Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimekuwa nikimsoma Bill Lugano jamaa ana madini sana. Sijashangaa kuona mataifa mbalimbali yanamtumia kukuza uchumi wao. Za ndani ni kuwa ndiye mshauri mkuu wa Serikali ya China, Russia na...
0 Reactions
9 Replies
656 Views
Wazungu ni watu wa ajabu sana Yani wanaona Muislam kuoa wake wanne haijakaa vizuri kijamii na wanapinga ila wanatumia nguvu nyingi kulazimisha na kupromoti wanaume Kwa wanaume kuoana Yani Kuna...
1 Reactions
10 Replies
446 Views
Mtume pekee ambaye biblia inarekodi mauaji yake jinsi yalivyokuwa ni mtume Yakobo ndugu yake mtume Yohana. Huyu biblia inasema katika Matendo 12:1-2, kuwa Mfalme Herode alimuua kwa Upanga...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Niko mitaa ya machimbo Chunya hapa. Kuna dogo amekunywa dawa za kuchoma nyasi. Wamepambana haijawa bahati kabisa kafariki chanzo wanadai ndani ya siku tatu dogo alikua na tofauti na mke wake...
13 Reactions
166 Replies
6K Views
Wakuu habari za leo? Wakuu leo nilikuwa nafatilia malimbikizo ya pesa zangu za PPF kwenye ofisini za PSSSF hapa mbeya. Nikaambiwa kwa kuwa mimi bado ni mfanyakazi mfuko wa PPF na mfuko wa NSSF...
1 Reactions
2 Replies
374 Views
Habari. Ni utaratibu upi hufuatwa ili mtu aweze kupata mkopo wa fedha benki kwa kutumia nyumba au kiwanja kama dhamana? Risk zake zipoje. Faida na hasara zake je, na kama kuna...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Tunapitia maisha magumu mpaka tunaamini waliokufa wamepumzika. Lau viongoz wetu wangejali watoto wa kimasikin leo ingekua tuna afadhal njaa, maradhi, nguo na viraka na kila aina ya taabu lakin nan...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Bandari chanzo kingine cha Biashara ya Kaboni, hayo yaamelezwa na Ingvar M. Mathisen, Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Oslo, Norway kwa ujumbe wa Tanzania uliotembelea bandari hiyo hivi karibuni...
0 Reactions
4 Replies
427 Views
Nikiwa kwenye basi katika harakati za kuitafuta shs, tumesimama kuchimba dawa eneo linaonekana kama kijiji baada ya makambako kuelekea mafinga, ni eneo flani inaonekana kuna vyoo vya mtu binafsi...
21 Reactions
196 Replies
39K Views
Ebwana eeh leo ndio nimeshituka kuona Kenya wana SGR kali kuliko Bongo. Katika pitapita zangu mjini Instagram nikakutana na post ya mdada mmoja mkenya anaelezea maisha ya utalii, gafla nikaona...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Heshima Mbele Kwa Wote.. Pamoja na Kua Nalipongeza Sana Jeshi Letu La Polisi Katika Nyanja Nzima Ya Ulinzi Wa Raia Na Mali Zao, Kwa Kuzingatia Kwamba Kipindi Hiki Hakuna Matukio Makubwa Ya...
0 Reactions
0 Replies
221 Views
Kuna wakati mwingine maisha huingia giza, ni pale ambapo shughuli yako kuu inadidimia, kipato kinapungua, na haionekani njia nyingine ya kujikimu. Hali hizi husababishwa na mtu kuzoea kitu flani...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Nimebadilisha dini ili nimuoe Nimepeleka kwao posa na barua ya uchumba Tukagombana kidogo tu, tena sababu ya ugomvi ni yeye ila matokeo yake ameniacha. Nimejaribu kwenda kwao kuyamaliza nagonga...
15 Reactions
113 Replies
4K Views
WEWE UWE UNAKULA TU MBUNYE ALAF WATOTO WAKO WALELEWE KWA HELA ZA KUBABATIZA ZA RUZUKU YA SERIKALI SIO ?? Uchoko wa wa tz unamizizi mikali Sana walahi nawaambia. Nimekutna na nyuzi mbili...
11 Reactions
66 Replies
2K Views
Serengeti kuna ile Hotel ya 5 star nadhani mna ifahamu sitaki taja jina maana najua hapo Jamaa zangu watataka nao wakalale so itakuwa nime ipromote na haitakuwa fair kwa hotels nyingine. Tulienda...
19 Reactions
43 Replies
3K Views
Wanasema mwanadamu ametokana na udongo lakini udongo wa maskini huonekana kuwa wa thamani pungufu. Ni kana kwamba aliumbwa si kuishi, bali kubeba, kutumikia, na kuteseka. Misuli yake ni injini ya...
1 Reactions
0 Replies
267 Views
Ujumbe tumeupata kupitia udukuzi. Wakenya ni majirani wapinzani Kiuchumi, Kisiasa nk. Lkn kwa bahati mbaya tumewapa kazi zooooote za kututengenezea mifumo Nyeti ya serikali kukusanya mapato, Apps...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
1. Luke 23:46 – "Jesus died on the cross" Aya hii inasema Yesu alipaza sauti, akasema, "Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu." Baada ya kusema hayo, alikata roho. Hii inaonyesha kuwa alikufa...
6 Reactions
94 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…