Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukitoka mizani ya Tinde kabla ya kufika Nzega hapo katikati kuna kipande kikubwa cha barabara kimeharibika na kutengeneza mashimo makubwa sana kwenye lami. Hii ni hatari kwa watumiaji wa barabara...
1 Reactions
5 Replies
469 Views
Kama mtanzania naandika hili machozi yakimwagika. Naumia kwa namna pesa nyingi za watanzania zilivyoteketea kwa kisingizio cha vitambulisho. Kipindi cha Kikwete pesa zililiwa hadharani. Kipindi...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Dar: NEMC na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wafanya Usafi Ilala Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki katika zoezi la kufanya usafi wa Mazingira lililofanyika katika...
1 Reactions
3 Replies
440 Views
Sadaka ni tenda la kiimani la kiroho .. Sadaka haitolewi kwenye nyumba za ibada tuu.. Hizi zenye imani juu ya Mungu moja na dini zake Sadaka pia hutolewa kwa miungu Sadaka pia hutolewa na wapagani...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Kumekuwa na mjadala mzito katika jamii yetu kuhusu tabia ya hospitali, iwe za umma au binafsi, kuzuia miili ya wapendwa wetu waliotutoka mpaka familia iweze kulipa madeni yaliyosalia. Wengi...
1 Reactions
1 Replies
339 Views
Mimi ni machine operator katika kampuni binafsi ya wahindi (the box factory limited, kisarawe 2,kigamboni), kusema ukweli tunaonewa sana huduma mbovu, usalama mdogo. Pia kuna kipindi wanakuja...
0 Reactions
0 Replies
247 Views
au Uchaguzi huu wa CHADEMA ni sehemu ya Utendaji wao (kwa Kipaumbele) na kwamba yale mengineyo ya Kimsingi kwa sasa si Kipaumbele chao?
3 Reactions
3 Replies
375 Views
Habari za muda huu wanajf, once again nimepitia kitabu cha bwana kabendera mengi alioandika ni maisha ya kibinafsi ya aliekuwa rais wetu JPM . Nimekaa nikatafakari yalioandikwa nimeona kabisa kuna...
2 Reactions
0 Replies
264 Views
Kati ya vitu vilivyonisumbua, hasa miaka ya nyuma nilipokuwa nikienda ugenini vijijini, ni suala la kuswaki kwa kutumia maji yaliyowekwa kwenye beseni/ndoo ya kuogea. Tokea nikiwa mdogo...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Naomba kutoa kero yangu juu ya adha kubwa ya maji eneo la Nyegezi na viunga vyake! Kimekuwa na kero kubwa sana ya maji Nyegezi kiasi kwamba tunajiuliza watendaji wa Idara ya Maji eneo la Nyegezi...
0 Reactions
0 Replies
360 Views
Tabia yake ya kuzusha na kuongopa mambo mbalimbali dhidi ya serikali sikivu ya CCM, dhidi ya viongozi wa CHADEMA Taifa na dhidi viongozi mbalimbali wa umma, wa vyama vya siasa n watu binafsi...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Wadau Kama mlivyosoma kichwa cha habari juu tupeane mawazo mbalimbali kuhusu hili jambo Je kwa mtaji wa tuseme wa Milioni 500 hadi Bilioni moja, ni biashara zipi ambazo zinaweza kua endelevu...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Nachojua mzungu ana hela nyingi na kama ni kula daima anapendelea kula vilivyo bora sijajua kwa maendeleo tulionayo hapa duniani kiasi cha kuanza kufuga broiler wa biashara na wanaliwa kwelikweli...
20 Reactions
117 Replies
5K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda na Waziri wa Afya nchini Tanzania Mhe. Jenista Mhagama, wamekubaliana kukutana Dodoma Makao Makuu ya Wizara hiyo, kufanya mazungumzo ya pamoja ya...
1 Reactions
5 Replies
452 Views
USIKATE TAMAA Hakuna kitu kibaya kwa maisha ya mwanadamu kama kukata tamaa. Mtu aliyekata tamaa humtengenezea shetani kuwa makao yake. Haijalishi ni kipi umepitia usikate tamaaa. Ni dhambi...
3 Reactions
3 Replies
559 Views
Jumla ya maafisa afya ngazi ya jamii 66 waliopangiwa wilaya ya Biharamulo wanaomba uwasaidie warudhishiwe pesa zao kiasi cha 740400tsh kwa kila mmoja waliodanganywa na kutapeliwa na mganga mkuu wa...
0 Reactions
8 Replies
593 Views
Amani kwenu Salamaleko Yule mhubiri wa kiislamu kaishia wapi Mbona simsikii je kwa mkapa alieenda? Na walihudhulia watu wangapi Mbona hatupean update LONDON BOY
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Katika likizo yangu ya hivi karibuni nikiwa Mwanza, nilitembelea Soko la Kayenze maarufu kwa jina la "Soko la Wakulima," lililopo Wilaya ya Magu, nilishangazwa na hali mbaya ya uchafu iliyokithiri...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mbowe asema Tundu Lissu ni mjinga, ametoa ufafanuzi wa shutuma batili anazotoa Tundu Lissu alipokuwa akihojiwa na Salim Kikeke Tazama Video hii
1 Reactions
5 Replies
740 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…