Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameeleza msimamo wa Serikali wa kutomwongezea muda mkandarasi atakaechelewesha kukamilisha mradi. Waziri Ulega ameyasema hayo leo tarehe 26 Mei 2025 alipokuwa...
0 Reactions
3 Replies
385 Views
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameshuhudia utiaji saini wa hati ya makubaliano ya ujenzi wa kituo kikubwa cha kupandikiza figo pamoja na utoaji mafunzo kwa madaktari bingwa ambacho kitakuwa ni...
0 Reactions
3 Replies
399 Views
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameziagiza TANROAD na TARURA kuhakikisha wanawasimamia wakandarasi ili waweze kutoa ajira kwa wananchi wazawa pindi wanapotekeleza miradi ya ujenzi wa barabara na...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Rafiki yangu mmoja katoka Dar kahamia Dodoma, ana kama miezi mitatu Dodoma. Alivyo hamia wezi wamevunja kwake mara mbili mara ya kwanza walipita na laptop, tv na vitu vingine vidogo. Akaona isiwe...
5 Reactions
60 Replies
3K Views
Katekista wa Kanisa Katoliki, Vincent Mwenda amepoteza maisha kwa kushambuliwa na watu ambao utambulisho wao haujajulikana Mjini Tunduma. Diwani wa Kata ya Kaloleni, Mji wa Tunduma, Mkoa wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ikiwa ni siku ya nane tangu kuanza kwa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 katika Mkoa wa Mtwara, leo Mwenge huo umefika katika Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara ambapo umeweka mawe ya msingi, kuzindua...
0 Reactions
1 Replies
324 Views
Jitu zima linaitwa kondo na linachungwa bado halistuki kuwa ni tusi kwake!! Kwanini usiitwe simba kuonesha ushujaa uitwe kondoo mtoka makamasi??
2 Reactions
24 Replies
882 Views
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Ndugu Ismail Ali Ussi, ameridhia rasmi kuweka jiwe la msingi katika jengo la kisasa la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD) lililojengwa katika Zahanati ya...
0 Reactions
0 Replies
251 Views
Wananchi wilayani Karagwe mkoani Kagera wameeleza kunufaika na ujenzi wa barabara ya Nyakahanga-Nyabiyonza -Masheli ambapo kero ya usafiri iliyokuwepo imeondolewa baada ya matengenezo ya maeneo...
1 Reactions
1 Replies
379 Views
SERIKALI kupitia Wizara ya Maji,imetoa Sh.815,453,185 ili kukarabati mradi wa Maji Dihimba utakaohudumia wakazi zaidi 7,489 wa Vijiji vya Dihimba,Mpondomo,Kinyamu na Ndumbwe vilivyopo Halmashauri...
0 Reactions
1 Replies
367 Views
MADA: Nguvu ya Mawazo – Jinsi ya Kugeuza Fikra Kuwa Nguvu ya Mabadiliko Watu wengi wana uwezo mkubwa wa kufikiri, lakini si wote wanaojua namna ya kutumia nguvu hiyo ya kiakili kuleta mabadiliko...
2 Reactions
14 Replies
984 Views
Wakuu, Zifahamu Halmashauri 10 zilizoongoza kukusanya mapato ya ndani 2023/24: 1. Dar es Salaam CC (Ilala) - Bilioni 111.7 2. Kinondoni MC- Bilioni 64.7 3. Dodoma CC-Bilioni 51.5 4. Temeke...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema kuwa vitendo vya ukatili wa kijinsia nchini vimeanza kupungua, hususan matukio ya ubakaji na...
0 Reactions
1 Replies
338 Views
Katika masuala ambayo huwa siyaelewi ni hili. Huu ni mfano mmoja tu kuwa wanaume tunapitia mengi chini ya mapaa ya nyumba zetu wenyewe. Wanaume wanaopigwa na wake zao sio wengi saana lakini...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Ni kweli watu wenye vichwa vidogo huwa hawana akili ? Mfano wale ndugu zetu wa kale kanchi kadogo. Jaku boy n.k
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Ni bahati mbaya sana wabunge wa hii nchi hawachaguliwi na wananchi,Endapo mngekuwa mnachaguliwa na wananchi nadhani haukufaa kuwepo hapo bungeni ! Wewe niwa kuilinganisha Tanzania na Kenya...
27 Reactions
18 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita , SACP. Safia Jongo amewaonya baadhi ya Waganga wa kienyeji ambao wamekuwa wakituhumiwa kuwatibu Wanawake kwa kuwarubuni na kufanya nao zinaa huku wakiwarekodi na...
0 Reactions
1 Replies
437 Views
Kipindi Cha Asubuhi, Mazungumzo ya Maudhi: Tunalelewa na Vyombo vya Habari au Tunadhalilishwa? Je, tumewahi kukaa chini kama taifa na kujiuliza: tunapata nini tunapowasha redio zetu asubuhi? Ni...
1 Reactions
7 Replies
934 Views
Aisee hili taifa Lina polisi njaa sana Jana mida saa mbili usiku nilikuwa Nina mzigo flani nikataka niufunge kwenye piki piki bahat mbaya mpira ukakatika Nikatoka kwenda kununua duka flan si...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
MADA KUU: MATAMBIKO Mada ndogo: KUTEMBELEA MAKABURI. Somo linaendelea . . . Makaburi ni makao ya roho za mababu (mizimu) ambao hawajazaliwa tena kwenye miili mipya (reincarnate) na ambao nafsi...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…