Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Je, Ni watoto wangapi ni machokoraa mtaani, Je, Ni wagonjwa wangapi wapo hospitalini wakiugua kwa maumivu huku wakisubiria siku yao ya kufariki, Je, Ni Wanadamu wangapi wamefariki kwenye vita...
1 Reactions
23 Replies
744 Views
Habarini wakuu Natumai kwema. Dah! Joto limezidi ni hatari. Inafikia mpaka unahisi ya harufu ya nyama choma kumbe ni wewe unachomwa jua! Unakabiliana vipi kuhimili msimu huu wa joto. Exception...
7 Reactions
23 Replies
974 Views
Waarabu wenye OG wanapiga msosi huku chui naye akiwa anapiga piga nao msosi maisha yanaenda. Ungekuta huku kwetu akiguswa na Mbwa anakimbia kwenda kunawa utadhani wa maana. Hawa jamaa si tu huyu...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Angalizo tu HABARINI za asubuhi kwa ujumla Naamini wote mmeamka wazima WA afya Najua hili n kwa wote WANAHITAJI wafanyakazi WA nyumbani Lakini haswaa wale NDUGU ZANGU WA kawe mbezi beach makonde...
3 Reactions
17 Replies
995 Views
Wizara ya Katiba na sheria imetuma Mawakili wa serikali takribani 50 ambao kwa siku nane mfululizo watakuwa Mkoani Arusha, kusikiliza na kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi wa Mkoa huo kupitia...
1 Reactions
3 Replies
434 Views
Kila kituo cha Daladala Dar es salaam kuna kijiwe kikubwa cha bodaboda. Na kituo kimoja kikubwa unaweza kupata vijiwe vya bodaboda vitatu mpaka vitano. Kila kwenye shughuli za kijamii lazima...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Serikali imeshindwa kuendesha kivuko Cha Magogoni Ferry, Azam amewekeza ktk usafiri wa maji, Sasa hivi ndo anatoa huduma/ Biashara ya akuvusha watu pale ferry, kwa Uhakika kabisa. Na watu Wengi...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Wakuu kwanza salamu sana. Nipo Dodoma Kwa wiki mbili sa hivi . Lakini Dodoma niliyomo umeme wa uhakika hakuna. Dodoma muda wowote umeme unakata. Kutoka tarehe 24 hivi Kila ikifika saa sita saba...
0 Reactions
5 Replies
313 Views
Rais wa kwanza mwanamke Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah Namibia imepata Rais wa kwanza mwanamke, hatua kubwa katika historia ya taifa hilo. Safari yake ya kuwa mwanamke wa kwanza katika mambo ya...
8 Reactions
46 Replies
3K Views
Wakuu Bei ya Kioo cha SGR Usipime == Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Venance Mapala kutoka Polisi Kikosi cha Reli Tanzania, akizungumza kuhusu changamoto na gharama kubwa za uharibifu wa...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Imekua ni kawaida kuota ndoto za nyoka yupo chumbani kwangu au kitandani kabisa. Na nikistuka huwa nipo na hofu kubwa sana. Nini maana yake? Maana imekua ikinisumhua kwa mda mrefu sana! Msaada...
3 Reactions
18 Replies
8K Views
Umri ni nambari tu lakin ni namba zinazokuja na uwajibikaji katika kila nyongeza ya namba. Umri ni nambari tu lakini ni namba zisizokaa sehemu mmoja, kama vile zinavyoongezeka kila mwaka ndivyo...
9 Reactions
23 Replies
851 Views
Lulu Diva apigwa Iphone 16, alimpa mlinzi wake wamuwekee chaji Msanii wa muziki @luludivatz amejikuta katika wakati mgumu baada ya simu yake Iphone 16 kuibiwa na mtu asiyejulikana. Tukio hilo...
4 Reactions
15 Replies
969 Views
Kama kichwa kinavyosema , je kwenye jela za Tanzania hapa kuna raia wa hizi nchi wanaotumikia kifungo? 1.Marekani 2.uingereza 3.Canada. 4.Saudi Arabia 5U.A.E 6.N.K Tafadhalini naomba mnijuze...
2 Reactions
15 Replies
664 Views
Habari wanajamvi, Leo nimekuja na habari ya kweli na kusikitisha iliyonipa maswali magumu ambayo ni haya kwanza Chunusi wa baharini ni jini au mnyama? Je sayansi inatambuaje maiti iliyouliwa na...
7 Reactions
100 Replies
31K Views
Habari wakuu,hii inchi ikienda ivi raia watashindwa kutoa ushirikiano Kwa majeshi yetu,yaan Hasa Hawa askari wetu wanao tembea rod na kukakamata vyombo vya usafiri, Kuna askari jina kapuni uyu...
1 Reactions
4 Replies
433 Views
Habari wakuu Nasikitika sana kuona matukio ya watu wanajikuta hivi Kwamfano Kuna huyu jamaa aliyekuja kwasababu ya madeni ya mkewe eti mkewe ana Madeni ya vicobaaa duuuh aiseee Hii ni...
2 Reactions
12 Replies
593 Views
Huduma za afya bure ni ndoto ya kila taifa linalotaka kuboresha ustawi wa wananchi wake. Tanzania inaweza kufanikisha hili ikiwa kila Mtanzania atachangia kiasi kidogo cha fedha kila mwezi kupitia...
0 Reactions
2 Replies
449 Views
TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), imesema wenye madaftari ya wageni kujiandikisha kwenye malango ya ofisi zao wanafanya makosa kwa mujibu wa Sheria ya Taarifa Binafsi kwa kuwa wanakusanya...
5 Reactions
12 Replies
921 Views
Baada ya mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuele mbunge Mrisho Gmbo ahojiwena TAKUKURU kuhusu upotevu wa Ths. Milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia bodaboda. Hatimaye...
0 Reactions
3 Replies
546 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…