Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wazaramo wasomi wanasemaga “When an apprentice graduates, the master will show up” Hizi hekaheka sio bure, kuna mkubwa wao bado hajajitokeza, haiwezekani hawana hata Cognitive dissonance, tena...
0 Reactions
0 Replies
249 Views
Kuna ndege kama inatumiwa na watu wengine kwa kusingizia kuwa wanaotoa pesa ni watu furani. Ila hii ndege ni kama hipo kusikilizia 2025 someni code
1 Reactions
0 Replies
315 Views
Wanafunzi wa Dar es salaam wananyanyaswa sana na makondakta wa daladala,watoto wanawahi mapema stand lakini hawawabebi na mara nyingine wanawatusi kabisa. Wanaweza kukaa stand takribani masaa 4...
3 Reactions
12 Replies
611 Views
Hiki kitu nimeona sana nchi ambazo majasusi waliobobea wameweza kujiweka na ndevu ambazo si rahisi kujua huyu ni asia au mwarabu wakiwa na lengo lao. Ina maana wazungu wanaweza kubadilika kwa...
3 Reactions
11 Replies
617 Views
Anamaanisha anachosema? Amevunja sheria? Kauli yake inaashiria nini? Kama nimemwelewa, anasema waliomwua Magufuli ni Samia na Kikwete! Amemaanisha nini hasa?
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Katika kuadhimisha Miaka 61 ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu ametoa msamaha kwa wafungwa 4,887, ambapo wafungwa 42 kati yao wanaachiliwa huru leo, na wafungwa 4,845 wanabaki gerezani...
3 Reactions
15 Replies
827 Views
Rais Samia Suluhu Hassan ameiomba Wizara ya Mambo ya nje, Wizara ya Mambo ya Ndani na vyombo vya ulinzi na usalama kuchukua hatua za haraka kwa wanaotumia mitandao na teknolojia vibaya, akikemea...
0 Reactions
6 Replies
931 Views
Dar es Salaam, 19 Mei 2025 – Equity Group, chini ya Mpango wa Afrika wa Urejeshaji na Uhimilivu (ARRP), inaongoza msafara wa kimataifa wa biashara na uwekezaji katika Afrika Mashariki, ukiaanzia...
1 Reactions
1 Replies
271 Views
Habari za wakati huu, Ninapenda kujuzwa kuhusiana na ili suala . Nimeona cheti cha best student mmoja katika college fulani ya UDSM ana aggreagate GPA of 4.3 meaning First year 4.0, second year...
2 Reactions
11 Replies
882 Views
Isaya 25:8 “Amemeza mauti hata milele; na Bwana MUNGU atafuta machozi katika nyuso zote; na aibu ya watu wake ataiondoa katika ulimwengu wote; maana Bwana amenena hayo. 9 Katika siku hiyo...
1 Reactions
6 Replies
492 Views
Wasaliti wanaweza kuona mabadiliko kuwa ndani ya chama kuwa ndio walikuwa wanahusika na mambo mengi. Ili kujiondoa ni kuepusha kuwa hawakuwa wanahusika na kuvujisha taarifa za chama. Damu...
2 Reactions
5 Replies
281 Views
Kila enzi mwanamke aligundua namna ya kuushinda ungangari wa mwanaume Yule Jamaa wa "Ooooh kabla sijajenga nyumba yangu nataka nikarabati ya wazazi" sasa hivi anatuma kodi ya miezi mitatu ya huyu...
3 Reactions
7 Replies
470 Views
Mwafrika ndiye mwanadamu ambaye hajawahi kupata raha halisi ya duniani ambayo Mungu aliiweka. 1. Ujima Zama za ujima Mwafrika alikufa mapema sana, life expectancy yake ilikuwa fupi sana. Baridi...
1 Reactions
5 Replies
466 Views
Unyayo wa mwanadamu ni waya wa kiroho unaobeba fadhila za dunia na kuziingiza ndani yetu kimwili na kiroho, kumbuka unyayo ni sehemu ya kukanyagia na unaikanyaga ardhi ambayo ina kila kitu...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
That's why the book was moving very slowly. Nilisha soma kama page 10 za kitabu chake. Mwanasaikolojia anae heshimika kama huyu anajiua? What pushed him that low? Moral of the story: Tuache...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Leo Mei 3, Mawakili wanaomtetea mshtakiwa Tundu Lissu wanazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari. https://www.youtube.com/live/qwDj_39LjYk?si=p81m5_E7ICnpOth1 Kibatala: Intelijensia...
9 Reactions
129 Replies
7K Views
Yani ni namna gani unaona kabisa Serikali bado haijawa serious, imagine maeneo ya Goba maji ya Dawasa hayatoki yapata week sasa na hatujui chochote kinachoendelea. Kufanya kazi serikalini...
4 Reactions
22 Replies
936 Views
Mwanasheria mkuu wa chadema ndugu Rugemalila Nshala ni msomi mzuri sana na ni wakili mzuri sana na mkongwe tunampenda. Lakini katika press conference ya kuoongea na waandishi ili ku-summerize...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Nisiseme mengi.
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…