Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kupitia mitandao ya kijamii imeenea video inayowaonyesha wanafunzi wa shule ya Msingi Komsala, iliyopo kijiji cha Komsala Kata ya Kwamatiku,, wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ambao wamekuwa wakikaa...
1 Reactions
10 Replies
633 Views
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola, imefanya operesheni maalum wilayani Same, mkoani Kilimanjaro kuanzia tarehe 19 hadi 25...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Huyu ni Mzee Ignasi Safari Swai mzaliwa na Mkazi wa Kijiji cha Momwe Kata ya Mrao Keryo Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro,ambae ameamua kutoa sehemu Kubwa ya ardhi yake anayoimiliki na kuikabidhi...
3 Reactions
5 Replies
489 Views
Kwa nn tajiri anaendelea kua tajiri na maskini anaendelea kua maskini. 1- Saving (Kuhifadhi) Tajiri ataweka ili kizidi kuongezeka, na afanye jambo lingne zaid ya anacho fanya kama biashra afungue...
1 Reactions
3 Replies
913 Views
Kwenye hili sasa watanzania mmezidi aisee! Inamfanya Rais aonekane kituko.
3 Reactions
10 Replies
596 Views
Mwananchi mwenzetu na aliyekuwa dereva wa magari ya watalii, Omari Msamo ameuawa na askari wa Jeshi la Polisi, Wilaya ya Karatu Mkoa wa Arusha. Omari Msamo ameuawa baada ya kusimamishwa na...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Wananchi wa Mtaa wa Mji Mpya eneo la kwa Mzungu kata ya Saranga jijini Dar es Salaam wameonesha kwa vitendo umoja wao kwa kuchangishana pesa na kujenga kipande cha barabara kwa kiwango cha zege...
3 Reactions
16 Replies
834 Views
Moja ya vitu sitasahau katika maisha yangu ni pamoja na kipindi nilichoishi kwa mtu ambaye ni almost ndugu yangu. Ilikuwa miezi mitatu tu lakini nilihisi ni milenia tatu! Na mwisho wa siku...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Kasi ya kuongezeka bajaji na bodaboda ni kubwa sana. Serikali kupitia jeshi lake la polisi walitakuwa kuona hii kitu tokea mapema sana. Sahivi ni kama vile wamekubali kushindwa. Hawa jamaa...
2 Reactions
8 Replies
412 Views
Tumsifu Yesu Kristo. Taarifa hii inatolewa na Idara ya Elimu ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kuhusu matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2024 kwa shule za Kanisa Katoliki...
25 Reactions
104 Replies
6K Views
Menu Personality test: Your face shape reveals whether you’re an analytical leader 2025-03-26T13:00:49-04:00 by Betania Vidal Have you ever wondered if your face might hold clues to who you...
1 Reactions
1 Replies
690 Views
watu hawataki kabisa kurudi makwao wakafuturu ila wanataka wakae USA tu waenjoy kisha Waandamane Sasa MWA-TRUMP kasema NO, utarudi kwenu, Wanalia hao Bye Bye, Uturuki inakuhitaji zaidi ila...
3 Reactions
17 Replies
896 Views
Wananchi mkoani Mara wamesisitiza kuridhishwa na utekelezaji miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), inayotekelezwa nchini kwa lengo la kuwapatia umeme wa gharama nafuu. Hayo yamejiri wakati...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imepokea maombi ya maunganisho mapya ya huduma ya maji kwa wakazi zaidi ya elfu nne wa maeneo ya Bangulo, Kata ya Pugu Stesheni...
0 Reactions
1 Replies
352 Views
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, leo Jumatano Machi 26, 2025, ameongoza kikao muhimu kati ya viongozi wa serikali na viongozi wakuu wa kampuni za wakandarasi zinazotekeleza miradi ya ujenzi wa...
0 Reactions
0 Replies
443 Views
Kampeni ya Mama Hana Deni inayoongozwa na Msanii na Mtangazaji Baba levo imefika kwenye mradi mkubwa na wa kisasa wa Umwagiliaji Mkoani Iringa na kushuhudia namna ambavyo maji yanasafilishwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
275 Views
Mko poa wakuu Nmepata wazo nimeona niwape mumpelekee mama au watu wake wa karibu.. Njooni na iftari ya FTURU NA MAMA.. Hii iwe km give back tu commonly.. Ifanyike kwny chungu cha 28 au 29...
1 Reactions
38 Replies
1K Views
Wananchi wa Kata ya Katesh, wilayani Hanang, mkoani Manyara, wamelalamikia kutoshirikishwa katika kuibua na kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo ya elimu na afya hivyo kushindwa kusimamia...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
BODI ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema inatarajia kuanza utaratibu wa kusajili waandishi wa habari kupitia mfumo wa kidijitali ifikapo mwanzoni mwa mwezi Mei, 2025. Taarifa...
1 Reactions
8 Replies
435 Views
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameendelea na ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Hanang', ambapo ameshuhudia uchimbaji wa kisima katika Kijiji cha Endasworld...
0 Reactions
0 Replies
291 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…