Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau habari, naomba kuuliza hivi viwanja vinavyouzwa tausi ukishalipia Instalment ya kwanza ikatokea ya pili umefeli kulipa kwa wakati, je ile pesa ya kwanza ndiyo umepoteza na kiwanja...
1 Reactions
2 Replies
446 Views
Hakuna jambo lililoumiza akili za Watu kwa miaka mingi kama Mada hii. Kwa karne nyingi mwanadamu amekuwa akihangaika sana kutaka kufahamu yeye ni nani. Hata hivyo kumekuwa na majibu tofauti...
2 Reactions
2 Replies
466 Views
Halmashauri ya Jiji la Tanga kupitia Msimamizi wa huduma za Uzazi wa mpango kutoka ofisi ya Mganga Mkuu, Catharine Pima alitoa taarifa kwamba jamii imeendelea kuhamasika kutumia njia za uzazi wa...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Heshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani. Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi...
30 Reactions
316 Replies
11K Views
Mdau ahoji imekuwaje watu wamefanikiwa kutafsiri vitabu vya dini kuja kwenye lugha mbalimbali hili kila mtu allowe, lakini vitabu vya maarifa ya dunia kama Vya kijeshi, kiuchumi, kimatibabu...
3 Reactions
13 Replies
703 Views
Nitumie link ya station yako na idadi ya wasikilizaji (average number of listeners per day) tuone uwezekano wa kuweka matangazo ya biashara. Whatsapp 0656388678 au private message.
0 Reactions
0 Replies
212 Views
Nimesitikishwa sana na yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii hasa wale wale wajinga wajinga waliomtumia Mange Kimangi clips inayoonyesha TRA imewaita watu wasiohusika kwenye interview. KItendo...
2 Reactions
2 Replies
685 Views
Huenda bado sijaeleweka. Mara nyingi huwa nikisoma kuhusu kilimo flani basi hukutana na maelezo ya Aina hii. Mfano kilimo cha passion unakuta maelezo yanasema kuwa karakara(passion) hustawi...
1 Reactions
2 Replies
372 Views
Jamaa ukimuona unaweza kudhani ni muuni tu asiye na madini au asiyejua chochote, lakini ukimsikiliza ndio unajua anafahamu vitu vingi ambavyo hata watu wenye kuvaa vizuri hawavijui wala kuwa na...
4 Reactions
1 Replies
212 Views
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Mwanza, Hamida Mussa maarufu 'Mama Mwakitosi' (64) anadaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mtandio shingoni na mfanyakazi wa ndani ambaye alitokomea...
5 Reactions
61 Replies
10K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amemuelekeza Katibu Mkuu, UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi kuhakikisha barua za walioshinda usaili na...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Tuende sawa. Kuna baadhi ya mambo ni ya kawaida na yanafanyika kila siku lakini wewe huwezi au hujui namna yakufanya... Mfano mimi; 1. Zile ngazi mwendo(escalators)siwezi kuzitumia, na sizitumii...
39 Reactions
297 Replies
8K Views
Kwako wewe DED masasi inafahamika kwamba mtumishi anapohamishwa kituo kimoja kwenda kituo kingine lazima alipwe fedha za uhamisho na ya usumbufu Sasa inakuwaje mwezi December mmehamisha watumishi...
0 Reactions
4 Replies
842 Views
NINI HASA KINAENDELEA NDANI YA CWT (IWAFIKIE WALIMU WOTE NA JAMII YA WATANZANIA) Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya kijamii huenda umekutana na taarifa za uteuzi wa baadhi ya viongozi...
4 Reactions
52 Replies
5K Views
Wakuu hakuna kipengele kwenye Gpt asee labda uje nacho mwenyewe Jana nimechat nae Kwa kina sana na akanipa mwongozo tukuka(GENTAMYCINE voice) Nilielewa asee Sasa mwezi ujao naanzisha kahama...
5 Reactions
20 Replies
914 Views
Naomba Serikali , isaidie kutoa support ya kusafirisha mwili wa marehemu Justin kimodoi . Cc Waziri Mkuu Pia soma > TANZIA - Mdau wa maendeleo Kagera, Justin Kimodoi afariki dunia nchini...
2 Reactions
71 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kilivyoanza hapo juu wengi watafikiri labda ni utani lakini sio utani ni kweli. Mimi nimezaliwa Mtwara, mara baada ya kumaliza darasa la saba nikawa sina dili, nikawa...
22 Reactions
113 Replies
17K Views
Katika baadhi ya nchi za Kiislamu, sheria za kidini (Sharia) zinaweza kumhukumu mtu anayekataa au kuacha imani ya Uislamu kwa adhabu kali, ikiwa ni pamoja na hukumu ya kifo. Hii ni kutokana na...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwa sasa Tanzania imeondoa njaa kwa asilimia 100, akifafanua kuwa kilichobaki ni kuondoa kwa mtu mmojammoja. Akizungumzia namna Tanzania inavyotekeleza Mpango wa...
2 Reactions
18 Replies
725 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…