📖Mhadhara (76)✍️
Katika pita pita zangu kwenye mikoa ya Mbeya na Songwe nimefanikiwa kugundua kero inayohatarisha maisha ya watu hasa watoto wadogo.
Wenyeji wa mikoa tajwa mnapenda sana kuchimba...
Niko napiga jalamba humu beach ya Mbezi Beach kwa kweli hizi FUKWE ni chafu sana. Ni bahati mbaya pia kwamba hizi ndio FUKWE zilizopo ukanda wenye Mahoteli ya Kitalii kama vile White Sands...
Wakati tunaanza chuo mwaka 2002 the guy alikuwa smart mpaka tunamaliza 2005. Nlikuwa naona ni moja ya watu ambao watakuja kufanya makubwa sana nchini.
Nimekuja kutana naye mwaka jana...kwanza...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule wameongoza Maelfu ya Watu waliojitokeza katika Mkesha wa maombi ya 'Roho na Hekima' kwa mtumishi wa...
Wakuu heri ya X-Mass na Mwaka Mpya,
Kama ambavyo heading inajieleza yenyewe,
Naomba tuelimishane jamani, nimejaribu kuchunguza sana nikagundua kuwa watu wengi (asilimia kubwa) ya watu wenye...
Ndugu yangu hizi sio stori za vijiweni huenda hata wewe msomaji ukawa uko katika kundi hili lakini hadi sasa mambo bila bila.
Nakaribisha uwanja wa majadiliano hapa wakuu karibuni mwenye mawazo...
Salam,
Tunaendelea katika episode nyingine ya 'MZINDUE AWESO MAJI YAREJEE', na leo tumpe mbinu nyingine ya kujua uhalisia wa kinachotokea mtaani. Yaani hii wiki inaenda kuisha kule Mbezi Beach...
AMA WATENDAJI DAWASA WANAMDHARAU WAZIRI AWESO AU WAZIRI AWESO ANAFANYA USANII KWA WANANCHI!
WADAU poleni na majukumu ya mchana kutwa. Nataka kuzungumzia tatizo la maji maeneo ya Tabata...
Je, Wakatoliki kupitia Kanisa lao Tukuka ( ambalo GENTAMYCINE ni Muumini Wao Mtiifu ) la Katoliki wana Mtambo Maalum wa Kuutajirisha Ubongo wa Mtu anayesoma Kwao kuwa na IQ Kubwa na Maarifa mengi...
Kwenu Wahusika, kwa mara ya pili!
Naandika kutoa malalamiko yangu na kuhusu kukosekana kwa maji kutoka DAWASA katika maeneo mengi ya Tabata, kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa ambayo pia inatufanya...
Habari .
Nianze kwa kusikitika kwa ukatili unaoendelea kwa wakazi wa Makabe (Makabe secondary)wanaohudumiwa na ofisi ya DAWASA Makongo Juu.
Tuna mwezi sasa maji hatuna na wala hakuna sababu...
Sisi wakazi wa Mbezi Msakuzi tumeikosea nini Serikali? Maji shida, barabara shida ni kama kuna juhudi za makusudi kabisa tukose huduma hizi.
Pia, soma: √ - Dar: DAWASA yakutana na wananchi wa...
Wakulungwa , huu mwaka 2025 Mimi nimeamua kula Bata na kufurahisha nafsi yangu, Yani ni mwaka sio wa kujitesa tena .
Haya maswala ya kutafuta pesa na Bado hauli Bata nimeona sio kweli..maisha...
Wakazi wa Kisarawe II,
Mtaa wa kichangani kwani tumeikosea nini serikali?
Tumejichanga na kupata kiasi cha fedha ili kutengeneza barabara yetu ya mtaa Ila serikali ni kama haioni vile.
Tumeomba...
Kipande cha barabara inayopita kwenye Soko la Ilala Boma Jijini Dar es Salaam, Mtaa wa Tabora hakipitiki kipo kwenye hali mbaya kutokana na kuwa na mashimo makubwa huku maji huku pia majitaka...
Kipindupindu ni ugonjwa unaoambukizwa kwa mwanadamu kula kinyeshsi FRESH cha mwanadamu mwenzake. Kipindupindu si tu ugonjwa, ni ugonjwa wa aibu maana umekula "puu" ya mwezio.
Kipindupindu ni...
Habarini,
Ni maajabu na unafiki kwa serikali iliyoko madarakani kujinadi kuwa ni TIIFU kwa wananchi wake wakati inadaiwa na haina mpango wa kuwalipa kwa sasa hasa ukizingatia nchi inaingia kwenye...
Wanabodi,
Soko la hisa ni sehemu nzuri kwa makampuni yanayokua kupata au kuongeza mtaji kutoka kwa wawekezaji mbalimbali. Mpaka sasa, soko la hisa la Dar Es Salaam lina makampuni 28 ambayo yako...
Nawasalimu katika jina pendwa la Bwana wetu Yesu Kristo .
Mfalme wa utukufu.
Nimewaandikia hili kuwakumbusha hila za ibilisi,na njia yake kuu anayoitumia yakugeuza maandiko.
Nakufanya watu...