Nimeona video moja, mzazi ametuma HELIKOPTA kwenda kuchukua mtoto mwanafunzi shuleni huko bukoba baada ya shule kufungwa.
Jamaa simfahamu ila nampa pongezi sana maana ndio matumizi halali ya Pesa...
Hivi kwanini iko hivi maana kama kuomba si iwe kwa watu husika sio kwa mtaa mzima au eneo zima amlali ni kwaya usiku kucha ukienda kuangalia kanisa ndani wapo watu awazidi watano
Mtuonee huruma...
Wahitimu wa kike kutoka vyuo vikuu wako wapi??
Wahitimu wa kiume wengi wameingia kwenye bodaboda na kazi za viwandani, pia wapo walioanguikia kwenye ulinzi na saidia fundi.
Hawa wahitimu wa kike...
I’m really perplexed—how can any rational soul, endowed with both reason and revelation, deliberately choose domestic repose over the divine encounter that tomorrow’s sacred Sunday demands? What...
Mimi sio mwana siasa ila nimewaza sana endapo hii kampeni Chadema walio kuja nayo kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Chadema kuelekea uchaguzi mkuu wamekuja na kampeni ya NO REFORM NO ELECTION...
kilal msanii akipost anaandikiwa no reform nk election 😀🤣 kila chawa akipost hoja ni hyo mpaka wengine wamejamm kufungia X kumeleta changamoto instagram
huu mwaka wa moto sana
endeleeni kupiga...
Kama kichwa kinavyo someka, kadiri siku zinavyo zaidi kusonga mbele ndivyo matamko mbalimbali yanatolewa na viongozi au watu wa kada mbalimbali , msikilize huyu sheikh alafu tuachie maone yako ...
Habari wanajamvi
Nahitaji kusafiri kwenda Kampala Uganda wiki ijayo kwa basi ila sijajua ni njia ipi ninayoweza kupita na kufika bila tatizo lolote na je kuna document yoyote unatakiwa kuwa nayo...
"Dereva Mpya na Safari ya Basi la Taifa"
Katika mtaa wa fikra na mtaa wa dhamira, palisimama basi moja kubwa lililobeba matumaini ya wengi. Basi hilo lilikuwa limezoeleka, likiwa na alama ya...
Licha ya tanki kubwa la maji la Bangulo kuzinduliwa mwezi march lakini bado maji yamekuwa shida Kinyerezi,maji yanatoka mara moja kila mwezi siku Moja kati ya tarehe 1 hadi 3 lakini cha ajabu Leo...
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ametoa ushauri wa kufanya maridhiano ya kweli baina ya wamiliki wa mashamba na wamiliki wa leseni ya madini katika machimbo ya dhahabu yaliyopo katika...
Serikali kwa ushirikiano na sekta binafsi imejipanga kuanzisha vituo vya ukodishaji mitambo ya uchimbaji madini kwa wachimbaji wadogo ili kuwawezesha kutumia teknolojia za kisasa kufanya shughuli...
DAR. Baadhi ya wazazi wa wanafunzi wanaosoma shule ya Msiungi Mtambani jijini Dar es Salaam, wameeleza adha ya watoto wao kukaa chini kwa kukosa madawati.
Dar es Salaam.
Kukosekana kwa madawati...
Picha: Pinterest
Mtanzania lazima ufahamu kuwa Kila kitu unachokiona au kusikia kupitia media huathiri ubongo wako, na kwa hivyo utu wako.
Kwani taarifa tunazopokea kupitia media zina athari...