Kuna pressure kubwa sana kwa vijana wa siku hizi kuhusu kazi. Ukimaliza chuo, wazazi na jamii wanataka uingie kwenye ajira fasta. Lakini hapa kuna dilemma moja kubwa: Unatafuta kazi unayoipenda au...
Unakumbuka enzi zile ambapo mtu alikuwa akienda benki kuweka au kutoa pesa, lazima apange foleni ndefu na asubiri kwa muda mrefu? Au enzi ambazo ukienda mgahawani, mhudumu ndiye aliyekuwa...
"Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka".
Andiko hili Lina maana kubwa sana haijairishi lingekuwa nimeandikwa na shabani Robart au Eric shigongo bado...
Siku hizi katika nchi hii kuna biashara ya kamari holela ambapo kuna watu husimika vimashine vidogo vya kamari katika mitaa ya wananchi. Mara nyingi utavikuta vinashine hivyo katika sehemu zenye...
Husika na kichwa Cha habari hapo juu, nauliza ni kweli Serikali haitambui SHAHADA YA PILI? Kama inaitambua basi tunashkru maana Moto wa kupata shahada hii si kitoto.
Otherwise kazi Iendelee 🇹🇿...
Wakuu habari za asubuhi?
Mwaka 2022 nililipa kuunganishiwa maji kwenye nyumba yangu nilikaa zaidi ya miezi 4 bila kuwekewa huduma niliyolipia hadi ikapelekea kununua vifaa vyote vya kuunganishiwa...
Marekani ndio kiwanda kikuu cha picha za X ila Mungu anaendelea kuwajaza mihela kila siku.
Tanzania wamefungia websites zote za picha hizo za X lakini bado wanaenda kuwaomba msaada wa hela...
Kusema kweli, nimekuja kulielewa suala la dini vizuri nikiwa mtu mzima. Enzi za utoto wangu, marehemu baba yangu alikuwa mshika dini wa kweli—muumini mwaminifu wa Kanisa Katoliki. Hakika, haikuwa...
Habari wadau JF,
Watanzania tubadilike twende na wakati kwa nini tuko kama watu kale binafi siungi mkono Machinga wala Migambo wajiji siko upande wowote ila kwa akili hizi mazingira...
Habarini nyote. Nawiwa kuja kwenu, kuuliza kuhusiana na undani wa hii cult, au hili kanisa linaloitwa Shincheonji Tanzania.
Nimekutana na watu na nimefanyiwa uinjilishaji, mpaka muda huu nasoma...
Champion popote ulipo Amani iwe nawe.
Level ya mwisho ya Maumivu kwa mwanadamu ni pale unapo achilia kicheko ili kuziba mwanya wa maumivu(demage) na si kuhuzunika.
Kupitia maumivu nimeyatambua...
Wee acha tu! Siku hizi kila kijana yuko kwenye mission ya “kujitengenezea maisha” lakini pia hataki kukosa soft life. Unakuta mtu analipwa mshahara wa kawaida, lakini weekend unamkuta kwenye...
Kusamehe ni kitendo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu, na kuna sababu nyingi zinazotufanya tuone umuhimu wa kufanya hivyo:
* Kwa ajili ya afya yetu ya kihisia:
* Kushikilia kinyongo na...
Kumtukuza Mungu ni Kufanyeje?
Kumtukuza Mungu inamaanisha kumpa utukufu. Neno utukufu vile linavyohusiana na Mungu katika Agano la Kale ndani yake hubeba wazo la ukuu wa utukufu. Katika Agano...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camilius Wambura amemueleza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuwa kwa sasa hali ya usalama nchini ni shwari, na hivyo kuwapongeza Polisi, vyombo...
Kwenye miji mikubwa kumeibuka viwanda mbalimbali visivyohitaji space kubwa vingi ni hatarishi kwa afya za watu kwenye maeneo ya makazi.
Vingi ya viwanda hivi vimeyakuta makazi,
Unakuta tu mtu...
TECHNO BALAA ⭕
Kama ulikua unawachukulia poa kampuni ya Tecno basi kha kwa kutulia 😏 kabisa Kampuni ya Tecno imeamua bhana imeleta simu yenye kupokea update miaka 5.
Kwa mara ya kwanza kwenye...
BOT wamejibu tuhuma kwamba shilingi ya Tanzania imekuwa ikiporomoka kwa kasi ambayo inaifanya mbaya kuliko nchi zote duniani. Sasa BOT wamekuja na majbu kama vile yameandaliwa kutoka makao makuu...
Ongezeko la wagonjwa wa figo nchini limeanza kujitokeza miongoni mwa vijana.
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imetangaza kuwa inapokea wagonjwa wapya wanne mpaka tisa kila wiki wenye umri kati...