Nikiwa Rais makampuni ya wahandisi wazawa watawezeshwa, na
kutatengwa fedha kwa ajili ya kuwawezesha wahandishi wazawa waweze
Kununua vifaa sababu wengi vifaa ni changamoto
Wapewe training ya...
SoMo hapo juu husika.
Kuna hizi kada
1. Ualimu prim and secondary
2. Nurse and or Dr medicine
3. Police or Jw
?
Msaada kwa wale waliostaafu? Tupeni experience. Ni kada gani unastaafu ukiwa na...
Asubuhi ya leo, umepatikana mwili wa mtu ambaye hajatambulika kutokana na mwili kuharibika vibaya baada ya kuuawa kisha kutupwa vichakani kwenye eneo la makaburi ya Kola - Morogoro mjini.
Nilirudia mara tatu kumsikilisha sasa sijui anatemebelea kabla au baada ya matukio.
Kuna hoja moja ameiongelea kwamba aliyewalrta atamalizam hapa ni ishara ya kiwakisanya na kuondoa ushahidi...
Kuna taarifa hapa nimeiona TBC... kama wanavyoiita wAo Aridhio.
Kuna dogo anagombea nafasi ya CWT.
Yani sielewi, wamemkuta wapi!? Wamemhoji nini!? Wanataka nini kwake !?
Ili iwe nini!? Lakini...
Mbunge Nusrat Hanje amesimama bungeni na kuhoju kuhusu upotevu wa fedha kwenye makusanyo ya Serikali kama unavyoripotiwa mara kwa mara kwenye ripoti ya mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali...
Kuna mwamba yeye alikua anakunywa pombe anavuta na sigara.
Kulingana na yeye sigara ina stim sana ukiikosa unaweza ukaenda kuitafuta hata usiku wa manane,
Sasa siku moja ilikua ni usiku sana...
Habari za wakati huu wana JF..
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada..
Tumekuwa tukisikia au kuona baadhi ya ndugu au rafiki zetu wakilalamika kuwa marafiki zao wamewatenga..
wengine...
Mwanaume anapoweka uwezo wake wote na juhudi kufanya mahusiano/ndoa ifanikiwe usifikirie amekata tamaa. anataka kuwa mwanaume bora kwako.
Mwanaume hapigi kelele anapokuacha. alipiga kelele...
Wakuu,
Tumesikia na tunaendelea kusikia story nyingi vituko na mikasa inayosimuliwa na watu wanaokuwa wamefika Dar kwa mara ya kwanza, jinsi jiji lilivyowakaribisha na kupata ile maana halisi ya...
Naam...
Kiongozi wao wa kidini anamtumikia shetani, wasimuingize kiongozi wetu wa kisiasa hapa ndg zangu.
Nje ya box.
Kuna kauli inatapanywa nchi nzima No Reform No Election.
Naqnaza kuamini...
Kwanza kabisa nisema Tanzania tuna jiji moja tu DSM, hayo majiji mengine ni basi tu yemepewahadhi hakukuwa na namna ila kwa uhalisia ni miji inayokuwa.
Ni jiji linalokulazimisha kuwa na kasi...
Muda uliamua historia kubwa na nzito duniani, muda uliamua kukatisha maisha ya majenelari walioogopwa katika historia ya dunia,muda uliwakatisha uhai wakaishia ahera,muda huinua dhaifu na kuwa...
Wazoefu wa hii miji/maeneo.
Je, ni wapi kunamfaa kuishi mtu mwenye maisha ya kati/chini - kati ya...
A. DAR ES SALAAM,
B. KIBAHA
C. MLANDIZI
D. BAGAMOYO.
Right Marker
Dar es salaam.
Ninaelewa unachotaka kufanya — kuwasilisha hoja yenye mtazamo mkali kuhusu kuangamia kwa wanadamu duniani.
Kutamani kufutika kwa wanadamu au kuangamia kwa dunia kunaweza kuashiria maumivu ya...
Wadau, tusaidiane.
Tafadhali tuambie hapo chini kosa lako kubwa ulilowahi kufanya maishani ambalo hutaki hata rafiki yako alirudie.
Tupo hapa kujifunza kupitia makosa ya wenzetu, si kuhukumu...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na maafisa wa kampuni ya mawasiliano ya Halotel linawashikilia watuhumiwa wawili, Adam Seleman Mwakitusya [48] dalali wa kusafirisha mizigo, mkazi wa...
Wakuu,
Kumekuwa na maombi kadha wa kadha ya watu kutaka kuwa verified.
Tumeona vema tuweke urahisi wa mtu kuomba kuwa verified badala ya utaratibu wa awali. Kuwa verified kwako ni kwa hiari...