Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) imefanikiwa kuondoa changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa huduma ya majisafi kwa wakazi wa Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki, Manispaa...
𝗡𝗱𝗮𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝗶𝗮𝗸𝗮 𝟱 𝗭𝗶𝗺𝗯𝗮𝗯𝘄𝗲 𝗶𝗺𝗲𝗳𝗮𝗻𝗶𝗸𝗶𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗿𝘂𝘀𝗵𝗮 𝘀𝗮𝘁𝗲𝗹𝗹𝗶𝘁𝗲 𝟯 𝗔𝗻𝗴𝗮𝗻𝗶
Zimbabwe nchi kutoka Kusini mwa Afrika inaendelea kuonyesha maendeleo yake ya Sekta ya Teknolojia kwa upande wa Mawasiliano ya...
Muajiri chuo cha Afya City College Mwanza hapeleki michango ya watumishi wake NSSF wala hajajiandikisha NSSF kwa kigezo kua waajiriwa wake wanalipiwa
Na City College Kigamboni kitu ambacho sio...
Hatujawahi kuona umeme ukikatwa bila kuelezwa sababu kama huu wakati Rais yuko ziarani mkoa wa Tanga. Tumeambiwa tuna umeme mwingi wa ziada kwanini tunakatiwa umeme?
Tusifuatilie ziara ya Rais...
Habari wanajukwaa.
Mimi ni Mtumishi Sekta Binafsi. Mwenza wangu ni Mtumishi Sekta ya Serikali Idara ya Elimu. Tumepambana kuomba uhamisho wa kubadilishana na mtumishi mwenzake kwa kutumia mfumo...
Mkamu wa pili wa rais wa Zanzibar Hemed Seleiman Abdulla amewahima wananchi mbalimbali kuhakikisha wanafanya mazoezi kila mara.
Hemed Ameyasema hayo katika Uzinduzi wa matembezi ya upimaji wa...
Kila ukifika maeneo mbalimbali tangu mwaka jana Desemba (2024) mpaka hii Feb (2025) inaenda kuisha kuna ukame ambao hauelezeki.
Miaka ya nyuma miezi hii maeneo mengi ni heka heka hakuna kupoa ni...
Wapendwa tumelia na kausha damu lakini kuna kausha damu wengine makampuni ya takataka.
Kuna kampuni inaitwa Mkede hii kampuni Ina miezi sita haijabeba uchafu alafu wamekuja na viongozi wa...
Maumivu ya kodi ya pay as you earn (PAYE) ni makali mno. Ila sipati shida kwa sababu wote wanapendekeza hiko kiwango cha kodi na ku approve haiwahusu. 🤣🤣🤣Raha sana hii nchi.
Sasa wenzetu na mimi...
Kwenye ajira portal zimamoto kuna tatizo gani na mtandao wenu mbona kuna na vikwazo vya kuendelea na maombi ya ajira.
Anayehusika jamani weka sawa engine siku zina yoyoma
Wakuu mnajua Nini! Kwanza salamu sana. Pia amani ya mola iwe juu yenu. Nimekuja jukwaani Leo si Kuleta misemo na nahau ngumu kuzin'gamua bali nimekuja la jambo wote kunisaidia.
Ni ajabu kwangu Leo...
Zifuatazo ni hasara za matusi anazopata mtukanaji mwenyewe, na pia hasara anazowasababishia wale anaowatukana:
Hasara za Matusi Kiafya:
1. Kutukana kunaongeza viwango vya mfadhaiko wa akili...
Ni hatua zipi za ziada waajiriwa wapya wafuate ili waweze kulipwa pesa zao za kujikimu maana shida zinaonekana ziko kwa ma DT wamefanya zibadilike majina na kuwa pesa za ziada
Nimeshangazwa sana na aina ya viongozi wa elimu mkoa wa Morogoro, nimemtembelea rafiki yangu morogoro mjini,nimekuta yupo busy kuandika mikaratasi mikuuubwa ya mpango kazi wake wa mwaka...
Miaka 140 iliyopita tarehe kama ya leo ndipo mkutano wa Berlin ulipohitimishwa. Mkutano ulianza Tarehe 15 Novemba 1884 na kuhitimishwa Tarehe 26 Februari 1885 kwa kusainiwa kwa makubaliano ya...
Sisi Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO)Tulipata nafasi ya kutembelea Iringa Girls, shule ya mjumuisho inayowakaribisha Wanafunzi wa kawaida na wale wenye mahitaji maalum. Ni...
Utangulizi
Ubunifu ni kiini cha maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kiteknolojia katika karne ya 21. Makala hii inachambua hali ya ubunifu barani Afrika na kuilinganisha na maeneo yenye mafanikio...