Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mit 17:13 SUV [13] Yeye arudishaye mabaya badala ya mema, Mabaya hayataondoka nyumbani mwake. Siku za leo sio ajabu kumkuta mtu ambaye alitendewa mema mengi na mtu mwingine, mtu yuleyule...
1 Reactions
0 Replies
242 Views
ILIKUWEPO NCCR, IKAWEPO CUF, ILA CHADEMA NI TOFAUTI. Sehemu ya 1 Mwaka 1995, sisi watoto wa enzi hizo tulikuwa na kawimbo flani hivi, tunaimba; 'Mkapaaa, Mkapa ana kikwapa' 'Mremaaaa, Mrema ana...
10 Reactions
27 Replies
4K Views
Hiki kikundi hakuna serikali kiliwahi kushindana nacho na kipo dunia nzima na kama mnataka kujibizana nacho subirini wafute mifumo yote ndio mkawe na akili sawa. Historia: Anonymous ni kundi...
6 Reactions
9 Replies
877 Views
Waziri wa Ulinzi ni Mwanamke, Ni muda wa kuwa na IGP mwanamke Hata Ghana kuna Igp mwanamke sioni sababu kwa Tanzania kutokuwa na IGP Mwanamke,
2 Reactions
16 Replies
707 Views
Ewe mzazi ukiwa unatafuta jina la kumpa mtoto wako punde baada ya kujifungua, kifiria kwanza hilo jina akifika muda wa balehe (ujana) ataweza kuishi nalo mbele ya vijana wenzake?? Watoto wengi...
23 Reactions
118 Replies
6K Views
Anonymous
Niishauri serikali yangu ya Jamhuri. Changamoto huwa zipo, na tunakiri kabisa kwa sasa kuna changamoto kubwa ya usafiri kwa wakazi wa Kimara-Mbezi kutokea mjini Posta na Kariakoo. Serikali...
2 Reactions
1 Replies
395 Views
Je, umewai kuuziwa bidhaa feki au bandia kwa bei ya bidhaa halisi? Uchunguzi uliofanywa na 'wazalendo' umebaini kuongezeka kwa bidhaa feki sokoni ambazo zinauzwa kwa bei sawa na zile halisi jambo...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Naomba majibu wakuu kuna mtu wangu wa karibu hajawahi kuajiriwa huu mwaka wa 22.
8 Reactions
50 Replies
3K Views
Mbunge Mwita Waitara wa jimbo la Tarime Vijijini mkoani Mara, amehoji endapo Serikali itakuwa tayari kufunga mashine ya kupima ushoga na usagaji bungeni kama sehemu ya wawakilishi hao wa wananchi...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe lililopo mkoani Kigoma Dkt. Florence Samizi ameishauri Serikali kuvipatia fedha za ruzuku kwa wakati viwanda vya mbolea ili mbolea ifike kwa wakulima ikiwa tayari ina...
1 Reactions
1 Replies
237 Views
Wako bize sana na mechi hiyo wakati haiwahusu.
0 Reactions
5 Replies
467 Views
Habari wana jf Awali ya yote nipongeze jukwaa hili kwa kuendelea kutoa elimu katika maswala mbalimbali Pili, kuna mikopo inayotolewa na kampuni mbalimbali za mikopo mitandaoni na kimsingi mikopo...
1 Reactions
6 Replies
557 Views
Bro, let’s keep it real – haya mambo yamefika pabaya. Sio stori mpya tena, ni daily routine kwenye shule nyingi za sekondari. Hawa ma-teacher wa siku hizi, especially wale fresh kutoka college...
11 Reactions
43 Replies
3K Views
Wakuu naomba mnisaidie jina la hotel yoyote ambayo huwezi kuingia bila kuthibitisha cheti cha ndoa. Best Regards
3 Reactions
1 Replies
283 Views
Mbunge wa jimbo la Ushetu mkoani Shinyanga, Emmanuel Cherehani amewataka wazazi na walezi katika halmashauri hiyo kuwasaidia watoto kuhitimu elimu ya juu ili kuwatengenezea fursa bora ya maisha ya...
1 Reactions
2 Replies
246 Views
Jeshi la polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wanne wakiwemo wanawake wawili wa familia moja wafanyabiashara na wakazi wa Mponja - Uyole Jijini Mbeya na wanaume wawili akiwemo kondakta wa basi...
1 Reactions
3 Replies
329 Views
Naomba namimi nichukue nafasi hii kutoa mawazo yangu: Nimekutwa nikiona na kusikia reforms ambazo zinaendeshwa na kuenezwa nchi nzima na chama cha siasa kimoja hapa nchini. Watanzania wenzangu...
1 Reactions
1 Replies
244 Views
Bahati mara nyingi huonekana kama jambo lisilotabirika, lakini kuna mambo ya kiroho, kiakili na kimatendo unayoweza kufanya ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kupata bahati. Hapa chini ni njia...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Pengine Sio Tone nzuri ya kubembeleza lakini kwa jambo hili naamini nilikuwa sahihi! Haiwezekani tusifiane Wafanyabiashara wengi ni Waislaam kisha Maimamu wengi wanaotuswalishia Miskiti yetu na...
11 Reactions
44 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza mfululizo wa hali ya ucheleweshwaji wa malipo ya pesa ya kujikimu na chakula kwa wanafunzi wa vyuo Vikuu imekuwa ni jambo la kawaida sana kufanywa na Bodi ya Mikopo ya...
0 Reactions
3 Replies
742 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…