Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

💭 Kampuni pendwa ulimwenguni Google imefanikiwa kubadilisha logo yake yenye nembo ya G kwa kuweza kuweka muundo mpya kwa kuweka rangi katika muundo wa soft transition style. 💭 Japokuwa Rangi...
3 Reactions
12 Replies
621 Views
DAUDI ALIKUWA NA MADHAIFU MAKUBWA Daudi hakuwa mkamilifu. Alifanya makosa mazito kama: Kuzini na mke wa Uria (Bathsheba) Kumuua Uria kwa njama ili kuficha kosa lake (2 Samweli 11:1–27) Haya...
5 Reactions
7 Replies
723 Views
Tokea usajili wake mwaka 1993 na katika historia ya Tanzania, hakuna chama cha siasa ambacho kimekua kwa kasi bila kurudi nyuma kama chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) mpaka pale Magufuli...
3 Reactions
58 Replies
2K Views
Kazi ya kuwa tour guide si tu kuonyesha maeneo – ni kuwa na uwezo wa kusimulia, kuelezea kwa usahihi na kuvutia, hadi mgeni ajione sehemu hiyo kwa moyo, si macho tu. Maarifa ya historia...
3 Reactions
0 Replies
308 Views
Katika ulimwengu wa wanyama si kila ugonjwa au majeraha huwatuma kwa daktari kwa sababu hawana! Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, wanyama wengi wamekuwa wakitumia njia zao asilia kujitibu au...
2 Reactions
7 Replies
672 Views
Nahisi yale kipindi cha Rwanda na Burundi yana weza kuwa na haya haya japo wengi walichoka huko. Kuna kitabu kinaitwa mshenzi wa kwanza ni serikali hakuna anayeweza kupeleka nchi kama unanguvu...
1 Reactions
0 Replies
228 Views
Najaribu kujiuliza. Aliposhambuliwa na Hamas aliwapiga Hadi Sasa hawewezi kabisa kujibu na hawajajibu chochote. Aliposhambuliwa na Hesbullah aliwapiga sana na kiongozi wao ambaye walikuwa...
0 Reactions
0 Replies
210 Views
Hakika ni baraka sana Super power wa hii Dunia kuwa wazungu, Wazungu ni watu wenye utu kumzidi mwarabu na ndio maana wamebarikiwa sana , hata katika historia ya magonjwa ya kutisha kama...
21 Reactions
93 Replies
6K Views
Wakuu jamaa yangu aliuziwa nyumba, sasa aliyemuuzia amefariki jamaa akiwa bado hajabadili jina la hati ya nyumba hapo inakuaje Ili kuweza kupata haki yake wakuu au ndio atadhulumika? Mwenye...
4 Reactions
54 Replies
2K Views
Dkt Boniface Nobeji, Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa TPA. David Kihenzile, Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi MABORESHO na ujenzi wa miundombinu ya kisasa inayofanywa na Serikali kupitia...
0 Reactions
0 Replies
451 Views
Nimejaribu kujiuliza ni kwanini mautajiri ya watu wa nyanda za juu kusini si utajiri unao sisimua au kuvutia watu wengi tofauti na ule utajiri wa watu kama bakhresa, mengi, ndesamburo, nadhani...
18 Reactions
161 Replies
11K Views
Sponsored ad on Facebook and Instagram zilikuwa Zina work effectively 2017 kushuka chini. Kuanzia 2018 hapo ni kusua sua na by 2025 it doesn't work at all. Sababu ni hii hapo👇👇👇👇 Tajiri Mark...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Na Mwandishi Wetu- Dar es Salaam. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga amezindua miradi ya kiuchumi ambayo iko chini ya Shirika lisilo la Kiserikali la...
1 Reactions
2 Replies
368 Views
Kuna huu utaratibu wa watu kujiita Dokta flani wakati ana kadegree ama amjetihadi sana masters mpechempeche kisa tu ni kiongozi ni upuuzi. Hivi hawa wanajua joto wanalopitia watu wa PhD mpaka...
6 Reactions
16 Replies
419 Views
Watu wengi wanajaribu kumfahamu Mungu kwa akili zao na hii imekuwa sababu ya wengi kuangukia kuzimu watu wengi pia wamekuwa wanafanya kosa la kudhani Mungu ana akili za kibinadamu na kufikiria...
1 Reactions
2 Replies
307 Views
Habari machalii… Leo nazungumza na jamaa zangu mnaozima simu ikifika usiku. Kwanini unapenda kuzima simu ikifika usiku? Ikitokea dharura watu wakitaka kukujulisha usiku huo watakupataje? Haya...
7 Reactions
40 Replies
1K Views
Aisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero...
14 Reactions
185 Replies
9K Views
Hivi watumishi wa ikulu huwa hawastaafu? Juzijuzi kuna mtumishi mmoja wa kisiwa cha Caribean amekufa akiwa na miaka 66 Mtumishi huyo amewahi kuwa mtangazaji maarufu wa TV na Radio Sheria za...
7 Reactions
11 Replies
953 Views
Kumekuwa na nadharia tangu enzi za Nyerere mpaka sasa kwamba ajira ni utumishi wa umma tu, kisa kikubwa eti kuna security. Lakini ukiangalia wengi wa hao watumishi, ni watu wanaostruggle sana...
17 Reactions
74 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…