Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Natafakari sana aisee hivi kwanini mikoa mingi ambayo kuna idadi kubwa ya waislamu kuna maambukizi machache ya virusi vya ukimwi? Tunaona kila mwaka mikoa kama lindi na sehemu kama zanzibar...
9 Reactions
45 Replies
3K Views
Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) mkazi wa Salasala Dar es Salaam, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi-Africana anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi imetajwa...
1 Reactions
3 Replies
918 Views
Mtuhumiwa Upande wa Jamhuri katika kesi namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi-Africana anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake...
1 Reactions
4 Replies
978 Views
Kama ulikua hujui kuwa unaweza kumjua mtoto ni wako au sio wako bila kupima DNA wacha nikufahamishe;- Watu wengi huamini kuwa njia ya kicheki DNA pekee, Ndio inayo tambulisha kuwa mtoto sio...
1 Reactions
11 Replies
818 Views
Hili litasaidia taasisi ya mamlaka ya kutoa kibali hicho kujiridhisha na malengo mazima na dhamira ya uchangishawaji wa fedha hizo ili kuepusha zisije kutumbukia mikononi mwa wahalifu ambao...
7 Reactions
41 Replies
1K Views
Ndege Wasioonekana Wakitua Usiku. Kuna mambo yanayotokea gizani, huku wanyama wa porini wakiendelea na maisha yao ya kawaida. Huku raia wa kawaida wakijishughulisha na maisha yao, ndege fulani...
4 Reactions
10 Replies
505 Views
Wataalamu na wafundi wa electronics, Nina stabilizer ambayo leo sijaielewa. Hivi inawezekana ukaondoa FUSE kwenye stabilizer na bado ikandelea kuwaka na kufanya kazi au kuna tatizo. Na km ni...
1 Reactions
14 Replies
551 Views
Wasaalam!!!! Nakaa na kutafakari kwa kina, kwa mnywa pombe haswa vijana na wengineo hata watu wazima, chukulia hizi pombe kali... Hivi umeshawahi kutafakari kua wewe unaingia kwa bashasha sehem...
44 Reactions
248 Replies
10K Views
Tanesco tunaomba mtupe taarifa rasmi wakazi wa Kigamboni kuna shida gani mnakata umeme kila siku bila ratiba yoyote ili kufanya na sisi wananchi tujipange kuwa kuna mgao maana mnakata umeme saa 3...
0 Reactions
3 Replies
386 Views
Tasnia ya habari imevamiwa na magugu maji. MNA JUKUMU LA KUNG'OA MAGUGU Na N'yadikwa - Milima ya Umalila Hongereni kwa kuteuliwa. Kwa kuzingatia changamoto za uandishi wa habari na utangazaji...
2 Reactions
3 Replies
755 Views
Wahenga walisema "Usitukane mamba kabla hujauvuka mto" ishawahi kukutokea ukafikiri jambo ni rahisi ila ulivyolijaribu ukaona ugumu wake na ukahangaika nalo.
5 Reactions
51 Replies
2K Views
Huwa tunasisitiza mara nyingi kwa kusema “Kwa Udi na Uvumba”. Sasa najiuliza maana ya ‘Uvumba’ ni nini maana Udi tunaufahamu.
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Na Mwandishi Wetu, London. Askofu Lazarus Msimbe S.D.S wa Jimbo Katoliki Morogoro (pichani) amewataka Watanzania waishio nchini Uingereza (Diaspora) kutambua na kuendeleza mshikamano baina ya...
0 Reactions
3 Replies
362 Views
Wadau mimi ni rai wa tanzania. Naishi ktk mkoa mmoja miongoni mwa mikoa ya tanzania Lengo la kuja katika jukwa hili nikutaka kuomba ushauri maana naamini humu kuna wadau wengi wenye dondo ktk...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Moderator naomba Uzi huu uache ujitegemee lengo lake ni kujifinza Wadau hamjamboni nyote ? Napenda kujua kama upo mwongozo wowote ule kiimani au kikanuni kwa mujibu wa Vitabu vitukufu kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
327 Views
Ulimwengu (universe) una maajabu yake ila kwa Watanzania sidhani katika watu 100 unaweza kupata hata wawili wenye kujiuliza maswali na kuyatafakari kwa kina Enyi ndugu zangu ambao mmetenga...
3 Reactions
7 Replies
329 Views
Anonymous
WASALAAM, Napenda kumpongeza meneja wa NHC urafiki kilipokuwa kiwanda cha nguo zamani cha kanga. anafanya kazi nzuri sana ya kurekebisha miundo mbinu na kukarabati majengo ya flats za urafiki...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Wale wanaofunga mnapaswa kuelewa kuwa si kila mtu anafunga, hivyo haipaswi kuwa ni sababu ya kuwahukumu wengine, kuwaita majina ya hovyo au kuwalazimisha dini nyingine au watu wengine kufuata...
24 Reactions
112 Replies
3K Views
Mwanangu hajui hata National Flag ni nini, hajui hata what is civics: Hajui hata fasihi ni kitu gani! Haelewi hata simulitenious equation inafanywaje nikiwa kama mzazi mzalendo ni vyema nikakata...
20 Reactions
74 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…