Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Afya wa Zanzibar, Mhe. Nassor Ahmed Mazrui ameipongeza Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kutoa huduma bora za matibabu ya mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya...
0 Reactions
0 Replies
294 Views
Waandishi mambo vipi,hapa nazungumza na wale wote ambao huwa tunaandika humu jukwaani,iwe topic yoyote na mambo yoyote yale na hasa hasa wale wataalamu wa itaendelea Kwanza ifahamike kwamba ili...
3 Reactions
6 Replies
577 Views
Samahani ndugu zanguni, Nina boss wangu ambaye namsaidia kazi za ofisini kwake, Ila shida ni ukali pamoja na kunisema mbele za watu yaani wateja,hii tabia inanikera na naumia sana. Kazi...
6 Reactions
48 Replies
2K Views
Karibuni madereva bodaboda kwenye uzi wenu
6 Reactions
22 Replies
925 Views
🔥 Mimi ni Simba damu, lakini leo nasema: Yanga, komaeni! 👊 Tuone TFF na Bodi yake wanakimbilia wapi... 🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️ Jicho kwa jicho – hadi mtekenyo wa mwisho! 😤👁️👁️ ⚖️⚽ Hii siyo tu mechi, ni...
3 Reactions
4 Replies
241 Views
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amemkabidhi Mwandishi Bora wa Sekta ya Madini, Dotto Dosca, wa Malunde Blog, Leseni ya Utafiti wa Madini yenye ukubwa wa kilomita za mraba 20 katika hafla...
1 Reactions
1 Replies
293 Views
Tanzania na Malawi zimeamua kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kibiashara baada ya kumaliza mvutano wa kibiashara uliodumu kwa siku kadhaa, kufuatia marufuku ya uingizaji wa bidhaa...
1 Reactions
2 Replies
335 Views
Habari wadau. Wafanyakazi wa wasafi walalamika kucheleweshewa mishahara yao. Huku bosi wao akionekana nigeria akitunza mamilioni ya pesa. Baada ya kutunza harusini Aliingia club na kugawa dola...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Jamuhuri ya telegram Kila nikifungua inaandika updating na haijawai kumaliza
4 Reactions
29 Replies
1K Views
SERIKALI imetoa Hati za Makosa kwa Kampuni 95 za Uchimbaji Mkubwa na wa Kati wa Madini kutokana na wamiliki wa leseni hizo kukiuka masharti ya Leseni kama yalivyoainishwa kwenye Sheria ya...
0 Reactions
0 Replies
289 Views
1. Je ni hizo huduma hapo ☝️ au ni upya wa basi? 2. Basi la zamani lenye vigezo hivyo huu au basi lolote jipya? Ikitokea huduma tajwa hapo ikakosekana kwenye gari na kiwango cha nauli umelipia...
19 Reactions
284 Replies
33K Views
Nikiwa Rais watoto watafundishwa mashuleni kwamba solar system ina sayari nne na sio vinginevyo na itakuwa ndo mwisho wa nadharia kwamba solar system ina sayari tisa
6 Reactions
74 Replies
3K Views
Nikiwa Rais wa Tanzania serikali yangu itawezekeza kwenye maeneo matatu na naamini baada ya mda kama nchi tutakuwa na uwezo wa kukusanya usd billion 100 sawa zaidi ya Shilling Trillion 200...
4 Reactions
8 Replies
642 Views
Ulikuwa unafahamu kuwa chura ni "chakula bora" China?
1 Reactions
3 Replies
484 Views
Watu wengi hasa wasiokuwa na ajira wameshindwa kutoka ndani na kujaribu kufanya baadhi ya shughuli za kujiingizia kipato kwa kuwaza kuwa “watamuonaje” Ukijaribu kuangalia kuna vitu vingi vya...
38 Reactions
93 Replies
3K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Santiel Eric Kirumba Akichangia Bungeni Jijini Dodoma Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali, Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ameiomba Serikali...
0 Reactions
8 Replies
698 Views
Na Mwandishi wa Habari Hub Kamati ya Wataalamu wa Masuala ya Habari Zanzibar (ZAMECO) imeungana na jamii ya kimataifa kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani Mei 3, 2025, kwa kutoa...
0 Reactions
0 Replies
237 Views
Wadau kwema? Iko hivi hatua za ukuaji wa mtu huanzia stage ya utotoni hilo linaeleweka. Lakini stage hii ya ukuaji , ni sehemu iliyo sensitive sana kiasi kwamba ikiathiriwa kwa namna yoyote ile...
9 Reactions
20 Replies
1K Views
Malalamiko Kuhusu Mahakama ya Mwanzo Saragana-Musoma Kudai Pesa ya Kusafirisha Watuhumiwa Kwenda Rumande Musoma Mjini Naomba nitumie fursa hii kuwasilisha malalamiko yangu kwa mamlaka husika...
0 Reactions
3 Replies
388 Views
Na: Nihifadhi Abdulla. Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo imeridhia mikataba mbalimbali ya kimataifa na kikanda inayolinda haki ya uhuru wa habari. Hata hivyo, hali...
0 Reactions
1 Replies
314 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…