Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau anaejua hoteli au lodge nzuri ya kuchili na familia msimu wa Desemba anipe machimbo. Price isizidi laki Kwa siku. December hii sisafiri pia hatutaki kashi kashi. Asante. NB. Ikiwa Dar iwe...
9 Reactions
63 Replies
7K Views
JAMBO NISILOWEZA KULISAHAU KAMWE MWAKA 2024 Siku Moja katika kutekeleza majukumu yangu Kuna ndugu Fulani walikuja Kwa lengo la kuhifadhi mwili WA mpendwa wao majira ya saa Tano usiku Story ya...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Mimi ni mwalimu idara ya sekondari katika mkoa wa Mara. Niliwahi kuugua ugonjwa wa tumbo kujaa na kuvimba ambao kule Mara ni maarufu kwa jina la passport size huwa inatokana na...
3 Reactions
85 Replies
21K Views
Habari za wakati huu ndugu wana Jamiiforums, Nimepokea kesi nyingi sana kutoka kwa vijana wakiume january hii, wengi wao malalamiko yako ni kuwa Wanawake/wake wanaoishi nao wanataka watoto...
3 Reactions
14 Replies
752 Views
Kwema ndugu zangu....leo nilikuwa naomba kupata elimu juu ya wezesha kwenye m-pesa hasa kwa mawakala mfano nikikopa 150,000/= marejesho yake shs ngap??. Kwa mda wa mwezi mmoja. Sent from my...
3 Reactions
29 Replies
10K Views
Usafiri wa daladala kwa sisi wakazi wa kigamboni ni kero na shida kubwa. 1. Giza likiingia nauli zinapandishwa juu; Zinakuwa tofauti na zile elekezi za serikali. 2. Jioni daladala zinafanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Wajuzi wa Historia ya mji wa Dar es Salaam, Hospitali ya iliyoko Dar es Salaam inayoitwa Sinza Palestina ina uhusiano wowote na Palestina? Ilikuaje ikapewa hilo jina la Palestina?
1 Reactions
2 Replies
511 Views
Nawasilisha Bado nafikiria kulikuwa na ulazima gani wa CCm kuwahi kufanya maadhimisho ya miaka 48 wakati ingefaa na ingekua bora zaid kama wange fanya ikifikisha miaka 50 Au kuna sababu nyingine
2 Reactions
11 Replies
659 Views
1️⃣ Vyoo vya stand ya mabasi na daladala Mbagala Rangi Tatu viko katika hali mbaya sana! Uchafu umekithiri. 2️⃣ Abiria na wafanyabiashara wanateseka kila siku kwa sababu ya mazingira haya duni...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari za leo Wanajamiiforums? Kwanza kabisa niwashukuru madaktari kwa Kazi nzuri mnayoendelea kufanya🙏. Ila challenge yangu ni hii.Je, Kuna daktari yeyote ambaye ana kitu cha ziada tofauti na...
5 Reactions
4 Replies
446 Views
Bro, chukua hii. Usijidanganye huyo mwanamke msomi na mwenye kazi uliyeoa kwamba hiyo elimu na kazi yake itakuwa na faida kwenye ndoa yenu Bro, wanawake ni wachoyo na wabinafsi kupita maelezo...
33 Reactions
106 Replies
4K Views
Mh Rais ikumbuke kata ya IJUGANYONDO iliyopo Manispaa ya BUKOBA MJINI maana kata hiyo Ina changamoto nyingi sana. Yaani huduma za kijamii hazipo katika kata hiyo.
4 Reactions
5 Replies
558 Views
Mimi ninaishi wilaya ya Temeke Dar es Salaam, ninahitaji kununua miche ya muda mfupi ya MACADEMIA, miche hiyo ipatikane Morogoro, Moshi na Dar es Salaam. Mnaomjua anayeiuza karibuni hapa uwanja ni...
2 Reactions
8 Replies
710 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu raia wa Burundi, Ferdnand Ndikuriyo (27) maarufu 'Chuma cha Chuma', kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela na kulipa faini ya TSh. 500,000 baada ya...
5 Reactions
63 Replies
3K Views
Wakuu, umeibuka wizi ambao ningependa kuwasilisha ili mamlaka husika ichukue hatua stahiki na kulinda heshima ya Jeshi la Polisi. Jana, tarehe 4/2/2025, majira ya saa 1 jioni, majirani zangu...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Mahakama ya Afrika ya Haki ya Binadamu na Watu Tanzania yaamriwa kufuta adhabu ya kifo katika Sheria ya Kanuni ya Adhabu, (Sura ya 16) ndani ya mwaka mmoja kutokea leo tarehe 5/2/2025. Maamuzi...
2 Reactions
2 Replies
963 Views
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kati ya maombi 16 ya ‘aplikesheni’ yaliyopokelewa kwa ajili ya kutoa mikopo mtandaoni, manne pekee ndiyo yamekidhi vigezo na kupewa leseni za kukopesha, huku...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Baada ya Rais kuingia msikitini na mlinzi ambaye alidhaniwa kuwa ni mwanaume, shura ya maimamu walisema wanafuatilia tukio hilo na watatujulisha. Kwanini wako kimya mpaka sasa? Je, walikurupuka?
1 Reactions
3 Replies
267 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…