FUNGUKA!
Huenda safari zako nyingi ni za usiku.
1. Je, uliwahi kukutana na Trekta, Guta, au mikokoteni ya ng'ombe na punda ambayo inahatarisha usalama wa barabarani?
2. Taja wilaya/mkoa, au eneo...
Hadi leo hakuna hata mmoja alieihifadhi bible na sasa kuna bible ya lugha ya kimasai imepatikana Ethiopia ,ndio mtihani umezidi ,na kwa nini wazungu wengi sasa wanaukubali Uislamu na huko Ulaya...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo April 15,2025 akiongea na waandishi wa Habari Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam wakati akikabidhiwa Jezi maalum ya kushiriki...
Mkazi wa kijiji cha Njiapanda, Malampaka kilichopo wilaya ya Maswa mkoani Simiyu.Charles Mwiburi(50)amehukumia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa miaka...
Katika dunia ya sasa, kuna hali nyingi zinazoonyesha mateso ya watu wasiokuwa na hatia kwa sababu ya matendo ya wengine. Mfano wa wazi ni ugonjwa wa UKIMWI, ambao umeathiri maisha ya watu wengi...
Mkoa wa Kagera ni miongoni mwa mikoa michache hapa nchini iliyojijengea heshima kubwa katika utoaji wa elimu Bora na wataalamu wengi katika fani mbalimbali. Ndiyo maana hata Sasa hivi ukimuuliza...
Leo hii nani anawajuwa waliomuia Muamar Ghadafi? Ni wapi majina ya wauaji wa Che Guevara yameandikwa?
Wapi kunaadhimishwa kumbukumbu ya wauaji wa Abeid Karume? Hivi Mwangosi na aliyempiga bomu la...
(Somo hili linawafundisha wanafunzi kuhusu Akashic Records, jinsi ya kuzifikia, na mchakato wa safari ya roho katika viwango tofauti vya uwepo wa kiroho.)
---
1. UTANGULIZI WA AKASHIC RECORDS...
SERIKALI YATAJA SARATANI TANO ZINAZOSUMBUA WANANCHI KANDA YA ZIWA, MBUNGE KABULA SHITOBELA AHOJI BUNGENI
Serikali imetaja aina tano za saratani zinazoongoza Kanda ya Ziwa ambazo ni ya kibofu cha...
"Kipimo cha utayari wa kitaasisi unaweza kuona katika jinsi vyama hivi viwili vilivyojipanga na uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Wakati Dr. Samia na Dr. Nchimbi wameshaambia Watanzania kuwa kwenye...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dkt. Juma Zuberi Homera, ameagiza Jeshi la Polisi wilayani Mbarali kuwakamata wafugaji wote wanaodaiwa kuingiza mifugo yao kwenye mashamba ya wakulima na kuharibu mazao...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameamua kuifungua mikoa ya Kusini kiuchumi kwa...
Siku hizi ukiwa kijana tu wa miaka 25 na huna hata kiwanja, basi tayari kuna watu watakutazama kwa jicho la βUpo nyuma mno bro/sis!β π Hivi imekuwaje kumiliki nyumba imekuwa kama sehemu ya...
Haya walevi mumefikiwa π€£π€£π€£ππ
https://www.instagram.com/reel/DHV6LnwPb9v/?igsh=MTZjYjg4MXR0cWF6dg==
My Take
Ni upuuzi Kwa TBS kuongelea mambo ya ubora wa pombe wakati wakulima wanalia Kwa mbegu...
Wakuu,
Kila Jumapili moja kabla ya pasaka utakuta wakristo wakatoliki wamebeba majani ya mnazi wanakwenda kanisani
Utakuta wamechimbia mbele ya kanisa, nimeliona hili tangu miaka mingi takribani...
Waafrika hasa watanzania hawatii wala kuzingatia sheria za barabarani halafu wakishapata ajali au ajali ikishatokea wanaanza kupayuka na kutoa maoni kama wehu, Mungu tunusuru! Allah tuokoe! Yesu...
Hivi hapa Shinyanga kuna kiongozi wa mazingira? Viongozi wa mkoa wako wapi? Na wamafanya nini? Wale wa Wilaya vipi?
Kusema ukweli sisi wananchi wa Shinyanga tumekuwa tukiteseka kwa muda mrefu na...