Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa niaba ya wafanyabioshara wa Kariakoo-Dar, kata ya Kariakoo, mtaa wa Kariakoo Magharibi, tunaomba mamlaka zinazohusika na usimamizi wa mchakato wa usajiri na utoaji vyeti kwa vikundi vilivyo...
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Alizaliwa Machi, alikufa Machi na kuzikwa Machi. Kaburi la Marijani Rajabu katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Leo ni miaka 30 kamili tangu afariki.`Pumzika kwa amani King rajab.
5 Reactions
13 Replies
887 Views
Me yangu hii nimei understand sana chuma ni kutoka kwa mtibeli Robertinho.. Thread 'Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa' Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe...
1 Reactions
3 Replies
323 Views
Shule za msingi za serikali kuongeza wigo wa masomo ya kingereza (english) na kuwa matatu nayo ni kingereza, hesabu kwa kingereza na science kwa kingereza huku kiswahili kikifundishwa masomo...
1 Reactions
3 Replies
392 Views
Kuna pressure kubwa sana kwa vijana wa siku hizi kuhusu kazi. Ukimaliza chuo, wazazi na jamii wanataka uingie kwenye ajira fasta. Lakini hapa kuna dilemma moja kubwa: Unatafuta kazi unayoipenda au...
0 Reactions
0 Replies
332 Views
Unakumbuka enzi zile ambapo mtu alikuwa akienda benki kuweka au kutoa pesa, lazima apange foleni ndefu na asubiri kwa muda mrefu? Au enzi ambazo ukienda mgahawani, mhudumu ndiye aliyekuwa...
1 Reactions
13 Replies
663 Views
"Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka". Andiko hili Lina maana kubwa sana haijairishi lingekuwa nimeandikwa na shabani Robart au Eric shigongo bado...
0 Reactions
2 Replies
337 Views
Siku hizi katika nchi hii kuna biashara ya kamari holela ambapo kuna watu husimika vimashine vidogo vya kamari katika mitaa ya wananchi. Mara nyingi utavikuta vinashine hivyo katika sehemu zenye...
9 Reactions
19 Replies
1K Views
Kwa wanaojua mambo watusaidie kuelewa, hili bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanzania mbona halifukiwi?
3 Reactions
10 Replies
873 Views
Husika na kichwa Cha habari hapo juu, nauliza ni kweli Serikali haitambui SHAHADA YA PILI? Kama inaitambua basi tunashkru maana Moto wa kupata shahada hii si kitoto. Otherwise kazi Iendelee 🇹🇿...
6 Reactions
105 Replies
11K Views
Wakuu habari za asubuhi? Mwaka 2022 nililipa kuunganishiwa maji kwenye nyumba yangu nilikaa zaidi ya miezi 4 bila kuwekewa huduma niliyolipia hadi ikapelekea kununua vifaa vyote vya kuunganishiwa...
0 Reactions
1 Replies
286 Views
Marekani ndio kiwanda kikuu cha picha za X ila Mungu anaendelea kuwajaza mihela kila siku. Tanzania wamefungia websites zote za picha hizo za X lakini bado wanaenda kuwaomba msaada wa hela...
19 Reactions
185 Replies
6K Views
Kusema kweli, nimekuja kulielewa suala la dini vizuri nikiwa mtu mzima. Enzi za utoto wangu, marehemu baba yangu alikuwa mshika dini wa kweli—muumini mwaminifu wa Kanisa Katoliki. Hakika, haikuwa...
11 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari wadau JF, Watanzania tubadilike twende na wakati kwa nini tuko kama watu kale binafi siungi mkono Machinga wala Migambo wajiji siko upande wowote ila kwa akili hizi mazingira...
6 Reactions
53 Replies
7K Views
Habarini nyote. Nawiwa kuja kwenu, kuuliza kuhusiana na undani wa hii cult, au hili kanisa linaloitwa Shincheonji Tanzania. Nimekutana na watu na nimefanyiwa uinjilishaji, mpaka muda huu nasoma...
1 Reactions
3 Replies
480 Views
Champion popote ulipo Amani iwe nawe. Level ya mwisho ya Maumivu kwa mwanadamu ni pale unapo achilia kicheko ili kuziba mwanya wa maumivu(demage) na si kuhuzunika. Kupitia maumivu nimeyatambua...
20 Reactions
33 Replies
1K Views
Wee acha tu! Siku hizi kila kijana yuko kwenye mission ya “kujitengenezea maisha” lakini pia hataki kukosa soft life. Unakuta mtu analipwa mshahara wa kawaida, lakini weekend unamkuta kwenye...
3 Reactions
0 Replies
489 Views
Kusamehe ni kitendo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu, na kuna sababu nyingi zinazotufanya tuone umuhimu wa kufanya hivyo: * Kwa ajili ya afya yetu ya kihisia: * Kushikilia kinyongo na...
1 Reactions
4 Replies
498 Views
Kumtukuza Mungu ni Kufanyeje? Kumtukuza Mungu inamaanisha kumpa utukufu. Neno utukufu vile linavyohusiana na Mungu katika Agano la Kale ndani yake hubeba wazo la ukuu wa utukufu. Katika Agano...
2 Reactions
2 Replies
678 Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camilius Wambura amemueleza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuwa kwa sasa hali ya usalama nchini ni shwari, na hivyo kuwapongeza Polisi, vyombo...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…