Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huwa najiuliza, kama Taifa tuna nini akilini mwetu? Haiingii akilini kuwakopesha zaidi ya milioni 13 vijana, tena kutoka familia masikini, ili wasome vyuoni halafu tushindwe kuzirejesha hizo...
10 Reactions
19 Replies
1K Views
Niko na washkaji zangu tunapiga bombe na nyama joma. Karibuni wadau tujuumuike, tufahi.
9 Reactions
98 Replies
3K Views
Hakuna uwezekano wa kufanyika Mabadiliko wawe Wanachaguliwa Vijana au Wazee wa Makamu kuwa Mapapa? Na huko Vatican wakati wanachagua hawa Mapapa huwa wanakuwa Makini sana pia kuangalia na Hali zao...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Waheshimiwa , Mamlaka husika, Naomba muhusike na kichwa cha habari hapo juu. Waswahili Tunasema sisi sote, ni wafungwa watarajiwa. Napenda kutoa maombi yangu kwa heshima kubwa kuhusu suala la...
5 Reactions
13 Replies
785 Views
Habari ndugu, Katika dunia ya sasa, ni wewe mwenyewe uchague—utafute ujuzi ukaingie sokoni kupambana na fursa au ubaki ukilalamika kila siku. Nafasi ni yako, hiari ni yako! Sasa bhana, kuna jamaa...
4 Reactions
0 Replies
229 Views
Apartheism is a lack of interest or concern whether or not God exist. Ukitazama matendo ya watu wanao jiita wakristu na waislamu utaona kabisa yanasadifu " Apartheism" . Matendo yao hayaonyeshi...
7 Reactions
12 Replies
601 Views
Kumekuwa na taarifa za mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu kwenye baadhi ya mikoa nchini. Mkoani Singida jambo hili sijalisikia lakini ni vyema mamlaka wakachukua hatua ya kuhamasisha usafi wa...
0 Reactions
3 Replies
325 Views
Sababu za umasikini wa mkoa wa Kagera Thursday September 08 2022 Siku chache zilizopita kumeibuka mjadala mkubwa uliochochewa na kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila kusema kwamba...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk But suala la ajabu wanaume kwa...
11 Reactions
51 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia takwimu mbali mbali kupitia vyombo mbali mbali kuwa mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi na waathirika wa UKIMWI. Swali langu ni la kidadisi(curiosity)...
9 Reactions
264 Replies
73K Views
Mamlaka zinazohusika na ubora wa bidhaa nadhani mnajisahau sana, mitaani kuna bidhaa nyingi ambazo kama hazija-expire, basi hazina expire date kabisa au expire date yake haionekani vizuri. Hii ni...
2 Reactions
0 Replies
759 Views
Katika dunia ya sasa yenye ushindani mkubwa na changamoto za kiusalama, matumizi ya intelenjesia yamekuwa msingi wa maamuzi sahihi katika sekta mbalimbali, zikiwemo usalama wa taifa, biashara, na...
0 Reactions
7 Replies
508 Views
Kwema Wakuu! Nimeamini Mjini mipango. Haka kajamaa bhana kama ungebahatika kukutana nako Mwezi wa Saba mwishoni ungeelewa Kwa nini Wazazi na ndugu Zake walikakatia TAMAA. Ungeelewa Kwa nini hata...
28 Reactions
121 Replies
5K Views
Wakuu Sisi wote ni mashahidi jinsi ujio wa trump ulivyoleta hekaheka nyingi kuanzia huko marekani kwenyewe, ulaya bara hindi na hata huku kwenye nchi zetu hizi weusi. Hadi sasa hajamaliza hata...
2 Reactions
10 Replies
498 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene, amewaita ofisini kwake Dodoma kwa mazungumzo viongozi wa vijana waliojitambulisha kwenye...
5 Reactions
73 Replies
6K Views
Ili Ukope huko yabidi uwe na vitu gani vya msingi?
6 Reactions
191 Replies
76K Views
WANANCHI PWANI WAHAMASISHWA KUSHIRIKI KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA Mbunge wa Viti Maalum, Dkt. Alice Karungi Kaijage, amewataka wakazi wa Pwani kushiriki kikamilifu Kampeni ya...
0 Reactions
1 Replies
269 Views
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu leo January 10,2024 ametoa taarifa ya hali ya utoaji huduma za afya nchini kwa mwaka 2023 katika mkutano wake na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam...
9 Reactions
88 Replies
7K Views
WAKILI maarufu nchini, Mediam Mwale aliyekuwa akishikiliwa na polisi tangu Agosti 2, mwaka huu, jana alifikishwa mahakamani akidaiwa kukutwa na fedha haramu zaidi ya Sh18 bilioni. Mwale...
0 Reactions
36 Replies
13K Views
Jaji Issa Maige wa Mahakama Kuu Arusha, amemuhukumu wakili Medium Mwale kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya Sh 200 milioni kutokana na kosa la utakatishaji fedha Pia amemuhukumu kifungo...
1 Reactions
48 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…