Reactions
7 Replies
419 Views
Thibitisha kutoka kwenye chanzo halisi cha maudhui ili kupata uhalisia kamili, mfano wapotoshaji wanaweza kuhariri video na kubadilisha uhalisia wake hivyo kusababisha upotoshaji unaoweza kuibua...
0 Reactions
0 Replies
295 Views
Mkuu wa wilaya ya Kilombero Wakili Dunstan Kyobya katika kliniki ya Samia mkoani Morogoro akiwa mgeni rasmi aliwapatia walimu wa baadhi ya wilaya kuzungumza changamoto zao ambapo moja ya walimu...
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Matumizi ya vyombo vya usafiri vinavyotumia umeme kama baiskeli za umeme,pikipiki za umeme,matoroli ya umeme kwa sasa ndio yamekuwa mengi kusupply mizigo mfano karikaoo. Matumizi mengi ya vyombo...
1 Reactions
0 Replies
264 Views
Hivi lile Bwawa la Nyumba ya Mungu halizalishi tena umeme? Kama linazalisha kwa nini umeme wake usitumike huko Kaskazini kujazia huo unao pungua? Naona kama TANESCO wanakuja na miradi mipya...
1 Reactions
0 Replies
262 Views
Siwezi shangaa kuona bajeti kubwa ikitengwa kwa watu wa programmer ambao wanashindana na idara kubwa za hisabati na mainjinia wa ovyo pamoja waziri mkuu wetu naye kuwepo ufikiri ni VETA...
4 Reactions
9 Replies
665 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…